Kuolewa kuna raha zake!

Rocky what's wrong with u?Why u dont wana see things in reality?What going on in their room ndo ndoa ilivyo na hatari zake achana na pretance za nje,kinachotokea ndani ndo kinaamua hatma ya ndoa!

Nyumba kubwa ndo hapo sasa. Sasa kama ndoa ni ngumu kwanini wanaolewa au kuoa tena. Kwa nini bado wengine wanawasiliana na Ex wao kuombana kukutana kama ndoa ngumu

Hahahahaha Eiyer ndoa ni mambo mengi ndugu yangu. Sio kule chumbani tuu na nje pia. Hata yakitokea ndani ya chumba ni ya chumbani sio ya nje. Haya ya nje nayo yana nafasi yake. Kwani ndugu hata wewe ukikaa na wadogo zako kugombana na kununiana na kususiana kupo huwezi kukataa. Ila machoni mwa watu mnaonekana hamna ugomvi.
Huwezi kukaa kwenye ndoa bila mikwaruzano ya hapa na pale wala nyie sio malaika mseme mtakuwa salama for the rest of your life mkuu. Yapo na yatakuwepo hayo na ndo yanadetermine ndoa kuendelea kuwepo au isiwepo kabisa

Ni full utamu ndo maana anataka tena. Ingekuwa chungu wangerudia? Utaonja shubiri afu useme niongeze???
Nyumba kubwa ndo hapo sasa. Sasa kama ndoa ni ngumu kwanini wanaolewa au kuoa tena. Kwa nini bado wengine wanawasiliana na Ex wao kuombana kukutana kama ndoa ngumu

Na bila ugomvi hata kidogo utajuaje kama mnapendana? Wagombanao ndio wapatanao. Kama mnagombana leo na kesho mnaweza kucheka pamoja na kupeana ma lovedave yetu kwa nini useme ndoa ndoano. Kugombana ndio part ya raha yenyewe. Maisha bila challenge sometimes ni boring.

Mimi naweza nikakusimuli mume wangu kanifanya hivi huku nalia. Wewe lika click kichwani mwako kuwa maisha yangu ni ya mateso always. Kumbe ni ugomvi wa msimu ambao kosa nililofanya ni ku share siri za ndani na third part. Ndio unakuta watu wamekazana yule mama mmewe anamtesa yeye ameng'ang'ania. Ukiuliza why wanakupa stori moja alowaambia. Wake up guys; ugomvi wa ndoa ni wa msimu tu na malovedove yapo saaana tu.

Yaani hapo eti ni kujifariji tuu wanakukufanya maana anasema huyu hatakuwa kama yule kumbe hakuna kitu.

QUOTE=nyumba kubwa;2319156]Na bila ugomvi hata kidogo utajuaje kama mnapendana. Wagombanao ndio wapatanao. Kama mnagombana leo na kesho mnaweza kucheka pamoja na kupeana ma lovedave yetu kwa nini useme ndoa ndoano. Kugombana ndio part ya raha yenyewe. Maisha bila challenge sometimes ni boring.[/QUOTE]

Sometime unaweza ukaambiwa umepewa limbwata yaani yule mwanaume kwa yule mwanaume hakohoi. Mwanamke kamdhibiti kisawasawa kumbe watu mapenzi. Hiyo mambo ya kugombana na kususiana yapo huwezi kuyakwepa kwenye ndoa na kwa sababu ndoa ni learning process unapomkosea mwenzako ni kuwa unajifunza ili kesho na keshokuwa usirudie kosa lile tena

So,hata kama,mnalala vitanda tofauti,hamsalimiani asubuhi,hamzungumzi kuhusu familia halafu huku nje mnajidai mpo pamoja,ndoa ipo hapo?

Sometime unaweza ukaambiwa umepewa limbwata yaani yule mwanaume kwa yule mwanaume hakohoi. Mwanamke kamdhibiti kisawasawa kumbe watu mapenzi. Hiyo mambo ya kugombana na kususiana yapo huwezi kuyakwepa kwenye ndoa na kwa sababu ndoa ni learning process unapomkosea mwenzako ni kuwa unajifunza ili kesho na keshokuwa usirudie kosa lile tena[/QUOTE]

There is no relation between light and darkness!

hili neno!

Ndo maana nasema,we human tuna aina ya ukichaa!How can we justify this?

Vitanda tofauti umejuaje?? Unakula chabo?/ Maneno ya mitahani hayo wanandoa wachache sana kama wapo wanalala vitanda tofauti bongo na wanaofikia hapo basi divorce ni next day

So,hata kama,mnalala vitanda tofauti,hamsalimiani asubuhi,hamzungumzi kuhusu familia halafu huku nje mnajidai mpo pamoja,ndoa ipo hapo?

Kama huwezi endelea kukaa bachelor hakuna mtu utakayempata kama mwenza atakkaye kufanya ucheke tuuuuuu. Malaika huyo duniani hakuna awe mke au girlfriend

Ndo maana nasema,we human tuna aina ya ukichaa!How can we justify this?

Naona kipande hii
moto umeewashwa...
Kazi kweli kweli...

So,hata kama,mnalala vitanda tofauti,hamsalimiani asubuhi,hamzungumzi kuhusu familia halafu huku nje mnajidai mpo pamoja,ndoa ipo hapo?
Wenye wivu wanaonekana kwa maandishi yao tu,si uugulie kimyakimya tu

BlackBerry umejuaje. Yaani kuna watu bana wao wako single afu wako busy kuponda ndoa za watu si wivu ni nini??? Wanatutamani eeeh?? Tunafaidi mwe! Ukizingatia wengine wana conflicts of interests kama vimada na vidumu. Kusema wanandoa wananyimana unyumba ni wishfull thinking ya watu design hiyo.
Wenye wivu wanaonekana kwa maandishi yao tu,si uugulie kimyakimya tu

Vitanda tofauti umejuaje?? Unakula chabo?/ Maneno ya mitahani hayo wanandoa wachache sana kama wapo wanalala vitanda tofauti bongo na wanaofikia hapo basi divorce ni next day

Uko dunia gani mama?Unafikiri kila anaekunywa maziwa anafuga ng'ombe?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…