Kuolewa kwa kulazimisha

Kuolewa kwa kulazimisha

Hahaha wadada wa kinyaki tuna upole na utulivu uliotukuka. Hatunaga shida na mtu, yani kila kitu sisi "Ndaga fijo" tu na magoti juu. Waache tu kutuonea jamani

Hahahaa afu mie hilo la magoti mwepesi sana,utasema Dada na heshima zake si ndio huyu kumbe mmh....
 
Hahaha sijui kwa vile ni asili yetu, mara nyingi najikuta tu nishapiga goti mwenyewe. Ila wanyaki nawapenda tu kwa misimamo + kujiamini.
Hivi hujarithi kaubabe flani amazing kidogo maana utasikia "mianamke ya kinyakyusa mibabe hiyo na miili yao". Yani wanataka watuonee afu sie tukae kimyaaaa mmh
 
Hahahaa uwiii nimerithi kwanzia sauti mpaka sura za baba wadogo😂😂😂😂😂mwili tu ndio nilinyimwa,ila na kamwili ningepewa ningekua john cena wa kike
We ni wa kyela au tukuyu???
 
Nacheka huku kama mazuri, hapo kwenye sauti naomba tu tufanye duet maana aunt bahati bukuku itabidi astaafu music. Sura ya babu mzaa mjomba kama kawaida na miili yetu ya kibaunsa ninao ingawa siku hizi ni kifidodido, Usisahau na height + ublack

Me wa Tukuyu dear
 
Hahahaa kaka mito hebu muulize Heaven Sent wadada wa kinyaki wapoje,watulivu tuu hawana shida wala mnatuonea...

Hahaha wadada wa kinyaki tuna upole na utulivu uliotukuka. Hatunaga shida na mtu, yani kila kitu sisi "Ndaga fijo" tu na magoti juu. Waache tu kutuonea jamani

Kumbe nyie wanyaki eeh.........basi mwenzenu natafuta mdada mnyaki ila awe mweupe lakini, weupe wa asili siyo mchina teh teh!!
 
Teh sie kwetu wapo weupeeee wengi wazuri hadi Unashangaa. Ila dada ako nilivyo cha-black sasa hehe, Mungu huyu. Ntakutumia picha uchague mwenyewe
 
Nacheka huku kama mazuri, hapo kwenye sauti naomba tu tufanye duet maana aunt bahati bukuku itabidi astaafu music. Sura ya babu mzaa mjomba kama kawaida na miili yetu ya kibaunsa ninao ingawa siku hizi ni kifidodido, Usisahau na height + ublack

Me wa Tukuyu dear

Hahaaaa mule mule!! kumbe hata usinijibu hapo juu, nilikuwa sijakusoma loh!!
 
Hahah wanatuonea kisa tu hatuna uvumilivu na mambo ya kijinga....

But just for curiosity, kwani nyie hamjawahi pitiwa na shetani........like mkapelekwa kuleeeeee....halafu mkarudi peke yenu, shetani akabaki kule kule, ahaaaa nashangaaga sana huu utetezi!!

cc atoto, housegirl
 
Last edited by a moderator:

Mi akinipitia tunapitiliza wote! Teh teh teeeh!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe nyie wanyaki eeh.........basi mwenzenu natafuta mdada mnyaki ila awe mweupe lakini, weupe wa asili siyo mchina teh teh!!

Unamtafuta ili akusaidie kuuza dukani??
 
But just for curiosity, kwani nyie hamjawahi pitiwa na shetani........like mkapelekwa kuleeeeee....halafu mkarudi peke yenu, shetani akabaki kule kule, ahaaaa nashangaaga sana huu utetezi!!

cc atoto, housegirl

Ukiona shetani anakunyemelea unamsemea kwa Mr. Anakufukuzia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom