Kugembemaguha
Member
- Mar 15, 2026
- 5
- 1
Kero yangu ni kuhusu michango inayotozwa wanafunzi wa Shule ya Msingi VETA iliyopo Mbeya Mjini
Wanafunzi wanatakiwa kuchangia:
Naomba kufahamu, je, michango hii imeidhinishwa rasmi na mamlaka husika, au ni utaratibu wa shule wenyewe?
Wanafunzi wanatakiwa kuchangia:
- Shilingi 5,000 kila mwezi;
- Shilingi 1,000 kila wiki;
- Shilingi 20,000 (mchango mwingine);
- Mchele kilo 10; na
- Maharage kilo 7.
Naomba kufahamu, je, michango hii imeidhinishwa rasmi na mamlaka husika, au ni utaratibu wa shule wenyewe?