Bruce Hebrews
Member
- Sep 22, 2021
- 17
- 35
Ahaaaa Shukran Madhara yake Ni Kama yapiKaa nazo mbali
Faida ni chache na niza muda mfupi, Madhara yake ni makubwa na ya muda mrefu.
Njia pekee ya kuufanya mwili uwe fit na uonekane fit, ni kuzingatia Taratibu za kiafya
- Kula vizuri
- Fanya mazoezi stahiki mara kwa mara.
- Cheki afya yako na pata ushauri inapobidi.
- Punguza matumizi ya vyakula vya hovyo na vinyaji vya hovyo, (ambapo kwa walio wengi aina hii ya vyakula/ vinywaji vya ovyo kwao huona ni ufahari na kuyapatia maisha kumbe wanajiangamiza na kudhorotesha afya zao taratiiibu)
- Pendelea kunywa maji zaidi na kutumia matunda.
Hakika mwili utakuwa fit na utakuwa na mwonekano fi bila kujali jinsia kuwa wewe ne Me au KE
View attachment 1950266