King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,933
- 98,017
Hii Habari imekuwa Amplified,Mashoga wapo lakini si kama ulivyoeleza kwa Ku-Boost.
Cc JPMYahya Jameh rais wa Gambia aliwapiga mkwara mzito wakati anahutubia UN mbele ya Ban ki moon
Alisema akirudi Gambia hataki kumuona shoga yeyote kwakuwa hajawahi kuona kuku shoga wala Ngo'mbe shoga akatoa tamko,shoga yeyote yule kwa usalama wake aondoke Gambia na kama akitaka aendelee kuishi Gambia basi ushoga No.
Akasema shoga yeyote shingo yake ni halali yake,ukienda mji mkuu wa Gambia,insta,fb hukuti upuuzi wa mashoga
Solution-fuata nyayo za Yahya Jammeh
The higher the demand the higher the supplyWakuu habari za wakti huu
Leo nimelileta mezani hili jambo,
Jamani Dar hali sio shwari mitaani kwani kuna ongezeko kubwa la mashoga au makaka poa kila kona ya jiji
Wengine ni waume za watu, watu na heshima zao lakini wanajihusisha na mambo ya kipuuzi
Vijana wameharibikiwa huko instagram na facebook na mitaani hapafai yaani mashoga wamejana humo
Facebook hatukai kwa amani tena, twitter, badoo na instagram sasa naombeni tujadili ama niulize tayari hali ni tete kama hii kwa vijana,
Nini kifanyike kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo la USHOGA hapa dar? Maana miaka 10 ijayo hali itakua mbaya sana
Malikani- hating these creatures with mutton skin (personal opinion)Kwa msaada wa watu wa..
Magomeni wapo na kinondoniMitaa gani wanapatikana mbona mimi siwaoni acha unafiki mkuu nitajie japo wanapatikana wapi nikawaone
Huyu jamaa namkubali sanaYahya Jameh rais wa Gambia aliwapiga mkwara mzito wakati anahutubia UN mbele ya Ban ki moon
Alisema akirudi Gambia hataki kumuona shoga yeyote kwakuwa hajawahi kuona kuku shoga wala Ngo'mbe shoga akatoa tamko,shoga yeyote yule kwa usalama wake aondoke Gambia na kama akitaka aendelee kuishi Gambia basi ushoga No.
Akasema shoga yeyote shingo yake ni halali yake,ukienda mji mkuu wa Gambia,insta,fb hukuti upuuzi wa mashoga
Solution-fuata nyayo za Yahya Jammeh
Kwani hawajulikani?hizi habari ni za kweli??? hivi unajuaje kuwa huyu shoga na huyu si shoga kama wewe si shoga. wengine dont care tunafocus ya kutafuta mpunga japo umepotea
Jiji hili ni kubwa sijawai kubahatika kukutana na mtu anaeitwa shoga hua nasikia tu sijui kwa sababu hua Sipendi kutembelea bar au sehemu ya starehe sijawai kumuona shoga kwa kweli
Ukienda kwenye shows za taarabu unaweza kuwabahatisha mkuu.. Especially huko Kinondoni. Au kwenye vigodoro vya bongo moviesMitaa gani wanapatikana mbona mimi siwaoni acha unafiki mkuu nitajie japo wanapatikana wapi nikawaone
Kumbe thailand haifai duuhMbona hapa kwetu baado sana,angalia thailand ndio zilikuwa millitary bases za us servicemen umeona matokeo yake nusu ya thailand ni ladyboys wanawake wa thailand karibia wote bila anal sex hakuna ndoa.
we umewajuaje? nipe tips za kuwajiuaKwani hawajulikani?
duuuuh kama thailand hali ndo hiyo sijui sisi tunaotegemea misaada sijui itakua vipiMbona hapa kwetu baado sana,angalia thailand ndio zilikuwa millitary bases za us servicemen umeona matokeo yake nusu ya thailand ni ladyboys wanawake wa thailand karibia wote bila anal sex hakuna ndoa.
kweli ukalale na men mwenzako ujihisi poa tu???Hawa mashoga siyo wasumbufu kama mademu, demu mara amwagie papuchi yake tomato aje scan akuambie yupo kwenye masiku yake! bora uchukue wahawa kina Jams Delisious siyo wasumbufu unapiga unaondoka zako ukiwa mwepesi