Kuongoza watu uliowazidi umri

Kuongoza watu uliowazidi umri

Uongozi ni nia au moyo wa mtu Mbali na ujuzi ulionao

Ukiona sehemu Kuna wakongwe tambua dhamira yako ndio imekubeba

So kuwa na adabu na watu Kuna wengine watakuongezea vitu Pasi na hila
 
Simamia misingi,kanuni, sheria na taratibu za kazi.

Usicheke na nyani.Yaani ukiweza be serious mda wote.

Watakutega,watakuwa hawafanyi kazi wala kuzisubmit,utapigwa majungu utafanyiwa fitna kiwango cha MOTONI.

Ukionyesha kuogopa umri wao,watakuvuruga mpaka uone ofisi chungu.

NB:Hao wote wanakuona wewe adui, umechukua nafasi yao.Jipange bwana mdogo!!!

#ukiweza usiwe unakulakula hovyo humo ofisini maana wakipata upenyo wanakurudisha mavumbini,punguza favours kutoa na kupokea.

Aliyekupa cheo kuongoza hao wanga(wachawi), amekupa mtihani haswa.
Exactly man. Exactly. Nimekuja kugundua kwa asilimia kubwa uongozi ni talent na japo viongozi huandaliwa, wengi hukutana na majukum ya uongozi kabla ya kuandaliwa.

Pia nimekuja kufaham, mtu aliyepitia vurugu nyingi za kupambana na maosha magumu mpaka kuja kukaa sawa, they can be very good leaders kwakua maisha hutoa funzo moja zuri sana kuwa ukicheka cheka na mtu, maisha hayatakua na huruma na wewe na pia yeyote katika circle yako anaweza geuka kuwa yeyote muda wowote kwahiyo ni muhimu sana kuzingatia baadhi ya mambo jinsi yanatakiwa kwenda
 
Pigo za FB za kutag watu mia kwenye kipost cha maneno kumi mnaleta JF.....ushamba wa kinyamwezi huwo
Kwamba kuwa mshamba sikuizi ni kosa bro, ok ulitaka afanye nn na vipi kama ndo anataka hao watu ndo wamjibu na sio kila mtu
 
Wewe Papai kama mumeo ameshindwa kukukoboa,usiniletee mimi hizo hasira zako,

Soma vizuri comment yangu na uielewe,nimemuuliza swali mleta mada,alitakiwa ajibu Yes or No,sasa wewe Punga sijui umetoka wapi huko na kuanza kujitongozesha kwangu.
Ukimaliza kulia jua kwamba una roho ya kike umeona kama waliotagiwa watafaidi sana yani haya watakutag na wewe skuingine
 
Exactly man. Exactly. Nimekuja kugundua kwa asilimia kubwa uongozi ni talent na japo viongozi huandaliwa, wengi hukutana na majukum ya uongozi kabla ya kuandaliwa.

Pia nimekuja kufaham, mtu aliyepitia vurugu nyingi za kupambana na maosha magumu mpaka kuja kukaa sawa, they can be very good leaders kwakua maisha hutoa funzo moja zuri sana kuwa ukicheka cheka na mtu, maisha hayatakua na huruma na wewe na pia yeyote katika circle yako anaweza geuka kuwa yeyote muda wowote kwahiyo ni muhimu sana kuzingatia baadhi ya mambo jinsi yanatakiwa kwenda
Yeah binadamu wabaya sana.

Bwana mdogo anatakiwa akaze haswa.Washaanza kudoji kuja kazini😄😄😄

Dogo kama anapigo za kisabato ofisi itamshinda kuirun.

📌Hapo inabidi akae kwenye mstari yeye mwenyewe ili akitoa maelekezo ni one way order!!!
 
Kumbe hii ni ID nyingine ya mleta mada sio? Maana sio kwa shobo hizo,unamvamia kila mchangi

Kumbe hii ni ID nyingine ya mleta mada sio? Maana sio kwa shobo hizo,unamvamia kila mchangiaji.
Hapo kawatag watu wamsaidie mawazo siku waseme wanamchangia pesa si utakufa dah kweli wanawake mnae matatizo sana
 
📌Bwanamdogo usitake kukubalika/kupendwa akikupenda mamako inayosha, ni heri kazi za ofisi zienda kwa wakati na ziwe vizuri, ila ukitaka kupendwa na kila mtu humo ofisini jiandae kugombana na bosi aliyekukabidhi cheo.

📌📌INGIA YOUTUBE SIKILIZA DOCUMENTARY ZA MWANAFALSAFA ANAITWA NICOLLO MACHIAVELLI.UTATEGUA HUO MTEGO NA UTAJIFUNZA VITU VINGI KUHUSU UONGOZI NA SIASA ZA OFISINI.
 
Back
Top Bottom