Kuolewa kwa kulazimisha

Kuolewa kwa kulazimisha

Kuolewa ni ibada kwani Mungu aliiumba kwa kuumba watu wajinsia mbili tofauti ikiwa na malengo.ya kuendeleza dunia katika utaratibu wa kistarabu.Ili kututofautisha na wanyama na mimea.Soo wadogo zangu.msijidanganye na maneno ya kujifariji.ya watu waliokata tamaa kwenye maisha
Asante dada, lakini sio kila mtu ana huo wito(kuolewa/kuoa). Hata mtume Paulo aliliona hilo, akatoa wito. Ila Asiyeweza kujizuia na aoe.
Tatizo karne yetu, mtu anaona kuolewa/kuoa sio dili huku akibadilisha wapenzi kila siku...! hakuna staha..
 
kutokapenda haimaanishi kwamba sio reality, me watu wangu wote wa karibu kuna sababu zilizowafanya waoe hasa wakiwa vijana including mwanamke kumganda, au kushika mimba, ukishabeba mimba mwanaume mwenye busara hachomoki, ushindani umekuwa mkubwa sana wa upatikanaji wa wanaume waoaji.

Hako kamsemo sikapendi kweli,mnajipa kichwa mmekua adimu,na wanawake tunachanganyikiwa kweli...kama yupo yupo tu sio kujishikiza kwenye relationship isioeleweka sababu tu wanaume ni adimu
 
NANDERA, hata kama hujapata wa kufanana nae, si yupo anaye "take care"? Kama yupo then maisha yanaenda. Kuwa 100% alone inaleta loneliness hadi unajishangaa.
Lakini pia kuna stage flani ya maisha ukifika unaona ni vyema kuwa peke yako, umejijenga, watoto wapo, una miradi yako na umri nao, say 35+..wengi wanaona bora waendeshe maisha yao tu.
anaye-take care hata hayupo ila maisha yanaenda.
 
Mmmmmmh, Aika mae!!
Sasa unaguna nini? Katika safari ya kukua na kuzeeka unakuwa umepitia mambo mengi na kujaribu mambo mengi mpaka unagundua aina ya maisha yanayokufaa. Sasa mimi ni either niwe nje au ndani. Kujaribu jaribu nimeacha.
 
Ukishajitambua.unasimama na kusonga mbele

Mabinti wengi sana wanahitaji msaada wa kufundishwa na kushauriwa vizuri kuhusu Kuolewa. Wengi wameangamizwa kwa kukosa maarifa.

Ninaamini katika hii slogan "If you can't save a relationship, Atleast save your dignity". Me napenda kwa moyo wote, leta mbwembwe za kidwanzi. . Nasepa kwa moyo wote pia.

Kama mtu anadeserve uvumilivu wangu na kuna situation ya kuvumilia navumilia haswa, otherwise I don't compromise when it comes to my dignity. Treat me anyhow. . I'm over you and refocused.

.

Raha ya Mapenzi ni kupenda pale unapopendwa period, sio kujilazimisha kumpenda mtu au kulazimisha kupendwa . Otherwise just fall in love with yourself,

Sisi wengine uvumilivu zero,uhusiano sugu usio na kichwa na mateso ni mengi hatuwezi kwakweli ni kipaji..

Mimi najua kupenda na akili zangu zimo kaka..ukileta ujinga sijifikirii mara mbili
Ni baadhi tu ya wadada wanatuangusha kung'ang'ana kama kupe na wakati ishara zote zinaonyesha hii relationship sio...

Mtu ikifika point anaweza kusema maneno haya, nafikiria amefikia mental growth ambayo kila mtu anapaswa kufikia.
 
