Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,397
- 25,089
Wazee wa kikurya wanasema hivi...," ukitaka kufa mapema oa mke mmoja"Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako.
Alafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu, huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni .
Wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.