Kuoa si jambo dogo, unatakiwa uwe umejiandaa

Kuoa si jambo dogo, unatakiwa uwe umejiandaa

Achen basi kunkatisha tamaaa...bora ntafte Mhindi anisaidie upande wa mahari
 
images
images
images

:A S 465:Introduction to family members :A S 465: Send off party :A S 465: wedding ceremony :A S 465: wedding party:A S 465:​

Gharama za wanandoa kuanzia kutambulishana wanafamilia, na kisha hatua nyingine zinazofuata hutumia gharama kubwa mno wakati gharama hizo anayechomolewa mfukoni ni mchumba wa kiume, na hufikia kuwaacha wanandoa hawana cha kuanzia maisha kutokana na kukamuliwa bila huruma kwa mambo pengine si ya muhimu katika maisha yao mapya. Badala ya kuchangia kuwasaida wanandoa kuanza maisha mapya kwa furaha huishia kuanza maisha machungu na kama ni wafanya kazi kipato chao kuishia from hand to mouth na pengine kubeba mzigo mzito wa madeni ya mchakacho wa ndoa yao.

Kamati za maandalizi ya ndoa ikiwemo send off, ndoa na tamasha baada ya ndoa utakuta kamati zinajitahidi kuhakikisha pesa yote iliyochangwa inaishia hapa hapo ukumbini na wanandoa wanatoka walivyo huku imewagharimu pesa nyingi kuchangia.
 
mhm...kazi tunayo.
average price ya dada poa pale kona bar buku 40 mpaka 50 kwa warembo wakali.

14,180,000/50,000 = 283.6
taking into account kwamba naenda pale mara moja kwa wiki kupunguza manii na kuwa mwaka una wiki 52
283.6/52 = 5.45 years.

kha yaani miaka mitano karibia na nusu ya kupata utamu natumia just for one wedding nyt?!!! kweli wadada msitulaumu kama hatuwaoi. economically makes sense kukamatia dada poa.
 
mhm...kazi tunayo.
average price ya dada poa pale kona bar buku 40 mpaka 50 kwa warembo wakali.

14,180,000/50,000 = 283.6
taking into account kwamba naenda pale mara moja kwa wiki kupunguza manii na kuwa mwaka una wiki 52
283.6/52 = 5.45 years.

kha yaani miaka mitano karibia na nusu ya kupata utamu natumia just for one wedding nyt?!!! kweli wadada msitulaumu kama hatuwaoi. economically makes sense kukamatia dada poa.

Binafsi sioni sababu ya mamilioni yote kuishia kwenye ulaji bila kuwagawia wanaharusi za kuanzia maisha. Ingekuwa kwamba walao robo au theluthi ya michango wanakabidhiwa wanaharusi kuanzia maisha ningeona jambo la maana na msingi.

Ukiangalia kwa makini hii ni njia tu ya kufanya tafrija kwa kisingizio cha kuwasindikiza wanaharusi.
 
Kwani lazima kuoa kwa gharama zote hizi?

Utaratibu wanaoufanya ndio huo ingawa hizo pesa zimewekwa kama mfano kuwezesha kueleweka vema. Jambo la kuelewa ni kwamba mfumo uliopo ukiamua kuoa utakuta unakuana na hayo, ni taratibu za mazoea kwani mengine ni ya kuiga si utamaduni wetu. Kumbuka hapo kimoja kimsahauliwa ambacho ni kitchen pary.
 
Utaratibu wanaoufanya ndio huo ingawa hizo pesa zimewekwa kama mfano kuwezesha kueleweka vema. Jambo la kuelewa ni kwamba mfumo uliopo ukiamua kuoa utakuta unakuana na hayo, ni taratibu za mazoea kwani mengine ni ya kuiga si utamaduni wetu. Kumbuka hapo kimoja kimsahauliwa ambacho ni kitchen pary.

Gharama za kujitakia hizi. Si za lazima.

