Uchaguzi 2020 Kuona ni Kuamini: Je, Oktoba 28, utachagua nini kati ya unachoona kwa macho kitu cha ukweli kilichopo vs ahadi tupu? Msikilize Masanja Mkandamizaji...

Wanabodi,

Sisi wana tasnia ya habari, kwenye uchaguzi huu, zaidi ya kuwahimiza watu na kuwahamasisha, hiyo tarehe 28 October, wajitokeze kwa wingi, kwenda kupiga kura, na kuitumia haki yao ya kidemokrasia, kuwachagua viongozi wanao wataka, media pia tuna wajibu wa ziada wa kuwaelimisha Watanzania, to make an informed decisions, wachague viongozi bora, watakao waletea maendeleo, na kuchagua vyama vyenye uwezo wa kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli.

Sasa kwa vile uchaguzi wa mwaka huu una ushindani mkubwa kati ya kuna chama chenye uwezo, the ability, the capacity and the capability ya kuwaletea Watanzania, maendeleo ya kweli, ambacho kiliahidi, na kimetekeleza, halafu kuna msururu vya vyama vya ahadi tuu, ili Watanzania waweze kufanya an informed decisions, tuwasaidie kuona vitu visivyo onekanika, kuona ni kuamini, tuwasaidie Watanzania waone, kisha tuwape uhuru wa kuchagua, ama wachague kitu cha ukweli, kinachoonekanika, au wachague ahadi tupu kama tulivyo ahidiwa mbingu na peponi.

Last week, nimekutana mahali na Msaanii Masanja, Mkandamizaji, msikilize kwa makini, anasema nini na anawashauri nini Watanzania.

Kwa faida ya wale wenzangu na mimi, ambao bundles na ku play video clips ni issue, naomba kuwasaidia, kwa kifupi Masanja anasema, ukimsikia mgombea anasema ataleta maendeleo, usiishie kusikiliza tuu ahadi za kuleta maendeleo, pali mfanyie huyo mgombea the simple assessment test ya his/her ability, capacity and the capability ya kuwaletea maendeleo, kwa kuangalia personal development yake, amewahi kufanya nini, kujenga nini au kuleta maendeleo gani, ukiona ana kitu cha kuonyesha, then mchague, atawaletea maendeleo ya kweli kwa sababu ameonyesha uwezo. Lakini kama hana chochote cha kuonyesha, ambacho alikwisha fanya, then ujue mgombea huyo ana piga tuu blah blaha lakini hawezi kuleta maendeleo yoyote.
Hivyo kwanza ona,
View attachment 1610040

Kisha Amini na tarehe 28 October, ufanye uamuzi sahihi kwa kuchagua viongozi wa ukweli, wa kuleta maendeleo ya kweli, kutoka vyama vya ukweli vya maendeleo.

Paskali
Watanzania tumeshaichagua CCM, hatutaki chama cha ukabila (Chadema) kinachotaka kuturudisha nyuma kimaendeleo. Mungu ibariki Tanzania na chama chake pendwa CCM.
 
Acha story za kitoto mkuu. Naheshimu sana tofauti za mawazo, lakini si ujinga wa mawazo. Bado haujafikisha muda wa akili kuanza ku retard so zitumie vizuri.

Wewe ndiye wa kuanza kufanyia reference akili za Kimasanja katika mambo serious!!
Akili za kimasanja zipo vizuri kuliko wengi wenu humu ndani!
 
Mjomba ushachuja vibaya sana ... nauhakika hapo unachekecha akili ikiwa Magu hatopita itakuwaje na wewe ndio ushaamua kusifia debe tupu na uteuzi hujapata na sasa imebaki wiki moja tu ... ha ha ha haaaaaa alooo kama nakuona
Magu ndio mpango mzima! Mungu azidi mbariki JPM na kumuongoza, na pia kumlinda! Wasaka tongue mtasubiri Sana na vijiba vyenu!
 
Kaka Faith is a belief that is not based on proof.
Wanabodi,

Sisi wana tasnia ya habari, kwenye uchaguzi huu, zaidi ya kuwahimiza watu na kuwahamasisha, hiyo tarehe 28 October, wajitokeze kwa wingi, kwenda kupiga kura, na kuitumia haki yao ya kidemokrasia, kuwachagua viongozi wanao wataka, media pia tuna wajibu wa ziada wa kuwaelimisha Watanzania, to make an informed decisions, wachague viongozi bora, watakao waletea maendeleo, na kuchagua vyama vyenye uwezo wa kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli.

