Kuolewa kwa kulazimisha

Kuolewa kwa kulazimisha

Kwa wadada independent kama brenda18, atoto n.k it can be that easy to move on

Ila kwa wenzangu na mie I can imagine how difficult it can be. Fikiria mtu ndo anakuweka mjini, I mean unamtegemea kwa matumizi kibao, unadhani ni rahisi hivyo kumove on hata kama unaona dalili za kuolewa hazipo? siyo rahisi kama mtoa mada alivyolileta, masuala ya mahusiano yana a lot in it, kwa wengi kuolewa ni destiny tu!!!
sijui maisha ya brenda na atoto lakini asikudanganye mtu kwamba ukiwa unajiweka mjini mwenyewe utaondoka kwenye uhusiano mgumu kirahisi. Watu wananaswa kwenye mahusiano magumu kwa sababu nyingi hasa za kisaikolojia. Unajikuta unamlewa mtu kaa teja kwa sababu labda za majeraha ya utotoni ambayo hata huyajui, au kwa sababu ya mahusiano mabaya ya wazazi, au kwa sababu umewahi kuwa kwenye uhusiano mbovu zaidi kwa hiyo unauona huo wa afadhali (yaani umezoea shida), au uko kwenye malipizi (karma) - huku kwenye dini yetu wanasema kupatilizwa maovu yako mwenyewe au ya wazazi n.k. Wengine wanajiona wa thamani ndogo (low self esteem) kwa hiyo wanaona sawa kufanyiwa ubaya, tena wanajiona wenye bahati kuwa na wenza husika; wengine hawana malengo kwa hiyo hawaoni shida kukaa kwenye uhusiano miaka hata 10 - wanaendeshwa na matukio tu; wengine wengi wana picha mbaya kuhusu mahusiano - wameshaamini hakuna mahusiano matamu hata akiona couple imeshikana mikono anaamini inaigiza tu ila maisha yao ya ndani ni kama yake n.k.
 
Ningependa kusikia jibu la brenda18 housegirl atoto

Kila mtu anapaswa kufika maturity level ambapo atakubali kuwa sio kila atakayempenda atarudisha upendo.

Pia tunapaswa kujua matokeo ya kila tulifanyalo. Watu wanaolazimisha ndoa hawifikirii maisha yatakuaje years later. Ni watu wakafanya mambo ili tu waonekane na watu, wapate status kwenye jamii. Sijui ni immaturity au low intelligence I don't know
 
Last edited by a moderator:
Hawaeleweki hawa, leo watasema kuolewa sio ishu, kesho wanataka kuolewa na wazungu, keshokutwa wanasugua magoti kumuomba Mungu waolewe...

Haha we naye achana na wazungu wetu.......
Stage ya kubembelezwa nisipobembelezwa nishaipita. I'm strong. Nawaonea huruma ambao bado hawajaweza kulet go. Sitorudia kujipeleka ambapo sitakwi, whether kwa mbongo,. Muitaliano mchina, ... Hey Kuna m California ananivizia...should I let my keralite go? lakini nataka mbritish. I take back what I said, nikipata mbritish nitamlamba miguu hata anidundeje 😀
 
sijui maisha ya brenda na atoto lakini asikudanganye mtu kwamba ukiwa unajiweka mjini mwenyewe utaondoka kwenye uhusiano mgumu kirahisi. Watu wananaswa kwenye mahusiano magumu kwa sababu nyingi hasa za kisaikolojia. Unajikuta unamlewa mtu kaa teja kwa sababu labda za majeraha ya utotoni ambayo hata huyajui, au kwa sababu ya mahusiano mabaya ya wazazi, au kwa sababu umewahi kuwa kwenye uhusiano mbovu zaidi kwa hiyo unauona huo wa afadhali (yaani umezoea shida), au uko kwenye malipizi (karma) - huku kwenye dini yetu wanasema kupatilizwa maovu yako mwenyewe au ya wazazi n.k. Wengine wanajiona wa thamani ndogo (low self esteem) kwa hiyo wanaona sawa kufanyiwa ubaya, tena wanajiona wenye bahati kuwa na wenza husika; wengine hawana malengo kwa hiyo hawaoni shida kukaa kwenye uhusiano miaka hata 10 - wanaendeshwa na matukio tu; wengine wengi wana picha mbaya kuhusu mahusiano - wameshaamini hakuna mahusiano matamu hata akiona couple imeshikana mikono anaamini inaigiza tu ila maisha yao ya ndani ni kama yake n.k.

