wolf5100
Member
- Apr 9, 2016
- 58
- 26
haha.. duniani tumeletwa kutafta mal na pesa.mengine yasikushughulishe xana utakufaMwisho wa dunia
haha.. duniani tumeletwa kutafta mal na pesa.mengine yasikushughulishe xana utakufaMwisho wa dunia
Naona mnatetea haki zenu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]UJINGA MTUPU
HUU NI ULUPO ULOPITILIZAiBADALA YA KUFANYA KAZI MNADEAL NA USHOGA
USHOGA NI TABIA YA MTU SO SIO RAHIS MNAVYODHAN KWANZA WAACHENI WAKAE FANYA YAKO YA WATU HAYAKUHUSU
KWANI MTU AKIWA SHOGA INAKUWASHA WAPI?KILA MTU NA MAISHA YAKE
TANZANIA TUTAENDELEA LINI KWA KUFATILIA YA WATU MJINI?HAKI ZA BINADAM ZIZINGATIWE
CHEFU KBS
wewe ni shoga?UJINGA MTUPU

Habari ni za kweli......kabisaaa......wanapatilana ktk kumbi mbalimbali za starehe...the day nilioneshwa na kuambiwa tizama kundi lile paleee la vijana then watch out their duings....nilikataa nikasema hapana hamuwez kuwa serious....ilikuwa pub flan hv ipo ghorofan....basi mziki ukipowekwa ndo niliona throu their actions......wamejitenga kabisa na watu wengine....walikuwa kama nane vile...bhas. wakaanza kucheza huku wakishikana viuno wao kwa wao...ndo niliamini hawa viumbe wapo....niliendelea na kilichonifanya niwe pale.....thou nilihakiki kwamba kweli......gays....wamejaa.......hizi habari ni za kweli??? hivi unajuaje kuwa huyu shoga na huyu si shoga kama wewe si shoga. wengine dont care tunafocus ya kutafuta mpunga japo umepotea
And most of them....unakuta ni familia zenye uwezo mzuri kiuchumi......hapa kwa haraka unapata jibu kwamba parenting style wanayotumia watu wenye uwezo kiuchumi ni mbaya......ama wanalelewa wanao bila wao kujua matokeo mabaya ya hatua hzo kwa watoto wao....malezi ndo chanzo kikubwa kupatikana hawa binadamu wenye tabia za ajabu.....kuweni makini wazaz ktk malezi........dnt b laizerfair in parentin...tutaishia kupiga kelele...kumbe mashoga tunawatengeneza wenyewe......isitoshe wao wenyewe haawapendi hzo tabia but wanakaa kulaumu tuu kwann wamelelewa vbaya....so lawama za mashoga zisirudi kwako mzaz...hakikisha unatoa malezi bora ....b commite......Da!
Mi nahisi hii tabia ya wazazi kuwa achia watoto kulelewa na ma house girl
Mtoto wa kiume kushinda kutwa nzima na ma dada zake
Shule za boarding mtoto hangali mdogo sana
Hivi ni vitu vinachochea sana vijana wetu kujiingiza kwenye moto huu hatareeeee
This is my intake
Haya mambo yanaendana na ushetani do you remember sodoma na gomora enzi za nuhu. Sasa hii kwa kipindi hiki freemasons wana mkono hapa. Tusali sana, halafu vile vile ukata unachangiaNi wanaume wote kuwakataa. Wanaume wakiendelea kuwachukua ndio wanazidi kuongezeka
Kwanza tujiulize nini Chanzo cha Ushoga na nini Catalysts ya Ushoga? Bila ya kujua hayo hatuwezi zuia Ushoga.Wakuu habari za wakti huu.
Leo nimelileta mezani hili jambo.
Jamani Dar hali sio shwari mitaani kwani kuna ongezeko kubwa la mashoga au makaka poa kila kona ya jiji.
Wengine ni waume za watu, watu na heshima zao lakini wanajihusisha na mambo ya kipuuzi.
Vijana wameharibikiwa huko instagram na facebook na mitaani hapafai yaani mashoga wamejana humo.
Facebook hatukai kwa amani tena, twitter, badoo na instagram sasa naombeni tujadili ama niulize tayari hali ni tete kama hii kwa vijana.
Nini kifanyike kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo la USHOGA hapa dar? Maana miaka 10 ijayo hali itakua mbaya sana.
Hebu toa TAKWIMU unaposema "ongezeko kubwa..." Unamaanisha nini?ni ongezeko la kipindi cha muda gani?Dar ulifnya tafiti kwa sample gani mpaka kuconclude?shoga ni mtu wa aina gani kutokna na mada yko?n kWakuu habari za wakti huu.
Leo nimelileta mezani hili jambo.
Jamani Dar hali sio shwari mitaani kwani kuna ongezeko kubwa la mashoga au makaka poa kila kona ya jiji.
Wengine ni waume za watu, watu na heshima zao lakini wanajihusisha na mambo ya kipuuzi.
Vijana wameharibikiwa huko instagram na facebook na mitaani hapafai yaani mashoga wamejana humo.
Facebook hatukai kwa amani tena, twitter, badoo na instagram sasa naombeni tujadili ama niulize tayari hali ni tete kama hii kwa vijana.
Nini kifanyike kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo la USHOGA hapa dar? Maana miaka 10 ijayo hali itakua mbaya sana.
UJINGA MTUPU
HUU NI ULUPO ULOPITILIZAiBADALA YA KUFANYA KAZI MNADEAL NA USHOGA
USHOGA NI TABIA YA MTU SO SIO RAHIS MNAVYODHAN KWANZA WAACHENI WAKAE FANYA YAKO YA WATU HAYAKUHUSU
KWANI MTU AKIWA SHOGA INAKUWASHA WAPI?KILA MTU NA MAISHA YAKE
TANZANIA TUTAENDELEA LINI KWA KUFATILIA YA WATU MJINI?HAKI ZA BINADAM ZIZINGATIWE
CHEFU KBS
Then hatua nyingine zifuate, hiyo ilijuwa ya kwanza.Unampiga teke chura?
Unaulizia gari ya mwendokasi kwenye kituo chake kuwa inapita au haipiti, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wewe ni shoga?
Mbona wakati wa kampeni tulikuwa tunawaomba kura kwa unyenyekevu, leo hii wamekuwa wakunyongwa.Jibu la namna ya kudhibiti ujinga huu ni KUKUAMATA WOTE WANAJIHUSISHA NA KUNYONGA MPAKA WAFE. Tena bahati nzuri wengine walishajitokeza hadharani, so hakuna shida katika namna ya kuwapata.