minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,367
Watanzania hawataki mtu wa kutumia TRA kuwakomoa wafanyabiashara wakubwa kuwapora pesa zao kuwapa kesi kesi za uhujumu uchumi, BOT kuzuia pesa toka nje kukosa pesa baada ya watanzania wengi kutumia Kenya na Uganda kupitishia pesa zao ambapo benk kuu za huko hawana ujinga kama uliopo Tanzania ambao umesababisha watanzania wengi kununua nyumba Nchi zingine wanaoshi bila usumbufu wowoteMkuu Babati kama watu mko100, kati ya hao, 100, ni mtu mmoja tuu mwenye akili timamu, hata mchagua, wale 99 watamchagua!.
October 28 ni Magufuli, mitano tena!.
P