26. Naona amesahau stage moja ya mwisho. Ili kupata gharama kamili chukua 14,000,000/= toa zawadi ulizopewa (kiwanja mbezi, mifuko 50 ya cement kutoka kwa bosi wako,mabati bundle tano,ng'ombe wawili wa maziwa,fridge kubwa,sofa set,tv kubwa 29", kabati la nguo, jiko la gesi complete,vyombo vya jikoni,laptop mpya,makanga na mavitenge kwa mkeo,feni mbili,meza ya kioo,cherehani,kitanda 6'x6',godoro la banco,music system,etc..etc...etc...etc...baadae tena kumbe wale jamaa mliwapa bia mojamoja kamati ilibana hela ukagaiwa chako 2,000,000/=)