Kuota upo shule ya msingi

Kuna Watu hawaelewi unazungumzia Nini...!

Mimi ni mganga, niliota sana hizo Ndoto na nikapuuzia, nilichokuja kupitia Mungu anajua...!

Mwisho wa siku niliamua kukabidhi Maisha yangu Kwa Mungu 1,000% nikashinda Vita, ila si rahisi, tafuta Kanisa uende ukaombewe..!

Watu watakushari hapa Kwa hisia zao tu..... Usijekukosea Ukaenda Kwa Mganga, coz Wachawi ndiyo Waganga Wakienyeji, Waganga ndiyo Wachawi wenyewe, na Wachawi Wana Nguvu kuliko Waganga..... utakuja kulia na hakutakua na wakukufuta Machozi.
 
Bora nyie wenzangu mnaoota mkiwa mmeshaanza shule, mwenzenu mara kwa mara naota bado nikiwa tumboni 😔
 
Kweli mkuu! waganga wanawapiga sana watu wanakuja kushituka dakika za mwisho!
 
Mkuu,nilifanikiwa kwa njia ya maombi na nikaandika Uzi huu kuelezea
 
Unaweza kunieleza japo kwa ufupi
Mkuu kama bado unaziota hizo ndoto za shule...

Au ukiona tu siku umeota ndoto upo shule siku ya mtihani then katika kufanya ule mtihani mambo/maswali yakawa magumu na ukashidwa kumaliza maswali au muda wa mtihani umeisha wewe ndio unaanza kujibu swali la kwanza...

Maana yake kuna fursa inakuja aidha unaijua na umeiomba hivyo unaisikilizia itiki au huijui kabisa... Ila hautaipata kwasababu haujajiandaa kikamilifu kukumbana na majukumu yatokanayo na hiyo fursa.

Kama ni issue ya interview basi upo shallow sana hivyo hautatoboa na watakao toboa ni wale waliojiandaa kikamilifu.

Kwahiyo mkuu ukiona unaota upo shule unapiga pepa harafu linakutoa jasho jua fursa ipo ila wewe binafsi haujajiandaa physically, kama ni interview jua kabisa upo shallow na haujajinao kisawasawa na material husika, hivyo roho yako katika ulimwengu wa roho inakujuza kua haujajiandaa na hii fursa...

Na mara zote fursa huwa inakuwa bahati na kumpata kwa yule aliejiandaa.
 
Mkuu nilifanikiwa kupitia maombi na nikasimulia kwenye huu Uzi

 
Lilikuwa ni tatizo la
Ukweli Mchungu......!

Ukweli Mchungu......!
Ni kweli lilikuwa tatizo la kiroho ila nilifanikiwa kujinasua na nikasimulia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…