Sioni like button
 
Haha we naye achana na wazungu wetu.......
Stage ya kubembelezwa nisipobembelezwa nishaipita. I'm strong. Nawaonea huruma ambao bado hawajaweza kulet go. Sitorudia kujipeleka ambapo sitakwi, whether kwa mbongo,. Muitaliano mchina, ... Hey Kuna m California ananivizia...should I let my keralite go? lakini nataka mbritish. I take back what I said, nikipata mbritish nitamlamba miguu hata anidundeje 😀

Nilikuwa na college mate somwhr, you have a lot in common. Alipenda sana coloured au whites. Sijui yule binti yupoje sasa hivi.
 
Kama umesoma economics, wanasema money is scarcity resource, hali imekuwa hivyo hivyo kwa wanaume,wanaume tumekuwa adimu siku hizi hasa waoaji, hivyo unapompata mwanaume inatakiwa umgande kama luba a.k.a kupe mengine yanakuja mbeleni, lasivyo utaisoma namba mwaka wenyewe ndo unayoyoma huu, compitition ni kubwa mno kuliko mnavyofikiria ladies, ndio maana siku hizi hawa waume za watu wanaibiwa kwakuwa wake zao wanajisahau baada ya kuvishwa pete,

Ni vyema sana kutunza kibuyu chenye mbegu kwakuwa kinafaida kuliko kutunza kibuyu kisicho na mbegu ambacho hata ukitikisha hakitoi sauti ya kuwapo kwa mbegu ndani yake. My friend kuwa makini sana na mahusiano baina yako wewe na mbeba maono wako. Ni wadada/waka wengi leo wanaugulia umri kwakuwa walitunza sana vibuyu visivyo na mbengu kwakujipa matumaini yakuwa yamkini hakija kauka vizuri ndo maana mbegu hazilii.

Lakini kibuyu amekishikilia tangu kibichi na rangi yake ya ubichi kinamkaukia mikononi lkn hataki kukiachilia kwakua anadhani labda mbegu zake zimeganda siku akikipasua kitakuwa na mbegu. Mtu ambaye hana mawazo ya kuoana na wewe wanini kumng'ang'ania? Kuna vitu unaweza kupima kwa macho kulingana na mwenendo wa mwenzi wako ukajua kabisa kuwa huyu siyo wangu huyu.Mtu ana hadithi kama mwalimu wa chekechea!Kila siku anakuja na sera mpya kama magazeti ya kibongo!

Yanini kujipotezesha muda i hali unaona wazi kuwa huyu hanadalili njema na wewe! Wadada wengi mnamioyo ya uuguzi wakat hata hamjasomea
unaona wazi mtu siyo mwaminifu kwako haonyeshi dalili za kukuoa lakini bado unajipa ma hope labda atabadilika unangoaja abadilike na yeye anamngoja somebody amalize chuo.Usikubali kuwa wa faraja kwenye maisha ya mtu!Na usikubali kuwa wakujifunzia kazi mbali mbali za utumishi wa ndoa katika serikali ya chama cha uharibifu.

Jiwekee misimamo yako mwambie aheri kukukosa wewe kuliko kuipoteza heshima yangu na kujipotezea muda kwa mambo yasiyo na faida.Uzuri wako siyo hivyo unavyoonekana ila ni jinsi gani unajiheshimu na kujitunza.Usilazimishe maono acha Mungu ajitukuze maishani mwako.Kwakua ndoa ni ya Mungu na siyo ya watu.Badili lifestyle yako kwakuanza kuomba Mungu akusaidie.

Wengi walitumia akili zao zoote lakini hawakufanikiwa katu.Utavaa nguo na kumechi viatu na mkoba lakini kama mungu hajaruhusu uolewe na huyo huto olewa ‪#‎nka‬ jifunze kulingana na waliopita ndipo ujiambie moyoni mwako kuwa kati ya wale woote mlio ahidiana hadi leo hii nani kakuheshimu?Kuna vyakuforce lakini siyo ndoa.Heshima ya ndoa kwa muoaji siyo kwa pesa na uzuri wa nje tuu.Ila utu wa ndani na mwenendo wa mtu ndivyo vikufanye uamue.

Binafsi naamini kizuri kinatengezwa na hakuna mwanamke mbaya kabisa ila mazingira yatufanya tuonekane wachovu.Ila kuna utulivu wa nafsi ukiwa nao automatically unaanza kuwa mcute! Usijibebishe my dear tulia tulizana yupo wakukunawisha uso na kukushika mkono atatoka kwa Mungu
usitumie akili yako kuyalazimisha matatizo yakuzonge na ukimlazimisha mtu akuoe tarajia matusi na dharau katika ndoa yenu.Usikate tamaa haeleweki mpe makavu yake anza safari mpya ya kaanani ukimsihi bwana wa majeshi akupe wa kuongozana naye hadi mtakapo tengwa na kifo, na siyo kulazimisha mambo ambayo hayapo.

