Kuoa wake wengi ni kuwadhalilisha wanawake

kulagha nenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2026
Posts
622
Reaction score
1,287
Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako.

Alafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu, huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni .

Wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.

Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
 
Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.

Ukitaka usife mapema kama mwanaume oa zaidi ya mke mmoja..watafocus kupambana wao kwa wao ili wa kuwini wewe.

So sikuzote utakua safe side,mke mmoja mkichukiana ni adui yako namba moja.
 
Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Ulienda JANDO?
 
Ach

Acha upuuzi lakini kudinyana minduku Wanaume kwa Wanaume ni haki za binadamu?
 
Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Wanawake si wa kutetea waache tu kama.walivyo
 
Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Lakn kufilana ni vizuri sndio?
 
Wanawake wengi hawapendi ila wanalazimika inaweza kuwa kwasababu ya dini au umasikini .
 
Wew huna akili
Angalia takwimu za sensa ya Dunia
Idadi ya wanaume na wanawake,halafu uje hapa ufute Uzi wako.

Tatizo huwa mnamezeshwa UPUMBAVU kuhusu ndoa za wake wengi
Kiongozi, wanawake na wanaume duniani hatupishani kiasi cha kusema mwanaume mmoja kuwa na wake hata wawili. Tunatofautiana kwa idadi ndogo saaaaana. Ni upumbavu kuoa wanawake kwa mafungu.
Mke mmoja kwa mume mmoja kama ilivyokuwa kwa Adamu na Hawa
 
Back
Top Bottom