Nimecheka kama mazuri. 75% yalishawahi kunihusu ndo maana sitakaa nimzodoe mtu anayekaa kwenye mahusiano tasa miaka 2, 3, 5, 10 20.... Akae tu maana akija kufanikiwa kutoka atakuwa amekua sana na akitoa ushauri lazima ueleweke maana ni "first hand information". Ukiona mtu yuko kwenye uhusiano mgumu ukamhubiria mpaka akatoka ujue mchango wako ni mdogo sana - alikuwa ameshafikia kiwango kikubwa cha uelewa na kilichomtoa ni utashi wake. Ukiona mmemwambia lakini hasikii basi ujue dozi ya mateso haijatosha kumfanya afunguke na kuvuka kiwango cha ujinga alio nao ndo maana ana excuse kwa kila kituko anachofanyiwa.

Mlioko kwenye mahusiano sugu si kwamba hamjaambiwa. Mmeshaambiwa sana tena wengine kwa upofu wenu mnawasaliti watu wanaojaribu kuwafungua macho. Unaskia "baby eti rafiki yako fulani ameniambia wewe ni malaya sana, huna fyucha na mimi...unanichuna tu..."!! Ukija kufunguka macho na kuona kila kitu kama kilivyo ndo unaanza kuwakumbuka mitume na manabii wote uliowafukuza na kuwasaliti. Ndo maisha. Unafanya mtihani, unafeli, unasapu, unafeli au unafaulu..ukikata tamaa unadisko halafu unaanza kusema "wanawake/wanaume wabaya!!!" kumbe we ndo tatizo. Kwenye maisha huwezi kuchagua maswali ila unaweza kuchagua kufaulu au kufeli. Nshaanza lekcha sikumbuki hata pointi ilikuwa nini.

Mi kuchema cha ukweli kuolewa si dili kwa maana ninayoijua ya dili, lakini najua ni jambo zuri hasa ukimpata wa kufanana nae, na maisha ya useja ukiyakubali nayo ni mazuri pia. Mi niko single either kwa kuwa sijapata wa kufanana nae au kwa sababu ya kukosa ujasiri wa kubadilisha maisha kutoka useja kwenda kwenye ndoa. Niligundua ukishazoea useja ni kama kuzoea ndoa. Unawaza ukiolewa hiki kitakuwaje, hiki kitaendaje, hiki nitakiachaje unapata wazo bora kubaki hivyo hivyo. Nikimuwaza "wa kufanana nae" nayo kizungumkuti. Sijui kama yuko hivyo nimsubiri mpaka aje, nikamtafute? sijui anatafutwaje maana formula zote nazozisoma ni ngumu mno maana ni kama natakiwa kubadili mtindo wa maisha, au labda alishakufa kabla hatujaonana, au alishaoa mke wa mtu mwingine kuwakandamiza nimeandikiwa kuwa mseja? ..... Nimeona nimsubiri Yesu tu maana kumsubiri wa ubani naweza kuwa nasubiri treni feri! lol

We mwalimu safi sana hivi unafundisha masomo gani....

Wote tunapaswa kufikia stage uliyofikia.

Watu hawajifunzi kutoka kwa makosa ya wenzao.

Wengine wanaogopa kupitia kipindi kifupi cha maumivu kisha kupata thawabu ya muda mrefu.

Experience is the best teacher.
Hongera kwa wote waliokua na kujitambua na wameweza kupata furaha.

Pole kwa walioishia njiani, wakajiua, wakawa walevi, wakawa na maisha ya msongo wa mawazo, na wanaoendelea kuugulia maumivu makumi ya miaka wakisubiri miujiza.
 
Mimi najua kupenda na akili zangu zimo kaka..ukileta ujinga sijifikirii mara mbili
Ni baadhi tu ya wadada wanatuangusha kung'ang'ana kama kupe na wakati ishara zote zinaonyesha hii relationship sio...

Wengine uvumilivu ni zaidi ya negative zero, unaona kabisaaa huo wito haupo maana utapata murder case bureee, mambo ya sijui shetani alinipitia(why umerudi peke yako? Mngepotelea hukohuko wote) Sitaki kabisa kuyasikia.
 
hata wanaume wabaki wawili duniani kuna aina za wanaume hatutakaa tuwachukue. Acha tusome namba huku huku nje kuliko kuzisomea vyumbani.