Nimeipenda hii, nikaona sio vibaya kushare
 
Watu wengi are in such denial of the state of their relationships... Na si wanawake tu.... Wanaume wangapi wameishia kuwa walevi kisa mwanamke. .. ....

Mtu anaona dalili lakini anategemea ataonewa huruma.... Au mwenzake atabadilika .. Mwingine haoni kabisaa... Atatafuta kila sababu......

Nisipomtafuta hanitafuti.... He's just busy.

Kila kitu anakasirika tu na hanijali kabisa.........ana stress tu za kazi

Nisipopanga mimi tukutane hafikirii kabisaa.......anachoka sana so kila akipata muda anataka apumzike

Hajawahi kunihakikishia future ya uhusiano... ........anajifikiria /Ananichunguza

Aliniambia sifai kuwa na mtu kama yeye...... Ana insecurities

Naona yuko na mimi kwa sababu tu yuko lonely, japata anayemtaka......... Atanipenda tu

Ananipiga /ananitukana,..... Ndo kalelewa hivyo lakini ananipenda

Hapo alipo Kuna mtu akimwambia tuoane, ataenda kumgongea pastor usiku wafungishe ndoa. Hujui tu

Jithamini.
Jipende.
Jijali.
Kama ambavyo wewe Kuna mtu anakutafuta juu chini lakini huna habari na hutaki kabisa, muelewe mwenzako.
Wewe si wa kwanza kupenda usipopendwa. Utampta mtakayependana.
Nimecheka kama mazuri. 75% yalishawahi kunihusu ndo maana sitakaa nimzodoe mtu anayekaa kwenye mahusiano tasa miaka 2, 3, 5, 10 20.... Akae tu maana akija kufanikiwa kutoka atakuwa amekua sana na akitoa ushauri lazima ueleweke maana ni "first hand information". Ukiona mtu yuko kwenye uhusiano mgumu ukamhubiria mpaka akatoka ujue mchango wako ni mdogo sana - alikuwa ameshafikia kiwango kikubwa cha uelewa na kilichomtoa ni utashi wake. Ukiona mmemwambia lakini hasikii basi ujue dozi ya mateso haijatosha kumfanya afunguke na kuvuka kiwango cha ujinga alio nao ndo maana ana excuse kwa kila kituko anachofanyiwa.

Mlioko kwenye mahusiano sugu si kwamba hamjaambiwa. Mmeshaambiwa sana tena wengine kwa upofu wenu mnawasaliti watu wanaojaribu kuwafungua macho. Unaskia "baby eti rafiki yako fulani ameniambia wewe ni malaya sana, huna fyucha na mimi...unanichuna tu..."!! Ukija kufunguka macho na kuona kila kitu kama kilivyo ndo unaanza kuwakumbuka mitume na manabii wote uliowafukuza na kuwasaliti. Ndo maisha. Unafanya mtihani, unafeli, unasapu, unafeli au unafaulu..ukikata tamaa unadisko halafu unaanza kusema "wanawake/wanaume wabaya!!!" kumbe we ndo tatizo. Kwenye maisha huwezi kuchagua maswali ila unaweza kuchagua kufaulu au kufeli. Nshaanza lekcha sikumbuki hata pointi ilikuwa nini.
 
Hahahaaaaa! Na wewe kwenye hilo haujambo, sasa ndio utanieleza huo uuguzi uliusomea lini?
Hahaha I wish ungekijua hiki kichwa cha kinyakyusa. Ninaamini katika hii slogan "If you can't save a relationship, Atleast save your dignity". Me napenda kwa moyo wote, leta mbwembwe za kidwanzi. . Nasepa kwa moyo wote pia.

Kama mtu anadeserve uvumilivu wangu na kuna situation ya kuvumilia navumilia haswa, otherwise I don't compromise when it comes to my dignity. Treat me anyhow. . I'm over you and refocused.

Afu jana kuna sehemu ulinichekesha khaa Nikasema ngoja tu nipite kimya kimya.
 
