- Thread starter
- #101
Ooh okayYap huwa ni mara moja kwa mwaka
Lakin maombi huendelea kwa kila parokia kulingana na utaratibu wa parokia husika
Ooh okayYap huwa ni mara moja kwa mwaka
Lakin maombi huendelea kwa kila parokia kulingana na utaratibu wa parokia husika
Shukhrani sanaHongera sana kwa kupata kazi
Una Sali parokia ganMimi nasali Roman Catholic mkuu
NaamNawe umeomba kazi?
Mimi pia niliwahi kudoubt uwepo wa Mungu baada ya kaka angu kufariki na nilikuwa nabishana na walokole nawaambia kama Mungu angekuwepo basi kusingekuwepo na watu wanaoteseka na shida mbalimbali hapa duniani nikaacha kabisa na kwenda kanisaniCriticize hizi dini/dhehenu ama imani ila si Mungu,wewe usingewaona wazazi wako wakikulea labda muda huu ungebisha kuwa hatuzaliwi/hatutokani na wazazi.
Kwa namna yeyote ipo asili ya tuvionavyo na sisi pia,hicho chanzo ndio Mungu mwenyewe.
Mungu akufanyie wepesi mkuu!Naam
Mambo ya kiroho ni very deep si mchezo! Watu wanayachukulia poa mpaka yatakapowakuta!Mimi pia niliwahi kudoubt uwepo wa Mungu baada ya kaka angu kufariki na nilikuwa nabishana na walokole nawaambia kama Mungu angekuwepo basi kusingekuwepo na watu wanaoteseka na shida mbalimbali hapa duniani nikaacha kabisa na kwenda kanisani
Dah acha mkuu hii hali niliyopitia hata adui yangu simuombee aipitieHongera kwa kuvuka taabu ya kukosa kipato cha uhakika...familia itarejesha tabasamu sasa.
Chapa kazi na kila la kheri mkuu.
Binafsi kanisani nimepiga stop kwa sasa kwani mambo yapo kinyume na mafundisho tuliyopata utotoni ,mfano mali na milki ni za dunia ila leo kila kanisa linasaka mapato sio kawaida.Mimi pia niliwahi kudoubt uwepo wa Mungu baada ya kaka angu kufariki na nilikuwa nabishana na walokole nawaambia kama Mungu angekuwepo basi kusingekuwepo na watu wanaoteseka na shida mbalimbali hapa duniani nikaacha kabisa na kwenda kanisani
Mambo ya kiroho ni very deep si mchezo! Watu wanayachukulia poa mpaka yata
Mambo ya kiroho ni very deep si mchezo! Watu wanayachukulia poa mpaka yatakapowakuta!
Ni suala la muda tu
Changamoto sana hiiBinafsi kanisani nimepiga stop kwa sasa kwani mambo yapo kinyume na mafundisho tuliyopata utotoni ,mfano mali na milki ni za dunia ila leo kila kanisa linasaka mapato sio kawaida.
Kila madhabahu inahubiri utajiri na kufunguliwa kiafya ilihali mambo ya kiroho kuwa ya mwisho.
NB: naamini uwepo wa Mungu,natenda mema na kupenda wanaonizunguka kwangu haya ni zaidi ya ibada 🙏
Maximilian kolbe mwengeUna Sali parokia gan
Hakuna Mungu.Criticize hizi dini/dhehenu ama imani ila si Mungu,wewe usingewaona wazazi wako wakikulea labda muda huu ungebisha kuwa hatuzaliwi/hatutokani na wazazi.
Kwa namna yeyote ipo asili ya tuvionavyo na sisi pia,hicho chanzo ndio Mungu mwenyewe.
Hasa Imani ya Kikristo,ikizingatiwa hapo mtoa mada ametaja jina la Yesu.Imani ni kitu chenye nguvu sana
Nami nakuombea pia upate Kila la kheri🙏🙏Mungu anajibu maombi mimi pia kuna taasisi ipo kwenye maombi yangu zaidi ya mwaka naamini Mungu atanipatia nitakuja kutoa ushuhuda hapa.
Ni mawazo yako!Hakuna Mungu.
Huyo Mungu ni wewe tu unahangaika kumtetea na kumuelezea.
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Barikiwa sana mtumish
Ameni... wengine ni Mathomaso mkuu mpaka waone ndio wataamini kwamba MUNGU anatenda!Amina,nafurahi kuona baadhi ya watu mnanielewa,maana Kuna watu walipinga sana wakahisi naongea uongo
All in all Mungu yupo na anatenda