Hivi ndoa ni nini? Hizi sherehe sherehe ni lazima? Tamaduni lavish zilizo juu ya nyenzo zetu ni lazima?

Utaratibu huu umeandikwa katika mawe gani? Umeshushwa na mtume gani?
 
Gharama za kujitakia hizi. Si za lazima.

Hivi ndoa ni nini? Hizi sherehe sherehe ni lazima? Tamaduni lavish zilizo juu ya nyenzo zetu ni lazima?

Utaratibu huu umeandikwa katika mawe gani? Umeshushwa na mtume gani?

Maswali kama hayo ndiyo yaliyonivuita kuweka mada hii. Ndoa ni nzuri, lakini ukiritimba ambao huchukua hadi watu waanze kuishi pamoja ni kuwahujumu wanandoa watazamiwa na kuishia maisha ya mwanzo wa ndoa kuwa ya dhiki badala ya faraja.

Mamilioni yote wanayochangishana wanayamaliza wenyewe wachangaji bila kuwafaidia wanandoa. Hata hivyo utaona wanandoa wenyewe wanakamuliwa hadi kubaki watupu kuchangia mambo ya vikao, maago na mengineyo wayajuayo wenyewe licha ya mahali.
 
Gharama za harusi zinatokana na aina ya harusi ambayo bi harusi au bwana harusi atachagua.. Sisi jumapili ijayo hapo kwetu tena hapa hapa dar tunatarajia kumuoza mdogo wetu,gharama zooote..kukuru kakara zote gharama ya shughuli ni 750,000/=...na tuna-expect watu watakula na watasaza. So ni mpangilio tu na aina ya shughuli ambayo hao wachumba wanataka.
 
Estimations zipo over valued kidogo, maybe zime include INFLATION!!!!!

Ukweli ni kuwa tatitzo si kuoa, tatizo KUOA WAREMBO WA KISHUA!!!!! Hapo ndipo chupi inakubana unapojikamua kuhakikisha harusi inaizidi sendoff!!!! Ila ukioa uswazi kwetu, MKE WAPEWA BUREEEEEE! Unaambiwa ukipata mahari utaletaga tu!

ILA KUOA KWA WACHAGA NI BONGE YA SOOO! Wanapenda mashindano haoooo! Zawadi ya wazazi ni jumba, kiwanja, gari, shamba mmmmmmh!!!!!

Kuna mtu alienda kuposa mtoto wa prof wa kichaga akaambiwa mahari 10 MILLS, wacha chupi imbane!!!! Mi nikamwambi wewe hiyo mbona ni viable investment, unatoa 10 MILLS unapewa zawadi ya nyumba tabata huko ya 50 MILLS, na kodi utakazosevu? hujatoka tu!!!!!!!!
 
Estimations zipo over valued kidogo, maybe zime include INFLATION!!!!!

Ukweli ni kuwa tatitzo si kuoa, tatizo KUOA WAREMBO WA KISHUA!!!!! Hapo ndipo chupi inakubana unapojikamua kuhakikisha harusi inaizidi sendoff!!!! Ila ukioa uswazi kwetu, MKE WAPEWA BUREEEEEE! Unaambiwa ukipata mahari utaletaga tu!

ILA KUOA KWA WACHAGA NI BONGE YA SOOO! Wanapenda mashindano haoooo! Zawadi ya wazazi ni jumba, kiwanja, gari, shamba mmmmmmh!!!!!

Kuna mtu alienda kuposa mtoto wa prof wa kichaga akaambiwa mahari 10 MILLS, wacha chupi imbane!!!! Mi nikamwambi wewe hiyo mbona ni viable investment, unatoa 10 MILLS unapewa zawadi ya nyumba tabata huko ya 50 MILLS, na kodi utakazosevu? hujatoka tu!!!!!!!!

Teh teh teh...sinia la biriani linatosha kukupa mke huku kwetu uswazi.
 
Gharama tunajitakia wenyewe jamani.. mi mwenyewe ni shuhuda wa harusi yangu. It was very simple but mwaaaaaa.. peefect one. Hatukua na mipango miiiingi kama hiyo ya kuumiza kichwa.. na ilifanyika kwny hotel moja nzuri za fukweni. Mimi na mwnzangu hatukutaka headache kwa kwli. Nadhani gharama zote pamoja na kulala hapo hotelini for two days hazikuzidi 5m., hatukumchangisha mtu tulishajipanga wenyewe na tukachagua aina ya shughuli tutakayo imudu bila pressure.So ukitaka makubwa na show off, au ukitaka nawe shughuli yako izidi ya fulani hayo ndio yatakayo kusibu..
 
Gharama ya kuoa ni mahari tu...hayo mengine mashamsham tu
 
Ndiop maana siku hizi watu wanasogeza kwanza na kuanza kuishi kabla ya kuoa maana kwa gharama hizi ni bora mtu ukafanyia kitu kingine cha maana katika kuijenga familia.
 
Candid Scope, naomba nichangie baadhi ya aya zako

mhh ndio maana wanaume wanaogopa kuoa ( wapo wapo saaaaaaana!!!!!!jamani embu cheki hii ..... Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae kwa mambo haya:

  1. Kujitambulisha ukweni. Hapo utatakiwa uende kijijini alikozaliwa mkeo mtarajiwa ukajitambulishe huko. Kama mfano mkeo anatokea Mwanza, na mnaishi Dar, andaa nauli ya watu wawili, malazi kwa siku mbili, na utagharamia shuhuli hiyo ya utambulisho. We tenga 500,000. Hapo tuna assume mkeo atajitegemea. Otherwise 800,000 itakutoka Sawa wewe unataka kuoa pasipo kufahamu mkeo anatoka wapi? Hutaki hata kufahamu ndugu na jamaa zake? Hiyo gharama inaweza isiwe kweli kwani kama ni kujitambulisha tuu hata binti anaweza kugharamia hilo labda wewe ni nauli yako na ya wapambe wako. Hapa ndipo mabinti mara nyingine hujichanganya mfano kama baba hana nyumba nzuri hamchelewi kutumia nyumba ya kaka na kujifanya ndiyo kwenu ulikozaliwa.