Kama umesoma economics, wanasema money is scarcity resource, hali imekuwa hivyo hivyo kwa wanaume,wanaume tumekuwa adimu siku hizi hasa waoaji, hivyo unapompata mwanaume inatakiwa umgande kama luba a.k.a kupe mengine yanakuja mbeleni, lasivyo utaisoma namba mwaka wenyewe ndo unayoyoma huu, compitition ni kubwa mno kuliko mnavyofikiria ladies, ndio maana siku hizi hawa waume za watu wanaibiwa kwakuwa wake zao wanajisahau baada ya kuvishwa pete,

Mtakuwaje wengi wakati kwanza mnazaliwa wachache(hii walaumiwe wanaume), pili humo humo kuna mashoga, tatu sasa ndio kuna wale wenzangu na mie ambao daaah ngoja hata nisiseme, nne sasa nfio janga zaidi, mwisho wa siku bora tu tujiwowe.
 
Nimecheka kama mazuri. 75% yalishawahi kunihusu ndo maana sitakaa nimzodoe mtu anayekaa kwenye mahusiano tasa miaka 2, 3, 5, 10 20.... Akae tu maana akija kufanikiwa kutoka atakuwa amekua sana na akitoa ushauri lazima ueleweke maana ni "first hand information". Ukiona mtu yuko kwenye uhusiano mgumu ukamhubiria mpaka akatoka ujue mchango wako ni mdogo sana - alikuwa ameshafikia kiwango kikubwa cha uelewa na kilichomtoa ni utashi wake. Ukiona mmemwambia lakini hasikii basi ujue dozi ya mateso haijatosha kumfanya afunguke na kuvuka kiwango cha ujinga alio nao ndo maana ana excuse kwa kila kituko anachofanyiwa.

Mlioko kwenye mahusiano sugu si kwamba hamjaambiwa. Mmeshaambiwa sana tena wengine kwa upofu wenu mnawasaliti watu wanaojaribu kuwafungua macho. Unaskia "baby eti rafiki yako fulani ameniambia wewe ni malaya sana, huna fyucha na mimi...unanichuna tu..."!! Ukija kufunguka macho na kuona kila kitu kama kilivyo ndo unaanza kuwakumbuka mitume na manabii wote uliowafukuza na kuwasaliti. Ndo maisha. Unafanya mtihani, unafeli, unasapu, unafeli au unafaulu..ukikata tamaa unadisko halafu unaanza kusema "wanawake/wanaume wabaya!!!" kumbe we ndo tatizo. Kwenye maisha huwezi kuchagua maswali ila unaweza kuchagua kufaulu au kufeli. Nshaanza lekcha sikumbuki hata pointi ilikuwa nini.
Yani Imebidi tu nicheke, umenikumbusha Vitu vingi sana. But all in all, huwezi kumshauri mtu kuachana na mtu wake, unless huyo mtu ana nia ya dhati ya kuachana. Ni rahisi sana kujudge mapito ya mtu afu ukasema tu " eeh yani ingekuwa mimi ningeshamuacha", subiri yakukute wewe sasa, unakuwa kama ndondocha sijui. Baadaye ukifanikiwa kutoka unaanza kujiuliza hivi yule alikuwa ni mimi kweli?. Shit happens
 
Kama umesoma economics, wanasema money is scarcity resource, hali imekuwa hivyo hivyo kwa wanaume,wanaume tumekuwa adimu siku hizi hasa waoaji, hivyo unapompata mwanaume inatakiwa umgande kama luba a.k.a kupe mengine yanakuja mbeleni, lasivyo utaisoma namba mwaka wenyewe ndo unayoyoma huu, compitition ni kubwa mno kuliko mnavyofikiria ladies, ndio maana siku hizi hawa waume za watu wanaibiwa kwakuwa wake zao wanajisahau baada ya kuvishwa pete,
hata wanaume wabaki wawili duniani kuna aina za wanaume hatutakaa tuwachukue. Acha tusome namba huku huku nje kuliko kuzisomea vyumbani. Kwani maisha ni nini hata umgande mwanaume kama luba kama mwili, akili na roho havijakupa go ahead? Pamoja na wingi wetu wanawake wanawake wanaofaa kuolewa nao ni scarce kwa hiyo hata wanaume wanapata shida kupata wenza wazuri. Usifikiri mambo ya mahusiano ni magumu kwa jinsi moja na marahisi kwa jinsi moja. Kama kuoa ni rahisi wanaume wote "eligible" kwa umri na hadhi wangeshaoa.

Ukiona mume anaibiwa (sijui ni baiskeli??) basi ujue hakujiandaa kwa ndoa na si sababu ya competition. Hao waume waliotulia unataka kusema wana wake wakamilifu au competition hawaioni au hawana viwango vinavyotosheleza mahitaji ya soko hili lenye ushindani??
 
