Yeahh.
ZIma ugumu wake.
Jamaa angu mmoja kipindi flan, aliniita akaniambia "mwanangu, nimeanzisha taasisi, ila kwasasa imekua sana nashindwa namna ya kuiongoza, nimeanza kuajiri wakenya ma waganda na wabongo wamejaa, staff zaidi ya 45. Njoo nisaidie"
Hapo ni miezi kadhaa tu imepita, niko zangu shamba tu, nafuga nguruwe, baada ya mikiki mikiki ya maisha na kuamua kukaa mbali na watu.
Nina mwezi wa 3 sasa, jamaa anapumua angalau. Mambo yamenyooka hivi, hayo yote uliosema nimekutana nayo.
Uzuri hiki anachosema
La Quica mimi nimeanza nacho miaka kama 15 iliopita ndio kwaaanza natoka shule. So najua vyema sana anachosema