  1. Kumtambulisha mkeo kwenu. Kama nyie nyumbani ni Arusha, utatakiwa umpeleke huko Ngarenanyuki. Sio umlete hapo Tabata mlipopanga. Hapo sio kwenu! Andaa nauli yako na atakaekusindikiza, nauli ya binti na mwenzie, na gharama za vinywaji na chakula siku hiyo. Utahitaji kama 700,000m Siyo kweli kumwonyesha mchumba wako kwenu hakuhitaji maandalizi kiasi hicho kwani kwa hatua wanaopaswa kumfahamu ni wanafamilia wale wa karibu kabisa kama baba, mama, kaka na dada zako na maandalizi ni ya chakula cha familia tuu; hapa ndipo vijana wengi mnapotoka maana ukianza kujikweza baadale utashindwa kushuka.
  2. Kifuatacho ITV ni kuwaalika wakwe zako nyumbani. Uwatoe watu kama nane Mwanza, uwalete Arusha. Wale, walale, wajisaidie, kwa gharama zako. We acha ubishi, tenga 800,000. Wazazi wa pande mbili kufahamiana kabla ya vijana wao kuoana ni muhimu ila hili hufanyika siku ya kupeleka posa. Hata hivyo mambo siku hizi yamerahisishwa badala ya mshenga hufanya kazi ya kupeleka posa na utambulisho hufanyika siku ya send off ambayo huchangiwa na marafiki wa binti na siyo kijana; hiyo gharama yako si kweli
  3. Kwani we wazazi wako wanajua unakooa? Sasa je? Wasafirishe kwenda Mwanza! Watu watano. Utahitaji kuwa na 500,000. Beba pia ATM card yako, kuna imejensi.mambo siku hizi yamerahisishwa badala ya mshenga hufanya kazi ya kupeleka posa na utambulisho hufanyika siku ya send off
  4. MAHARI ndio topic inayofuata sasa. Ukiwa mjanja, unganishia kwenye hiyo safari hapo juu uue ndege wawili. Pamoja na hayo, itabidi ubebe 2,000,000 Mahari hutajwa tuu na hayalipwi "on spot". Wazazi wengi wanatambua mabinti wana msaada kwao kuliko hata watoto wa kiume hivyo mahari yamebaki "fashion" iliyopitwa na wakati na familia zile zisizoelemika ndio huangaika ila walioelimika wao hubeba jukumu la kutunza familia za pande zote mbili badala ya kuangaika na mahari. Hakuna kijana aliyewahi kushindwa kuoa kwa kukosa uwezo wa kulipa mahari hivyo hii hoja haina mashiko muhimu tutangulize utu mbele.
  5. Sasa kijana unaweza kumvisha mchumba wako pete. Nunua ya kawaida kabisa ya dhahabu. 350,000. Tukio lenyewe la kumvisha pete unaweza ita marafiki wawili watatu ukatumia 200,000. Au fanya sherehe kabisa. Mi simo Ndoa zote zinafungwa walivishana pete za ndoa kabla ya kwenda kanisani au msikitini? Pete ni pambo kama pambo jingine kama pochi yako inakupiga chenga ongea na huyo mchumba wako atajinunulia na wewe ufanye igizo la kuingiza hiyo pete kwenye kidole chake mbele ya marafiki zenu.Ukiumia kwa kutumia TShs. 200,000 wewe na mchumba wako pamoja na marafiki zako wakati ukifika watakapokuchangia hapo napo utawaonea huruma kwa kutumia pesa zao hovyo?
  6. Oke, sasa unaweza kuitisha vikao vya harusi. Tengeneza kadi za mwaliko wa kamati kwa 200,000, kikao cha kwanza gharama zote ni juu yako. Andaa 500,000. Swali la kwanza kwenye kikao: "We una shing ngapi?" Sema 1,000,000 Usiogope heshima na zawadi utakazopata zina thamani kubwa kuliko hiyo 1,000,000 unayoionea uchungu. Hata hivyo kama moyo wako unaendana na haya uliyoandika inawezekana wewe si mchangaji na hutapata wa kukuchangia ipasavyo kwa hiyo itabidi ujioze mwenyewe hiyo 1,000,000 iwe 3,000,000.
  7. Utahitaji 100,000 ya sms na simu kukumbushia michango. (Shukuru Mungu kuna cheka time) Si kweli kamati inabeba hilo jukumu "unless" unataka kutapeli watu kwa kukusanya 6,000,000 ufanye sherehe ya 3,000,000 ukiweke nyingine kibindoni
  8. Wakati vikao vinaendelea, utatuma 200,000 kwa m-pesa ili mambo ya kimila yaendelee kule nyumbani. We unaelewa Haya yalishafanyika kwenye hatua za mwanzo. Ila ukweli kwa sisi familia za wakulima lazima kuna watu wakununuliwa nguo wakiwemo wazazi ili wawezi ingia harusini wakifanana na wenzao.
  9. "Darling, sasa mi kwenye kitchen party ntavaa nini?" 300,000 Hi haina uhusiano na kijana; ni mambo ya familia ya msichana
  10. "Darling, kuna mahali nimeona gauni zuri la send." 400,000Hata mkioana kimya kimya bila harusi bado utamnunulia nguo nzuri; usihesabu hii; afterall mkiwa honeymoon atapenda avae nguo ulizomnunulia wewe na siyo zile za wazazi wake au yeye mwenyewe.
