ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 7,366
- 17,957
Kama ni hivyo sawaKila mtu ana ndoto zake kutokana na background...
Hazifanani
Kama ni hivyo sawaKila mtu ana ndoto zake kutokana na background...
Hazifanani
Vinahusiana na ndo maana anapata shidaKuota ndoto ukiwa shule ya msingi hakuhudiani na hayo unayoyapitia mkuu.
YapKama ni hivyo sawa
Ukiwa mtu wa kuamini sana hivyo vitu lazima ukwame aisee!Vinahusiana na ndo maana anapata shida
Hayo mahangaiko ni alarm kuwa kuna kitu hakipo sawa
Basi km ww huna usiwabishie walionazoHizo ni imani tu ,sina imani yoyote ya Mungu wala shetani , hayo ni mambo ya imani wala hayana uthibitisho wowote , naota hizo ndoto za shule kila siku na mipango yangu inaenda kama ninavyotaka.
Sio suala la kuaminiUkiwa mtu wa kuamini sana hivyo vitu lazima ukwame aisee!
Onyesha nilipo bisha ? Naongea sayansi na vitu vilivyo thibitika na sio imani, amini unavyo amini ila haindoi ukweli kuziota hizo ndoto ni jambo la kawaida.Basi km ww huna usiwabishie walionazo
Kila mmoja abaki na anacho amini
Ila ht wachawi wanajua
Ya kikukuta ndo utajua kuwa ni kawaida au sio kawaidaNakazia sana hapa, hakuna la zaidi ya hapo
Ok good, km kasahasaidika ilaUnahitaji msaada wa maombi mkuu, nitakupa namba uwasiliane na Muinjilisti fulani ni mwanamke. Anaweza akakusaidia.
hauko sahihi. Ndoto ya shulen au ya kuyaona mambo yaliyopita iwe mazingira au watu Au hata marafiki wa zamani hua ina maana moja.Kuota upo shule ya msingi pekee haitoshi sababu ulipaswa useme
1. Ulikuwa unafanya nini
2. Ulikuwa na nani?
3. Asubuhi, mchana au jioni
4. Ulikuwa darasani, nje ya darasa
5. Mwanafunzi wa shule hiyo? Ulisomaga hapo?
Ss sayansi na spiritual things wapi na wapi mkuu???Mungu ni zaidi ya sayansi😆Onyesha nilipo bisha ? Naongea sayansi na vitu vilivyo thibitika na sio imani, amini unavyo amini ila haindoi ukweli kuziota hizo ndoto ni jambo la kawaida.
Wala sijaku kureply wewe kwa chochote ,kirehehere chako tu
Hayuko sahihi kivipi?hauko sahihi. Ndoto ya shulen au ya kuyaona mambo yaliyopita iwe mazingira au watu Au hata marafiki wa zamani hua ina maana moja.
maana yake ni kuna hali itajirudia halihiyo hujionyesha humo kwenye ndoto. Na hisia zitakazo kupata kwenye ndoto hua ni sawa na za tukio lakutimia kwa ndoto hiyo.
Ndiko ulikofungiwa kiroho. Jitakase, fanya ibada.Nilipoteza kazi since mwaka jana nipo nyumbani hadi leo hii,
Kuna Ile siku unaamka huna hata shilingi mia yaan hii hii shilingi mia moja ya kitanzania🙌🙌
Nimepiga interview nyingi then after hapo no feedback
Kuna interview nyingine nilifanya nikaambiwa nitaitwa second interview,hii nilikuwa na uhakika napenya ila majibu holla,nikasema nimpigie huyo HR na tulikuwa tunawasiliana vizuri,hakupokea simu zangu tena na hapo naona anapost social media kama kawaida🤔
Halafu nakuwa naota sana zile ndoto nipo shule ya msingi mara nipo kijijini kwetu na nilikuwa sioti hizo ndoto kabla ya hapo,
Yaani kila kitu kimestuck kabisaaa
Huwa mnatokaje kwenye huu mkwamo?
Mimi naziota na sipati shida , mkiambiwa mthibitishe mnambwela , amini unavyo amini ni haki yako .Ss sayansi na spiritual things wapi na wapi mkuu???Mungu ni zaidi ya sayansi😆
Btw comments zako umesema ni vitu vya kawaida ndo maana nimesema usibishe
Sio vitu vya kawaida ndo maana ht ye anapata shida ...
Basi sawa.Sio suala la kuamini
Suala ni kwamba
"Life is spiritual " utake , uamini , usiamini haibadiriki utachagua ww
Mwilini ni matokeo tu ya kule kimefanyika rohoni....
Inshrt hakuna kitu kinatokea bila taarifa unless ur not sensitive in spirit au huna maarifa
Hizo ndoto kuziota ni jambo la kawaida kabisa , hata kama umefanikiwa mambo yako unaweza ziota tu.
Tafuta tu sababu nyingine ya kupambana, kama asilimia kubwa ya watu duniani wanavyofanya ila kuhusu hizo ndoto hazina maana y
Kama upo serious tafuta kitabu kinaitwa spiritual darkness kimeandikwa na bily grahamNilipoteza kazi since mwaka jana nipo nyumbani hadi leo hii,
Kuna Ile siku unaamka huna hata shilingi mia yaan hii hii shilingi mia moja ya kitanzania🙌🙌
Nimepiga interview nyingi then after hapo no feedback
Kuna interview nyingine nilifanya nikaambiwa nitaitwa second interview,hii nilikuwa na uhakika napenya ila majibu holla,nikasema nimpigie huyo HR na tulikuwa tunawasiliana vizuri,hakupokea simu zangu tena na hapo naona anapost social media kama kawaida🤔
Halafu nakuwa naota sana zile ndoto nipo shule ya msingi mara nipo kijijini kwetu na nilikuwa sioti hizo ndoto kabla ya hapo,
Yaani kila kitu kimestuck kabisaaa
Huwa mnatokaje kwenye huu mkwamo?