Hahaha I wish ungekijua hiki kichwa cha kinyakyusa. Ninaamini katika hii slogan "If you can't save a relationship, Atleast save your dignity". Me napenda kwa moyo wote, leta mbwembwe za kidwanzi. . Nasepa kwa moyo wote pia.

Kama mtu anadeserve uvumilivu wangu na kuna situation ya kuvumilia navumilia haswa, otherwise I don't compromise when it comes to my dignity. Treat me anyhow. . I'm over you and refocused.

Afu jana kuna sehemu ulinichekesha khaa Nikasema ngoja tu nipite kimya kimya.

Hahahahaaaa! Niazime huo moyo wako wa kupenda hata kidogo best, huu wangu umenigomea.
Yaani nakuchekesha alafu unapita kimya kimya hata buku hutupii🙄
 
Tatizo wakina dada mnajuwa kupenda. Inakubidi uishi kuwa king'ang'anizi ukiwa na matumaini kuwa ipo siku.
 
hata wanaume wabaki wawili duniani kuna aina za wanaume hatutakaa tuwachukue. Acha tusome namba huku huku nje kuliko kuzisomea vyumbani. Kwani maisha ni nini hata umgande mwanaume kama luba kama mwili, akili na roho havijakupa go ahead? Pamoja na wingi wetu wanawake wanawake wanaofaa kuolewa nao ni scarce kwa hiyo hata wanaume wanapata shida kupata wenza wazuri. Usifikiri mambo ya mahusiano ni magumu kwa jinsi moja na marahisi kwa jinsi moja. Kama kuoa ni rahisi wanaume wote "eligible" kwa umri na hadhi wangeshaoa.

Ukiona mume anaibiwa (sijui ni baiskeli??) basi ujue hakujiandaa kwa ndoa na si sababu ya competition. Hao waume waliotulia unataka kusema wana wake wakamilifu au competition hawaioni au hawana viwango vinavyotosheleza mahitaji ya soko hili lenye ushindani??

Hahahaaaa! Yaani kuna wengine hata mbaki wawili tu wewe na yeye hata ile ya kujilazimisha kwa kuvutia hisia kwa marehemu inagoma kabisa.
 
Hahahahaaaa! Niazime huo moyo wako wa kupenda hata kidogo best, huu wangu umenigomea.
Yaani nakuchekesha alafu unapita kimya kimya hata buku hutupii🙄
Ahhaha huu moyo wangu niachie tu mwenyewe. Usijali ipo siku utapenda pia, coz me pia kuna muda najikalia tu single afu naenjoy maisha kama kawaida. Raha ya Mapenzi ni kupenda pale unapopendwa period, sio kujilazimisha kumpenda mtu au kulazimisha kupendwa . Otherwise just fall in love with yourself, Aah kwa wewe endelea tu kufall in love with money

teh nilikuta umemtolea mijicho binti wa watu, Nikasema huyu jasusi khaa
 
Hahahaaaa! Yule nilimtolea majicho maana kuna siku alinipinga sana kwa kile kile alichokiongelea, na akasapotiwa na wanaume hatari basi akapata bichwa hilooo, sasa nikashangaa kuona anakitetea kile kile alichokipinga, i was like:what:
 
Hahahaaaa! Yaani kuna wengine hata mbaki wawili tu wewe na yeye hata ile ya kujilazimisha kwa kuvutia hisia kwa marehemu inagoma kabisa.
My dear hii statement unaipenda..
Hahahaaaa! Yule nilimtolea majicho maana kuna siku alinipinga sana kwa kile kile alichokiongelea, na akasapotiwa na wanaume hatari basi akapata bichwa hilooo, sasa nikashangaa kuona anakitetea kile kile alichokipinga, i was like:what:
Daah me nimekugawa tu bure uwe zawadi ya mtu ya christmas
 
My dear hii statement unaipenda..

Daah me nimekugawa tu bure uwe zawadi ya mtu ya christmas

Hiyo statement kuna mtu ni very funy na anaipendaga kwahiyo nikiikumbuka nachekaga!

Hahahaaaa! Umesahau hata kwa zawadi sitoleki, hadi ndafu iligoma maana mchunguuu, kwahiyo hapo sijui tunafanyaje tena, labda tumpe yule yule na vile viinglishi vyake vya kuunga sijui tutaelewanaaa! Au ngoja nianzie kwa ras simba, thanks! 😉
 
Back
Top Bottom