ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,494
- 20,305
Kwani hao wanawake huwa wanalazimishwa?Kiongozi, wanawake na wanaume duniani hatupishani kiasi cha kusema mwanaume mmoja kuwa na wake hata wawili. Tunatofautiana kwa idadi ndogo saaaaana. Ni upumbavu kuoa wanawake kwa mafungu.
Mke mmoja kwa mume mmoja kama ilivyokuwa kwa Adamu na Hawa