ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,509
- 119,344
Hicho ni kipare. Kama hukijui basi..Sasa ex darling kingreza tena cha nini? Tafsiri basi, au ndio unanitukana kikwenu?
Hicho ni kipare. Kama hukijui basi..Sasa ex darling kingreza tena cha nini? Tafsiri basi, au ndio unanitukana kikwenu?
Hicho ni kipare. Kama hukijui basi..
Wapi panauma nije nikupatie tiba ya Dr. Mwaka?Nimekumiss hadi naumwa.
Wapi panauma nije nikupatie tiba ya Dr. Mwaka?
Pale panauma au kuwasha? Naja fasta kutoa huduma, I'm a doc without border.Pale pale pameanza kuuma tena.
Pale panauma au kuwasha? Naja fasta kutoa huduma, I'm a doc without border.
Lol I'm not arrogant.... You can't tell my behavior from my writing
Handwriting yako inaonyesha upo arrogant, you care less about african men n tradition, too westernized...labda kama ni maisha mtandaoni!!
Lol I'm not arrogant.... You can't tell my behavior from my writing
Kumbe mnajijua kuwa mnawatesa wadada wa watu.
Wala hatuwaendeshi. Kuna lifestyle mwanaume wa kiafrika akiishi ataona anaendeshwa.
Hivi unavyosemaga pasua kichwa una maanisha nini? Ndo nyie aina za wanaume wanataka wanawake wawe kama watumwa.
Sijui unanionaje navyojiweka. I'm actually a very quiet person. In every day life si rahisi kukosoa mtu. Wengine kazi zao, they've to be professional, kwahiyo unamweleza mwanaume kwa upole.
huwezi kwenda kumwambia mwanaume "wewe ni wa hovyo hamna atakayetaka kuolewa na wewe, huyo mwanamke uliyenaye ni mburula ndomana yuko na wewe."
Humu ndo tunawapa vya ukweli.
Kwahiyo sisi maReject ndo tukubali kuonewa au tukubali lifestyle kandamizi?
Aisee hapana ... Wadada msidanganyike. Amua unavyotaka kuishi ishi. Kam hutaki maisha ya shida usijilazimishe kisa kina proNDO wanasema una kasoro nyingi
Haha. Sidhani kama alimaanisha mvuto wa sura.
Watu wengine hawana mvuto tu. akiongea huvutiwi kuongea naye. Lifestyle anayoishi, mwanaume yuko ovyo a nasubiri aoe ili ale vizuri, aishi pasafi, apendeze. Not attractive at all.
Sasa RRONDO sijui nani alimuambia mvuto wa mwanaume ni sura!!! Kuna mtu anaweza akawa na sura nzuri ila hana mvuto.
huwa sitesi wanawake...im just difficulty
dont demand more than you can offer.....its not a rule anyway.....
nashukuru kwa kufafanua huo mvuto.....ila wengi wenu mtu akiwa na wallet nene tu automatically anakuwa na mvuto!! mtakaataa hapa tu ila in reality ndivo ilivyo.
I'm not too demanding.
Ushazoea kuonea wanawake ndomana unaona anayejisimamia ni demanding.
hahahaaa...... asante. Mi mwalimu wa Kiswahili rafiki.We mwalimu safi sana hivi unafundisha masomo gani....
Wote tunapaswa kufikia stage uliyofikia.
Watu hawajifunzi kutoka kwa makosa ya wenzao.
Wengine wanaogopa kupitia kipindi kifupi cha maumivu kisha kupata thawabu ya muda mrefu.
Experience is the best teacher.
Hongera kwa wote waliokua na kujitambua na wameweza kupata furaha.
Pole kwa walioishia njiani, wakajiua, wakawa walevi, wakawa na maisha ya msongo wa mawazo, na wanaoendelea kuugulia maumivu makumi ya miaka wakisubiri miujiza.
Mwalimu is humbledmwalimu yuko smart sana na sio stubborn and arrogant like you......
Kwa demand na command zako you must be drop dead gorgeous.......perfect mentally and physically!
dont demand more than you can offer.....its not a rule anyway.....
.
Well ya demanding ni we na atoto.Wala sionei wanawake....na kujua mtu demanding au arrogant haihitaji uwe unaonea wanawake.....Najua tofauti ya kujisimamia na kuwa demanding prima donna
Handwriting yako inaonyesha upo arrogant, you care less about african men n tradition, too westernized...labda kama ni maisha mtandaoni!!
mwalimu yuko smart sana na sio stubborn and arrogant like you......
huwa sitesi wanawake...im just difficulty
.
nashukuru kwa kufafanua huo mvuto.....ila wengi wenu mtu akiwa na wallet nene tu automatically anakuwa na mvuto!! .
..wala wewe sio mwalimu.hahahaaa...... asante. Mi mwalimu wa Kiswahili rafiki.
Kwanza haya mambo ya kudemand ulianzia na atoto.... So you're saying if a woman wants a man with money she should be perfect physically? So ugly women don't deserve the fancy life is that what you're saying? Na akipata mwanaume anayemtaka ni kaonewa huruma but she really doesn't deserve?
Well ya demanding ni we na atoto.
Didn't know ulivyoniita arrogant you meant demanding.
I do prefer the western lifestyle. I do prefer a westernized man to an African man, simply because I can't keep up with the African lifestyle. Does that make me demanding? Are you saying I don't deserve one? Hadi nifanane na Kim Kardashian? Oh please....
NANDERA and I were on the same team. Maybe NANDERA uses a softer language, maybe she's a better speaker/writer than I am, but I'm not arrogant
.
well if you're difficult you definitely deserve a pasua kichwa.
Oh well.....let nature take its course. You like these massive women bottoms I'm not complaining.
no.....like charges repel,unlike charges attract
[/COLOR].
i do prefer skinny women.
wewe, housegirl , brenda18 ni pasua kichwa....too demanding but i dont know what u offer maybe as much or more than what u demand...i hope!