Kuongeza Mwili: Muongozo wa Mazoezi na lishe (Gym workout & Diet)

Kaa nazo mbali

Faida ni chache na niza muda mfupi, Madhara yake ni makubwa na ya muda mrefu.


Njia pekee ya kuufanya mwili uwe fit na uonekane fit, ni kuzingatia Taratibu za kiafya
  • Kula vizuri
  • Fanya mazoezi stahiki mara kwa mara.
  • Cheki afya yako na pata ushauri inapobidi.
  • Punguza matumizi ya vyakula vya hovyo na vinyaji vya hovyo, (ambapo kwa walio wengi aina hii ya vyakula/ vinywaji vya ovyo kwao huona ni ufahari na kuyapatia maisha kumbe wanajiangamiza na kudhorotesha afya zao taratiiibu)
  • Pendelea kunywa maji zaidi na kutumia matunda.

Hakika mwili utakuwa fit na utakuwa na mwonekano fi bila kujali jinsia kuwa wewe ne Me au KE

View attachment 1950266

images
Ahaaaa Shukran Madhara yake Ni Kama yapi
 
Aisee nimejiandikisha gym jana maana mazoezi ya ghetto hayanipi mwitikio nakosa kampani. Watu wote hawafanyi mazoezi hafu kuna watoto wa kike hapa hivo nilikuwa navizia usiku wa manane. Sasa tangu leo nitaamka asubuhi mapema naingia gym kama dakika 40 kisha najiandaa na ratiba ya masomo.

Leo nimepiga kidogo tu mikono imelegea. Mimi ni mtu niliyekuwa very negative na mazoezi, nimeenda ili niongeze uzito kiafya. Bajeti ya chakula nimetenga kuanzia leo nitaongeza chakula. Miaka kama minne sasa nakula mlo mmoja kwa siku, nimeacha. Nilipopiga leo nikahisi njaa jambo lisilo la kawaida.

Sema kuna influence kama hiiView attachment 1708912
Mkuu, bado unapiga chuma?
 
Hakuna Side Effects za mazoezi haya unless iwe umefanya Excessive nikisema Excessive namaanisha wenye kazi zao kabisa Bodybuilders wakubwa Kama Late Anold, wakina Kai Green, Jay Cutter hao watu wanafanya mazoezi Excessive sana na still sijapata side Effects walizopata mpaka leo labda nifuatilie...Basically Ordinary sijaona Side effect kwao.

Mechanism inayofanyika ni Evaluation Theory, sehemu ya mwili inayotumika ipasavyo inajiimarisha.
Weng wamepigwa shambuliz la moyo na ukifuatilia watunisha misuli weng sana wamejufa kwa case hiyo.
Kunayule dogo alikuwa na miaka 18 alikata moto jukwaani.

Utengenezaji wa mwiki hasa huu wa kimashindano huwa n hatari sana maana hufanya moyo kutanuka ambako kunaweza pelekea shambulio la moyo hasa wakati akiwa kazini
 
Back
Top Bottom