Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,612
- 113,830
- Thread starter
- #241
Haya wale wenye imani haba, kwao ni mpaka kuona ni kuamini, oneni, na October 28, fanyeni mambo by doing the right thing!.Mtanzania, ungana nami kusherehekea mafanikio katika sekta ya usafiririshaji ambayo haya ni maendeleo ya vitu yanayochochea maendeleo ya watu.
Serikali ya awamu ya tano imenunua meli kubwa ya kisasa iitwayo Mv Amani ambayo itafanya safari zake katika ziwa Tanganyika na hivyo kuwa msaada mkubwa kwa ndugu zetu wa Kigoma.
Meli hiyo inauwezo wa kubeba abiria 600, magari 50 na mizigo tani 3500. Hongera Sana serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli.
#maendeleohayanavyama
Amani
P