Serikali ilitambulisha mfumo wa ESS kwa Watumishi wa Umma miaka mitatu iliyopita. Ndani ya mfumo huo kuna jukwaa la E-Utendaji (PEPMIS), ambalo mtumishi anatakiwa kuingiza majukumu yake ya kazi kila siku.
Bahati mbaya, kwa sasa mfumo huo hauko imara. Kuna muda unakuta jukwaa la E-Utendaji...
Watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine wanakabiliwa na changamoto ya mfumo wa PEPMIS, ambapo wanapohamishwa, asilimia zao za utendaji kazi zinaonekana kuanza upya kutoka sifuri, hata kama mtumishi alikuwa amefikisha, kwa mfano, asilimia 60 katika Halmashauri aliyotoka.
Hali...
Anonymous
Thread
asilimia
hii
inaumiza
katika
mfumo
mfumo wa pepmis
mtumishi
pepmis
utendaji
Walimu kutoka Wilaya ya Chemba, Mkoa wa Dodoma, tunacheleweshwa kupandishwa madaraja, tulitakiwa kupanda madaraja kuanzia Mei 2026, lakini hadi sasa hatujapandishwa wala kupewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa.
Tuliposubiri kupata majibu, baadhi yetu tuliwasiliana na Maafisa Utumishi...
Anonymous
Thread
daraja
kikwazo
mfumo
mfumo wa pepmis
mtumishi
pepmis
shemdoe
Wahanga wakubwa ni watumishi wa serikali za mitaa.
Local government zinaendeshwa ki locally sana.
Nimeona mtu ambaye mpaka sasa ana 20% tu za PEPMIS na hizo alizijaza mwaka jana ili apate mkopo bank. Na alipopata tu mpaka sasa hajajaza tena zile asilimia za ESS. Lakini mwezi May kapanda daraja...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ametoa maelekezo hayo Juni 23, 2026 kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 katika Viwanja vya...
Mwalimu anahangaika kufundisha, anajituma kufundisha anajaza PEPMIS kama inavyotakiwa, kuna mtu katikati anatakiwa ku-approve, huyu mtu ndiye ana taarifa kama mtumishi ana mapungufu au hana, ajabu baadaye mtumishi anaambiwa taarifa zake zimepotea.
Pia soma ~ Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa...
Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa kuwagawanya Watumishi wa Umma.
1. Utendaji kazi wake upo kwa ngazi ya mtumishi, kwenda kwa msimamizi...
Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo.
Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na sharti la mfumo wa PEPMIS (Performance Evaluation and Project Management Information System), licha ya...
Sisi watumishi wa TTCL Corporation tunakabiliwa na changamoto kubwa licha ya kutekeleza majukumu yetu kwa bidii na kujaza taarifa za utendaji kazi kwenye mfumo wa ESS Utumishi (PEPMIS) kama inavyotakiwa.
Tatizo linalotusumbua ni kwamba baadhi ya viongozi wetu, hususan Mameneja, hawapitishi...
KIZA CHAZIDI KUTANDA, WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025
VIGEZO VYA PEPMIS VI
Changamoto ya kupanda madaraja kwa watumishi wa serikali imekuwa sitofahamu, ijapokuwa kwa kiasi flani serikali imewezesha baadhi ya watumishi kupanda na wengine baadhi kuachwa kwa sababu zile zile za kimfumo ambazo bado...
Napenda kuwasilisha waraka huu nikiwa miongoni mwa Walimu wengi nchini ambao wameathirika kwa taarifa zinazotolewa na Chama chetu kuhusu utaratibu wa kupandishwa madaraja kwa kutumia Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System (PEPMIS).
Hivi karibuni, CHAMA CHA WALIMU...
Mwaka huu Serikali imetumia mfumo wa PEPMIS wa mwaka jana kupandisha madaraja Kwa mwaka 2024/2025. Matokeo yake watu wengi wameachwa sababu alama zao ziko chini.
Kuna walimu wa ajira ya 2012 waliotakiwa kupanda Kwa mserereko na wale wa ajira mpya ya 2020 wameachwa.
Kwa mtizamo wangu Kwa kuwa...
Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji Serikali, katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye...
Anonymous
Thread
kigoma
kigoma ujiji
kutumia
manispaa
mfumo wa pepmispepmis
wakuu wa idara
Wasalaam ndugu zangu jukwaa la elimu
Kumekuwa na taarifa kuwa waalimu watakaopanda vyeo KIGEZO CHA asilimia za ujazaji wa e utendaji.
Hiki KIGEZO kitawanyima walimu wengi haki Yao ya msingi kwasababu zifuatazo.
1. Uelewa mdogo wa mfumo
Tangu serikali iunde mfumo huu ni watumishi wachache...
Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni hazina ungano kwa Sasa.
Mimi binafsi nimepata changamoto katika maombi ya mkopo. Ambapo ninaambiwa...
Kiuhalisia mfumo huu ulipaswa uwe unapandisha score automatically baada ya mtumishi kupandisha asilimia zake na mkuu wa kitengo ku approve.
Sasa badala yake kunamtu amekaa amewekwa awe anapandisha score baada ya approval ya mkuu wa unit.
Serikali hapa imebugi human akikaa sehem lazima...
Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu.
Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
Anonymous
Thread
idara
mfumo
mfumo wa pepmis
morogoro
pepmis
viongozi
vizuri
watumishi
Hello!
Nikiwa kwenye corridor za umma takribani miaka 10 sasa nimejionea uzembe wa kiwango kikubwa sana. Watumishi wengi wa umma maadamu mshahara wao ni lazima wapate kila mwezi na posho zipo palepale basi watumishi hawataki usumbufu kabisa. Hata ubunifu hakuna.
Unakuta ofisi leo inaomba...
Habari za wakati wajumbe.
Hili suala la PEPMIS naona kwa mtazamo wangu kama lina maswali mengi sana kuliko majibu.
Japo lengo la serikali ni zuri kabisa, la kutumia mifumo ya tehama na teknolojia kufanya performance appraisal lakini niishie kusema kwa mfumo huu naona kabisa halitatimia.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.