Nashangaaga sana wanaposema waoaji siku hizi hawapo.
Ndo Hawa wanaotia uoga na insecurities wadada wa watu, hadi wanaona wakipata mwanaume hata kama hamjali kawini, na ni bora kuliko kukosa kabisa.

Ni kama matatizo yote chanzo ni WATU......unataka uonwe na wewe umo....Unataka uonwe "umetunza ndoa".... Unataka utimize mategemeo ya jamii...

Kwa taarifa yenu kadri siku zinavyoenda, wadada wanazidi kujielewa, wanawake wa kuolewa na kuwafanyia visa nao hawapo
 
Kuolewa ukiweka kwa mtazamo wa kujifariji sio dili lakini kwa asilimia kubwa ya maisha ya wanadamu ndio sehemu kubwa ya maisha yao baada ya kula na kushiba.

Tunashukuru hatuishi karne za farao.
Please get a hobby.
 
Wengine uvumilivu ni zaidi ya negative zero, unaona kabisaaa huo wito haupo maana utapata murder case bureee, mambo ya sijui shetani alinipitia(why umerudi peke yako? Mngepotelea hukohuko wote) Sitaki kabisa kuyasikia.

Hahaha eti Kwanini hamkupotelea huko wote.
. Sio wewe ulinifundisha "hata uvute hisia za marehemu"

Hahaha
 
Nashangaaga sana wanaposema waoaji siku hizi hawapo.
Ndo Hawa wanaotia uoga na insecurities wadada wa watu, hadi wanaona wakipata mwanaume hata kama hamjali kawini, na ni bora kuliko kukosa kabisa.

Ni kama matatizo yote chanzo ni WATU......unataka uonwe na wewe umo....Unataka uonwe "umetunza ndoa".... Unataka utimize mategemeo ya jamii...

Kwa taarifa yenu kadri siku zinavyoenda, wadada wanazidi kujielewa, wanawake wa kuolewa na kuwafanyia visa nao hawapo

Waoaji wapo sana sema hawana mvuto, wenye mvuto ndio hao pasua kichwa wanaogandwa, unamganda mtu kumbe sio mumeo ni mume wa mwenzio, wako alishajifia kwenye ajali ya mv bukuoba hukooo kabla hamjaonana.
 
Aiseeeee!!du
 
Wewe nawe...mara unataka hela,mara mvuto,kila kitu wewe tu you are so selfish...inabidi umtengeneze perfect man wako!
 
Mtu ikifika point anaweza kusema maneno haya, nafikiria amefikia mental growth ambayo kila mtu anapaswa kufikia.

Nashangaaga sana wanaposema waoaji siku hizi hawapo.
Ndo Hawa wanaotia uoga na insecurities wadada wa watu, hadi wanaona wakipata mwanaume hata kama hamjali kawini, na ni bora kuliko kukosa kabisa.

Ni kama matatizo yote chanzo ni WATU......unataka uonwe na wewe umo....Unataka uonwe "umetunza ndoa".... Unataka utimize mategemeo ya jamii...

Kwa taarifa yenu kadri siku zinavyoenda, wadada wanazidi kujielewa, wanawake wa kuolewa na kuwafanyia visa nao hawapo

Tunashukuru hatuishi karne za farao.
Please get a hobby.

Hahaha eti Kwanini hamkupotelea huko wote.
. Sio wewe ulinifundisha "hata uvute hisia za marehemu"

Hahaha

Waoaji wapo sana sema hawana mvuto, wenye mvuto ndio hao pasua kichwa wanaogandwa, unamganda mtu kumbe sio mumeo ni mume wa mwenzio, wako alishajifia kwenye ajali ya mv bukuoba hukooo kabla hamjaonana.

cha kushangaza pasua kichwa kama nyinyi mnapata wanaume fulani wapole mnawaendesha na pasua kichwa kama sisi tunapata 'wife material' tunawavuruga!

ila kama hivi mnavyojiweka jf ndio mlivyo mtaani kazi ipo.
 
Back
Top Bottom