Sasa kwa vile uchaguzi wa mwaka huu una ushindani mkubwa kati ya kuna chama chenye uwezo, the ability, the capacity and the capability ya kuwaletea Watanzania, maendeleo ya kweli, ambacho kiliahidi, na kimetekeleza, halafu kuna msururu vya vyama vya ahadi tuu, ili Watanzania waweze kufanya an informed decisions, tuwasaidie kuona vitu visivyo onekanika, kuona ni kuamini, tuwasaidie Watanzania waone, kisha tuwape uhuru wa kuchagua, ama wachague kitu cha ukweli, kinachoonekanika, au wachague ahadi tupu kama tulivyo ahidiwa mbingu na peponi.

Last week, nimekutana mahali na Msaanii Masanja, Mkandamizaji, msikilize kwa makini, anasema nini na anawashauri nini Watanzania.

Kwa faida ya wale wenzangu na mimi, ambao bundles na ku play video clips ni issue, naomba kuwasaidia, kwa kifupi Masanja anasema, ukimsikia mgombea anasema ataleta maendeleo, usiishie kusikiliza tuu ahadi za kuleta maendeleo, pali mfanyie huyo mgombea the simple assessment test ya his/her ability, capacity and the capability ya kuwaletea maendeleo, kwa kuangalia personal development yake, amewahi kufanya nini, kujenga nini au kuleta maendeleo gani, ukiona ana kitu cha kuonyesha, then mchague, atawaletea maendeleo ya kweli kwa sababu ameonyesha uwezo. Lakini kama hana chochote cha kuonyesha, ambacho alikwisha fanya, then ujue mgombea huyo ana piga tuu blah blaha lakini hawezi kuleta maendeleo yoyote.
Hivyo kwanza ona,
View attachment 1610040

Kisha Amini na tarehe 28 October, ufanye uamuzi sahihi kwa kuchagua viongozi wa ukweli, wa kuleta maendeleo ya kweli, kutoka vyama vya ukweli vya maendeleo.

Paskali
 
Nimesoma heading tu, nikaamua kukoment bila kusoma kontenti maana najua umeandika ugoro.

Kwani 2015 alipochaguliwa Magufuli, ahadi zake zilikiwa zimeshaanza kutimizwa?

Kama tulivyomchagua Magufuli huku akiwa hajawahi kuahidi na kutimiza hapo kabla(maana hakuwahi kuwa Rais kabla ya 2015), ndivyo nitakavyomchagua Lisu mwaka 2020 ambaye naye hajawahi kuwa Rais lakini ambaye naona hatakuwa na serikali iliyojaa USHAMBA NA ULIMBUKENI WA MADARAKA.
Mshamba na limbukeni Sasa ni Nani hapo Kati yako na mayala!? Magu 2015 alikuwa amekwisha onyesha kwa mifano hao utendaji wake na uwajibikaji wake akiwa mbunge kwa kutatua kero za wanachati na akiwa waziri kwa kusimamia miradi ya mabarabara pamoja na kubuni mwingine na hata vyanzo vya mapati. Hivyo CV ya JPM ilimbeba 2015! Niambie kuhusu Hilo Tundu limiwafanyia Nini Wana Ikungi na Jimbo alilokuwa akiliongoza!? Hata utumie darubini huwezi ona! Haya, alilokuwa rais wa wanasheria alifanya Nini kwa kupigiwa mfano? Hapo Napo hukuna kitu! Ukirudi kwenye utetezi wa acacia na mashoga hapo utamuona akipambana kuwatetea wezi wa rasilimali zetu na maadili yetu!
 
Tangu Uhuru, ni CCM pekee ndio iko madarakani.

Unapata wapi kiburi Cha kusema vyama vingine ni vya ahadi tu?

Hujachelewa, mpe kura yako Lissu, halafu 2025, ndio uje kusema Kati ya CCM na hao wengine Nani ni chama ahadi tu?
Labda Kama uchaguzi ni ktk kuchagua mashoga!
 
Tangu Uhuru, ni CCM pekee ndio iko madarakani.

Unapata wapi kiburi Cha kusema vyama vingine ni vya ahadi tu?

Hujachelewa, mpe kura yako Lissu, halafu 2025, ndio uje kusema Kati ya CCM na hao wengine Nani ni chama ahadi tu?
Kabisa Kama uchaguzi ni ktk kuchagua mashoga! Huu ni uchaguzi wa maendeleo! Chagua JPM Tz ipae zaidi! Mungu ibariki Tz!
 
