Kuolewa kwa kulazimisha

Kuolewa kwa kulazimisha

We mwalimu safi sana hivi unafundisha masomo gani....

Wote tunapaswa kufikia stage uliyofikia.

Watu hawajifunzi kutoka kwa makosa ya wenzao.

Wengine wanaogopa kupitia kipindi kifupi cha maumivu kisha kupata thawabu ya muda mrefu.

Experience is the best teacher.
Hongera kwa wote waliokua na kujitambua na wameweza kupata furaha.

Pole kwa walioishia njiani, wakajiua, wakawa walevi, wakawa na maisha ya msongo wa mawazo, na wanaoendelea kuugulia maumivu makumi ya miaka wakisubiri miujiza.

mwalimu yuko smart sana na sio stubborn and arrogant like you......
 
cha kushangaza pasua kichwa kama nyinyi mnapata wanaume fulani wapole mnawaendesha na pasua kichwa kama sisi tunapata 'wife material' tunawavuruga!

ila kama hivi mnavyojiweka jf ndio mlivyo mtaani kazi ipo.

Mkuu kuandika rahisi sana, hasa nyuma ya keyboard. Tunawaona mitaani
 
Wewe nawe...mara unataka hela,mara mvuto,kila kitu wewe tu you are so selfish...inabidi umtengeneze perfect man wako!

Khaaaah every human being is selfish, sasa nani anataka vibovu? Ndio i need it all na kwakuwa nimegundua mr perfect hayupo nimebaki na moja tu, mr money.
 
cha kushangaza pasua kichwa kama nyinyi mnapata wanaume fulani wapole mnawaendesha na pasua kichwa kama sisi tunapata 'wife material' tunawavuruga!

ila kama hivi mnavyojiweka jf ndio mlivyo mtaani kazi ipo.

Ee RRONDO mie kabisaaa niwe pasua kichwa kweli!!! Muulize ex darling ambae sasa hivi ni mjomba wangu Eli79 atakuambia nilivyo mpole na wife material😉, kama namuona Heaven Sent anavyosonya kimoyomoyo.
 
Last edited by a moderator:

Kwa demand na command zako you must be drop dead gorgeous.......perfect mentally and physically!
 
wewe, housegirl , brenda18 ni pasua kichwa....too demanding but i dont know what u offer maybe as much or more than what u demand...i hope!
 
wewe, housegirl , brenda18 ni pasua kichwa....too demanding but i dont know what u offer maybe as much or more than u demand...i hope!

teh teh teh teeeeh!! I offer demands tu, alafu mie sio pasua kichwa bwana
 
Last edited by a moderator:
cha kushangaza pasua kichwa kama nyinyi mnapata wanaume fulani wapole mnawaendesha na pasua kichwa kama sisi tunapata 'wife material' tunawavuruga!

ila kama hivi mnavyojiweka jf ndio mlivyo mtaani kazi ipo.

Kumbe mnajijua kuwa mnawatesa wadada wa watu.

Wala hatuwaendeshi. Kuna lifestyle mwanaume wa kiafrika akiishi ataona anaendeshwa.

Hivi unavyosemaga pasua kichwa una maanisha nini? Ndo nyie aina za wanaume wanataka wanawake wawe kama watumwa.

Sijui unanionaje navyojiweka. I'm actually a very quiet person. In every day life si rahisi kukosoa mtu. Wengine kazi zao, they've to be professional, kwahiyo unamweleza mwanaume kwa upole.

huwezi kwenda kumwambia mwanaume "wewe ni wa hovyo hamna atakayetaka kuolewa na wewe, huyo mwanamke uliyenaye ni mburula ndomana yuko na wewe."
Humu ndo tunawapa vya ukweli.
 
wewe, housegirl , brenda18 ni pasua kichwa....too demanding but i dont know what u offer maybe as much or more than what u demand...i hope!

I'm not too demanding.
Ushazoea kuonea wanawake ndomana unaona anayejisimamia ni demanding.
 
Kwa demand na command zako you must be drop dead gorgeous.......perfect mentally and physically!

Kwahiyo sisi maReject ndo tukubali kuonewa au tukubali lifestyle kandamizi?
Aisee hapana ... Wadada msidanganyike. Amua unavyotaka kuishi ishi. Kam hutaki maisha ya shida usijilazimishe kisa kina proNDO wanasema una kasoro nyingi
 
Last edited by a moderator:
Wewe nawe...mara unataka hela,mara mvuto,kila kitu wewe tu you are so selfish...inabidi umtengeneze perfect man wako!

Haha. Sidhani kama alimaanisha mvuto wa sura.

Watu wengine hawana mvuto tu. akiongea huvutiwi kuongea naye. Lifestyle anayoishi, mwanaume yuko ovyo a nasubiri aoe ili ale vizuri, aishi pasafi, apendeze. Not attractive at all.
 
Waoaji wapo sana sema hawana mvuto, wenye mvuto ndio hao pasua kichwa wanaogandwa, unamganda mtu kumbe sio mumeo ni mume wa mwenzio, wako alishajifia kwenye ajali ya mv bukuoba hukooo kabla hamjaonana.

Hahaha you are a very funny person
 
Haha. Sidhani kama alimaanisha mvuto wa sura.

Watu wengine hawana mvuto tu. akiongea huvutiwi kuongea naye. Lifestyle anayoishi, mwanaume yuko ovyo a nasubiri aoe ili ale vizuri, aishi pasafi, apendeze. Not attractive at all.

Sasa RRONDO sijui nani alimuambia mvuto wa mwanaume ni sura!!! Kuna mtu anaweza akawa na sura nzuri ila hana mvuto.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo sisi maReject ndo tukubali kuonewa au tukubali lifestyle kandamizi?
Aisee hapana ... Wadada msidanganyike. Amua unavyotaka kuishi ishi. Kam hutaki maisha ya shida usijilazimishe kisa kina proNDO wanasema una kasoro nyingi

Chi ndio hapo chacha na ndio akili za wavulana wa humu, ukiweka masharti tu unasikia "na uzuri wako uendane na hayo masharti" nyokolo kwani sie mareject ndio hatuna maamuzi kuhusu maisha yetu? Wawaonee hao hao!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha you are a very funny person

Haya mambo bwana we acha tu, unakazana kumganda mtu kumbe sio wako, au wako nae alishamganda housegirl hukoo wanagugumiana tu mambo hayaendi, mwisho bora ujiwowe tu.
 
Last edited by a moderator:
Lol I'm not arrogant.... You can't tell my behavior from my writing
Handwriting yako inaonyesha upo arrogant, you care less about african men n tradition, too westernized...labda kama ni maisha mtandaoni!!
 
Ee RRONDO mie kabisaaa niwe pasua kichwa kweli!!! Muulize ex darling ambae sasa hivi ni mjomba wangu Eli79 atakuambia nilivyo mpole na wife material😉, kama namuona Heaven Sent anavyosonya kimoyomoyo.
..what you depict online is contrary to your life offline...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom