Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 846
- 1,579
Nilipoteza kazi since mwaka jana nipo nyumbani hadi leo hii,
Kuna Ile siku unaamka huna hata shilingi mia yaan hii hii shilingi mia moja ya kitanzania

Kuna sehemu nilisoma, ina hizo tafasri mkuu!Yes mkuu
Unaweza kunieleza japo kwa ufupiKuna sehemu nilisoma, ina hizo tafasri mkuu!
Duh! mkuu, hapa nahisi kusinzia! nenda google "rejeabiblia-ndoto archives" utazikuta huko mkuu!Unaweza kunieleza japo kwa ufupi
Ukweli Mchungu......!Pole sana kiongozi tatizo lako ni la kiroho zaidi
Kuna Watu hawaelewi unazungumzia Nini...!Nilipoteza kazi since mwaka jana nipo nyumbani hadi leo hii,
Kuna Ile siku unaamka huna hata shilingi mia yaan hii hii shilingi mia moja ya kitanzania🙌🙌
Nimepiga interview nyingi then after hapo no feedback
Kuna interview nyingine nilifanya nikaambiwa nitaitwa second interview,hii nilikuwa na uhakika napenya ila majibu holla,nikasema nimpigie huyo HR na tulikuwa tunawasiliana vizuri,hakupokea simu zangu tena na hapo naona anapost social media kama kawaida🤔
Halafu nakuwa naota sana zile ndoto nipo shule ya msingi mara nipo kijijini kwetu na nilikuwa sioti hizo ndoto kabla ya hapo,
Yaani kila kitu kimestuck kabisaaa
Huwa mnatokaje kwenye huu mkwamo?
Kweli mkuu! waganga wanawapiga sana watu wanakuja kushituka dakika za mwisho!Kuna Watu hawaelewi unazungumzia Nini...!
Mimi ni mganga, niliota sana hizo Ndoto na nikapuuzia, nilichokuja kupitia Mungu anajua...!
Mwisho wa siku niliamua kukabidhi Maisha yangu Kwa Mungu 1,000% nikashinda Vita, ila si rahisi, tafuta Kanisa uende ukaombewe..!
Watu watakushari hapa Kwa hisia zao tu..... Usijekukosea Ukaenda Kwa Mganga, coz Wachawi ndiyo Waganga Wakienyeji, Waganga ndiyo Wachawi wenyewe, na Wachawi Wana Nguvu kuliko Waganga..... utakuja kulia na hakutakua na wakukufuta Machozi.
Fafanua mkuu! tumbuni au tumboni?Bora nyie wenzangu mnaoota mkiwa mmeshaanza shule, mwenzenu mara kwa mara naota bado nikiwa tumbuni
Tumboni.Fafanua mkuu! tumbuni au tumboni?
Mkuu,nilifanikiwa kwa njia ya maombi na nikaandika Uzi huu kuelezeaKuna Watu hawaelewi unazungumzia Nini...!
Mimi ni mganga, niliota sana hizo Ndoto na nikapuuzia, nilichokuja kupitia Mungu anajua...!
Mwisho wa siku niliamua kukabidhi Maisha yangu Kwa Mungu 1,000% nikashinda Vita, ila si rahisi, tafuta Kanisa uende ukaombewe..!
Watu watakushari hapa Kwa hisia zao tu..... Usijekukosea Ukaenda Kwa Mganga, coz Wachawi ndiyo Waganga Wakienyeji, Waganga ndiyo Wachawi wenyewe, na Wachawi Wana Nguvu kuliko Waganga..... utakuja kulia na hakutakua na wakukufuta Machozi.
Mimi pia niliwahi kudoubt uwepo wa Mungu baada ya kaka angu kufariki na nilikuwa nabishana na walokole nawaambia kama Mungu angekuwepo basi kusingekuwepo na watu wanaoteseka na shida mbalimbali hapa duniani nikaacha kabisa na kwenda kanisaniCriticize hizi dini/dhehenu ama imani ila si Mungu,wewe usingewaona wazazi wako wakikulea labda muda huu ungebisha kuwa hatuzaliwi/hatutokani na wazazi.
Kwa namna yeyote ipo asili ya tuvionavyo na sisi pia,hicho chanzo ndio Mungu mwenyewe.
Kuna Watu hawaelewi unazungumzia Nini...!
Mimi ni mganga, niliota sana hizo Ndoto na nikapuuzia, nilichokuja kupitia Mungu anajua...!
Mwisho wa siku niliamua kukabidhi Maisha yangu Kwa Mungu 1,000% nikashinda Vita, ila si rahisi, tafuta Kanisa uende ukaombewe..!
Watu watakushari hapa Kwa hisia zao tu..... Usijekukosea Ukaenda Kwa Mganga, coz Wachawi ndiyo Waganga Wakienyeji, Waganga ndiyo Wachawi wenyewe, na Wachawi Wana Nguvu kuliko Waganga..... utakuja kulia na hakutakua na wakukufuta Machozi.
Mkuu kama bado unaziota hizo ndoto za shule...Unaweza kunieleza japo kwa ufupi
Mkuu nilifanikiwa kupitia maombi na nikasimulia kwenye huu UziKuna Watu hawaelewi unazungumzia Nini...!
Mimi ni mganga, niliota sana hizo Ndoto na nikapuuzia, nilichokuja kupitia Mungu anajua...!
Mwisho wa siku niliamua kukabidhi Maisha yangu Kwa Mungu 1,000% nikashinda Vita, ila si rahisi, tafuta Kanisa uende ukaombewe..!
Watu watakushari hapa Kwa hisia zao tu..... Usijekukosea Ukaenda Kwa Mganga, coz Wachawi ndiyo Waganga Wakienyeji, Waganga ndiyo Wachawi wenyewe, na Wachawi Wana Nguvu kuliko Waganga..... utakuja kulia na hakutakua na wakukufuta Machozi.
Duuuuuh! hii nayo ina maana gani?Tumboni.
Ninyi mnaoota mkiwa mnasoma nawaonea wivu mjue 🙁Duuuuuh!
Ukweli Mchungu......!
Ni kweli lilikuwa tatizo la kiroho ila nilifanikiwa kujinasua na nikasimulia hapaUkweli Mchungu......!
hata mimi niyaleyale tu mkuu, two months ago niliota wet dream mara 3 mfululizo halafu zote ni mchana !Ninyi mnaoota mkiwa mnasoma nawaonea wivu mjue
Jini mahaba huyo.hata mimi niyaleyale tu mkuu, two months ago niliota wet dream mara 3 mfululizo halafu zote ni mchana !
May be! yaani unapita sehemu unaona bar, sasa ile kuona tu watoto wazuri dopamine inaitikia, halafu unabaki kujiuliza niende au akili nyingine inasema acha!Jini mahaba huyo.