Mkuu naona hauna upeo na maendeleo, Lissu ni mbabaishaji tu na si mleta maendeleo hata kidogo.
Wewe ndiyo hujui maendeleo ni kitu gani!
Yaani kwako maendeleo ni mavitu ya kuonekana tu!
Kuna hotuba ya Mwl. Nyerere anazungumzia maendeleo itafute uisikilize unaweza ukapata ufahamu mpana wa nini maana ya maendeleo.
Kujenga majenzi ya kila namna na kunyima watu wako uhuru na haki zao, huna tofauti wakoloni ama makaburu au wafanyabishara za watumwa waliokuwa wakifanya majenzi wakidai ni maendeleo kwa kukatili maisha ya binadamu wenzao.
Ujenzi wa majenzi utaendelea kuwepo milele, ni dhambi kuhalalisha hili litokee kwa gharama ukatili kwa watu wengine.
Maendeleo ya binadamu ni pamoja usitawi wa fikra huru na kuthaminiwa ubinadamu wake kwa kupewa haki zake zote siyo kumuswaga kama mifugo!
 
Wanabodi,

Sisi wana tasnia ya habari, kwenye uchaguzi huu, zaidi ya kuwahimiza watu na kuwahamasisha, hiyo tarehe 28 October, wajitokeze kwa wingi, kwenda kupiga kura, na kuitumia haki yao ya kidemokrasia, kuwachagua viongozi wanao wataka, media pia tuna wajibu wa ziada wa kuwaelimisha Watanzania, to make an informed decisions, wachague viongozi bora, watakao waletea maendeleo, na kuchagua vyama vyenye uwezo wa kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli.

Sasa kwa vile uchaguzi wa mwaka huu una ushindani mkubwa kati ya kuna chama chenye uwezo, the ability, the capacity and the capability ya kuwaletea Watanzania, maendeleo ya kweli, ambacho kiliahidi, na kimetekeleza, halafu kuna msururu vya vyama vya ahadi tuu, ili Watanzania waweze kufanya an informed decisions, tuwasaidie kuona vitu visivyo onekanika, kuona ni kuamini, tuwasaidie Watanzania waone, kisha tuwape uhuru wa kuchagua, ama wachague kitu cha ukweli, kinachoonekanika, au wachague ahadi tupu kama tulivyo ahidiwa mbingu na peponi.

Last week, nimekutana mahali na Msaanii Masanja, Mkandamizaji, msikilize kwa makini, anasema nini na anawashauri nini Watanzania.

Kwa faida ya wale wenzangu na mimi, ambao bundles na ku play video clips ni issue, naomba kuwasaidia, kwa kifupi Masanja anasema, ukimsikia mgombea anasema ataleta maendeleo, usiishie kusikiliza tuu ahadi za kuleta maendeleo, pali mfanyie huyo mgombea the simple assessment test ya his/her ability, capacity and the capability ya kuwaletea maendeleo, kwa kuangalia personal development yake, amewahi kufanya nini, kujenga nini au kuleta maendeleo gani, ukiona ana kitu cha kuonyesha, then mchague, atawaletea maendeleo ya kweli kwa sababu ameonyesha uwezo. Lakini kama hana chochote cha kuonyesha, ambacho alikwisha fanya, then ujue mgombea huyo ana piga tuu blah blaha lakini hawezi kuleta maendeleo yoyote.
Hivyo kwanza ona,
View attachment 1610040

Kisha Amini na tarehe 28 October, ufanye uamuzi sahihi kwa kuchagua viongozi wa ukweli, wa kuleta maendeleo ya kweli, kutoka vyama vya ukweli vya maendeleo.

Paskali
Wewe kwa sasa huna tofauti na Joti na Masanja
 
Wewe ndiyo hujui maendeleo ni kitu gani!
Yaani kwako maendeleo ni mavitu ya kuonekana tu!
Kuna hotuba ya Mwl. Nyerere anazungumzia maendeleo itafute uisikilize unaweza ukapata ufahamu mpana wa nini maana ya maendeleo.
Kujenga majenzi ya kila namna na kunyima watu wako uhuru na haki zao, huna tofauti wakoloni ama makaburu au wafanyabishara za watumwa waliokuwa wakifanya majenzi wakidai ni maendeleo kwa kukatili maisha ya binadamu wenzao.
Ujenzi wa majenzi utaendelea kuwepo milele, ni dhambi kuhalalisha hili litokee kwa gharama ukatili kwa watu wengine.
Maendeleo ya binadamu ni pamoja usitawi wa fikra huru na kuthaminiwa ubinadamu wake kwa kupewa haki zake zote siyo kumuswaga kama mifugo!
Kwa akili yako unaamini kijana Lissu anakuletea maendeleo wewe au watanzania walalahoi? Mkuu bora ujipige vidole tu na kunusa mavi mwenyewe, si Lissu wala Zitto na tapeli Membe watakuletea maisha mazuri wewe usiyependa kufanya kazi, achana na ndoto hizi za pimbi.
 
Back
Top Bottom