  11. "Baby, rafiki yangu alinunua gauni la harusi China yani lilimpende..." 700,000 Buy or lease decision must be made
  12. Wakati huo wewe mwenyewe hujajua utavaa nini, hujanunua pete za harusi, hujamvalisha best man na mkewe. Tuseme unahitaji kama 1,500,000 maana utalia lia sana. Kumbuka, gharama hizi huchangiwi na kamati. Wala hutarudishiwa.Best man hawanunuliwi nguo labda kama wewe umeenda kumchukua kijijini. Unaweza kutumia hiyo 1,500,000 kama zipo vile vile unaweza kutumia chini ya 300,000 na harusi ikapendeza.
  13. Siku ya send off lazma uende Mwanza. Utaenda mwenyewe? Ndugu wawili watatu na mshenga 600,000. Kwenye send off utatakiwa kutoa sijui blanketi la bibi, vitenge vya mashangazi, na vikorokoro kibao. Nunua hivyo vitu 300,000 uende navyo ili kupunguza gharama. Beba 200,000 za wale mashangazi watakaoibuka ghafla! Mambo ya kizamani kila kitu hufanyika mjini pale penye marafiki wengi
  14. Mshonee baba mkwe suti 100,000 mama mkwe yeye atavaa gauni la 50,000 Wamekuzalia mke unaona uchungu wakipendeza? Hata hivyo uzoefu wangu unaonyesha wanaonunuliwa ni mama mkwe baba yeye huwa anapewa kinywaji kama ni mtumiaji inatosha sana
  15. Fotokopi hiyo hapo juu (namba 15) kwa wazazi wako. 150,000 Inategemea wengine kuanzia kumwona msichana, kukushawishi umpende na kufanya mipango yote mpaka 15 hapo juu wanakufanyia na hata mtoto wa kwanza watamlisha mkeo uzazi.
  16. Watu watakaopenda kuvaa sare wajitegemee! Mimi sina hela! Ila utavishonea nguo vile vitoto kwa 80,000. Unaomba watoto wa rafiki wenye uwezo siyo kwenda kwa walala hoi
  17. Siku mbili kabla ya harusi, utaanza kupokea wageni. Unatakiwa uwatafutie malazi na chakula. Kwa ujumla utahitaji kama 500,000 Watu wote siyo tegemezi kwanza wanaotoka vijiji wanakuja wamefungasha vywakula vya kutosha mpaka wanyama walio hai
  18. Jioni watoe auti mashemeji zako ambao hawajawahi kufika Dar ukawanunulie bia ili wakuone wa maana. 200,000 Watu wote siyo tegemezi kwanza wanaotoka vijiji wanakuja wamefungasha vywakula vya kutosha mpaka wanyama walio hai
  19. Siku ya harusi bibi harusi na mwenzie na watoto na ma maids watatakiwa wakapambwe saluni. 200,000Inategemea unamwoa nani na anatoka familia ya aina gani.
  20. We na mwenzio mtaenda kunyoa hapo kwa nanii. Ndevu na nywele na black kibishi 40,000 Hata 5000 ni nyingi tuu
  21. Siku ya harusi beba sadaka 10,000. Wakati huo umeshamtuma kijana akakulipie hoteli mtakayofikia baada ya harusi. Kamati haitoi hela hiyo, so utalipa malazi ya siku mbili 200,000 Kama huna unaenda tuu nyumbani kwako
  22. Kama mtaenda honeymoon sehemu yoyote nzuri nzuri nje ya mji, si chini ya 800,000 kwa angalau siku Wengine wanafunga harusi Jumamosi, Jumatatu wanatakiwa kazini; honeymoon ipo siku zote za maisha yenu kama hamkulazimishwa kuoana.
  23. Wakati uko huko honeymoon, huna hata kumi, mwanakamati mmoja ambae hakuchanga anakupigia simu " Sasa tunavunja lini kamati?" Pesa yote iliyochangwa ilitumika kwenye harusi, sasa gharama za kuvunja kamati ni za nani?? 500,000! Acha woga wanakamati ni binadamu na waelewa wa maisha siku hizi kama ikichangwa 5,000,000 hutenga mpaka 20% yaani 1,000,000 kwa ajili ya zawadi hivyo wanakamati siyo wachovu sana kihivyo.
  24. SASA MNAANZA MAISHA YA UNYUMBA. 14,180,000 poorer. KAZI KWENU MSIOOA/MTAKAOOA TENA.KAM VIPI JIWEKE MAPEMA HAAA HAAAAAA HAAAAAAMuhimu kuanzia hatua ya uchumba muambiane ukweli, kama kwenu hamna kitu mwambie mwenzako aelewe haina maana kumwambia mchumba wako kwetu hakuna shida, ngombe za mziwa saba; shamba tunavuna hadi stoo haitoshi sasa ikitokea ile nyumba ya nyasi imeezuliwa na upepo unaogopa kumwambia mwenzi wako; mdogo wako amechaguliwa kwenda kidato cha kwanza huthubutu maana si mna mazao ya kutosha mnayoweza kuuza mkalipa mahitaji ya kijana kwenda shule ya bodi? mama kalazwa hospitali bili 50,000 uanzie wapi wakati ulisema kwenu hakuna maskini?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa hizi gharama ni kubwa mno, na ni kweli zinasababisha wengi wetu tuwe wazito katika kuingia kunako ndoa kichwakichwa.
 
