Kuota upo shule ya msingi

Kuota upo shule ya msingi

May be! yaani unapita sehemu unaona bar, sasa ile kuona tu watoto wazuri dopamine inaitikia, halafu unabaki kujiuliza niende au akili nyingine inasema acha!
Dah! Pole mkuu. Kumbe ni mchana ukiwa matembezini kabisa?
 
Umepigwa kipapai mzee
Nilifanikiwa kutoka kwenye huo mtego na nilisimulia hapa

 
Back
Top Bottom