Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,448
- 176,426
Hapo sawa, who knows you may find marriage in the course of love for money
Marahaba my lovely sista, miss you too!
Ya mkataba labda.
Hapo sawa, who knows you may find marriage in the course of love for money
Marahaba my lovely sista, miss you too!
Teh teh..Nikajua katoto amebadilika..Kumbe bado ni yuleyule...Haya ma'am
Hawaeleweki hawa, leo watasema kuolewa sio ishu, kesho wanataka kuolewa na wazungu, keshokutwa wanasugua magoti kumuomba Mungu waolewe...
Hivi kuolewa ni dili sana??
Hawaeleweki hawa, leo watasema kuolewa sio ishu, kesho wanataka kuolewa na wazungu, keshokutwa wanasugua magoti kumuomba Mungu waolewe...
brenda18 uko vizuri na hayo mambo yapo weza kuta mtu hatakiwi, manyanyaso, na kupigwa juu but still anaamini huyo ndo mume/mke akiamini kwamba hatopata mwingine bora zaidi kama mwenzi wa maisha.
:angry:
Kwa wadada independent kama brenda18, atoto n.k it can be that easy to move on
Ila kwa wenzangu na mie I can imagine how difficult it can be. Fikiria mtu ndo anakuweka mjini, I mean unamtegemea kwa matumizi kibao, unadhani ni rahisi hivyo kumove on hata kama unaona dalili za kuolewa hazipo? siyo rahisi kama mtoa mada alivyolileta, masuala ya mahusiano yana a lot in it, kwa wengi kuolewa ni destiny tu!!!
naongezea ukiona mtu kaugomvi kadogo anasema -naona hatuwezani
- basi tuishie hapa
-ok endelea na mambo yako
akikosea hajali anakwambia kwa hyo??
usipoteze mda ondoka mapema kabla jua halija unguza sana
Ofcoz nimefanya generalization kwa wote wenye tabia hizo. Mshenga, kuna mengi ya rohoni watu wanayaficha...laiti kama tungeweza kusomana moiyo...Mmh mshenga too much generalization....
Hahahaa pesa bana..
"It is better crying in BMW,than crying on a bicycle"