images
images
images

:A S 465:Introduction to family members :A S 465: Send off party :A S 465: wedding ceremony :A S 465: wedding party:A S 465:​

Gharama za wanandoa kuanzia kutambulishana wanafamilia, na kisha hatua nyingine zinazofuata hutumia gharama kubwa mno wakati gharama hizo anayechomolewa mfukoni ni mchumba wa kiume, na hufikia kuwaacha wanandoa hawana cha kuanzia maisha kutokana na kukamuliwa bila huruma kwa mambo pengine si ya muhimu katika maisha yao mapya. Badala ya kuchangia kuwasaida wanandoa kuanza maisha mapya kwa furaha huishia kuanza maisha machungu na kama ni wafanya kazi kipato chao kuishia from hand to mouth na pengine kubeba mzigo mzito wa madeni ya mchakacho wa ndoa yao.

Kamati za maandalizi ya ndoa ikiwemo send off, ndoa na tamasha baada ya ndoa utakuta kamati zinajitahidi kuhakikisha pesa yote iliyochangwa inaishia hapa hapo ukumbini na wanandoa wanatoka walivyo huku imewagharimu pesa nyingi kuchangia.

Habari hii hapa chini ambayo nimekuita mtandao wa
Mjengwa blog ambayo imeandikwa na Angelo Kihanga kwenye facebook imenifikirisha na kukumbuka mengi ambayo wengi wetu yamewapata, yanawapata na yatawapata kama hatubadiliki na kufikira kizazi cha leo kinahitaji maisha yaweje..


