Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako.
Alafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu, huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni .
Wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya...
Kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya Kiislamu mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ni Sunna ya Mtume Muhammad. Na inatajwa kwamba mwanamke anae mruhusu mume wake kuoa mke wa pili anapata thawabu nyingi sana na ana nafasi ya pekee peponi. Lakini katika maisha halisi suala hili linaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.