mhh ndio maana wanaume wanaogopa kuoa ( wapo wapo saaaaaaana!!!!!!jamani embu cheki hii ..... Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae kwa mambo haya:
  1. Kujitambulisha ukweni. Hapo utatakiwa uende kijijini alikozaliwa mkeo mtarajiwa ukajitambulishe huko. Kama mfano mkeo anatokea Mwanza, na mnaishi Dar, andaa nauli ya watu wawili, malazi kwa siku mbili, na utagharamia shuhuli hiyo ya utambulisho. We tenga 500,000. Hapo tuna assume mkeo atajitegemea. Otherwise 800,000 itakutoka.
  2. Kumtambulisha mkeo kwenu. Kama nyie nyumbani ni Arusha, utatakiwa umpeleke huko Ngarenanyuki. Sio umlete hapo Tabata mlipopanga. Hapo sio kwenu! Andaa nauli yako na atakaekusindikiza, nauli ya binti na mwenzie, na gharama za vinywaji na chakula siku hiyo. Utahitaji kama 700,000
  3. Kifuatacho ITV ni kuwaalika wakwe zako nyumbani. Uwatoe watu kama nane Mwanza, uwalete Arusha. Wale, walale, wajisaidie, kwa gharama zako. We acha ubishi, tenga 800,000 tu.
  4. Kwani we wazazi wako wanajua unakooa? Sasa je? Wasafirishe kwenda Mwanza! Watu watano. Utahitaji kuwa na 500,000. Beba pia ATM card yako, kuna imejensi.
  5. MAHARI ndio topic inayofuata sasa. Ukiwa mjanja, unganishia kwenye hiyo safari hapo juu uue ndege wawili. Pamoja na hayo, itabidi ubebe 2,000,000.
  6. Sasa kijana unaweza kumvisha mchumba wako pete. Nunua ya kawaida kabisa ya dhahabu. 350,000. Tukio lenyewe la kumvisha pete unaweza ita marafiki wawili watatu ukatumia 200,000. Au fanya sherehe kabisa. Mi simo
  7. Oke, sasa unaweza kuitisha vikao vya harusi. Tengeneza kadi za mwaliko wa kamati kwa 200,000, kikao cha kwanza gharama zote ni juu yako. Andaa 500,000. Swali la kwanza kwenye kikao: "We una shing ngapi?" Sema 1,000,000.
  8. Utahitaji 100,000 ya sms na simu kukumbushia michango. (Shukuru Mungu kuna cheka time)
  9. Wakati vikao vinaendelea, utatuma 200,000 kwa m-pesa ili mambo ya kimila yaendelee kule nyumbani. We unaelewa
  10. "Darling, sasa mi kwenye kitchen party ntavaa nini?" 300,000!
  11. "Darling, kuna mahali nimeona gauni zuri la send." 400,000!
  12. "Baby, rafiki yangu alinunua gauni la harusi China yani lilimpende..." 700,000!
  13. Wakati huo wewe mwenyewe hujajua utavaa nini, hujanunua pete za harusi, hujamvalisha best man na mkewe. Tuseme unahitaji kama 1,500,000 maana utalia lia sana. Kumbuka, gharama hizi huchangiwi na kamati. Wala hutarudishiwa.
  14. Siku ya send off lazma uende Mwanza. Utaenda mwenyewe? Ndugu wawili watatu na mshenga 600,000. Kwenye send off utatakiwa kutoa sijui blanketi la bibi, vitenge vya mashangazi, na vikorokoro kibao. Nunua hivyo vitu 300,000 uende navyo ili kupunguza gharama. Beba 200,000 za wale mashangazi watakaoibuka ghafla!
  15. Mshonee baba mkwe suti 100,000 mama mkwe yeye atavaa gauni la 50,000.
  16. Fotokopi hiyo hapo juu (namba 15) kwa wazazi wako. 150,000
  17. Watu watakaopenda kuvaa sare wajitegemee! Mimi sina hela! Ila utavishonea nguo vile vitoto kwa 80,000.
  18. Siku mbili kabla ya harusi, utaanza kupokea wageni. Unatakiwa uwatafutie malazi na chakula. Kwa ujumla utahitaji kama 500,000
  19. Jioni watoe auti mashemeji zako ambao hawajawahi kufika Dar ukawanunulie bia ili wakuone wa maana. 200,000
  20. Siku ya harusi bibi harusi na mwenzie na watoto na ma maids watatakiwa wakapambwe saluni. 200,000
  21. We na mwenzio mtaenda kunyoa hapo kwa nanii. Ndevu na nywele na black kibishi 40,000
  22. Siku ya harusi beba sadaka 10,000. Wakati huo umeshamtuma kijana akakulipie hoteli mtakayofikia baada ya harusi. Kamati haitoi hela hiyo, so utalipa malazi ya siku mbili 200,000
  23. Kama mtaenda honeymoon sehemu yoyote nzuri nzuri nje ya mji, si chini ya 800,000 kwa angalau siku 5.
  24. Wakati uko huko honeymoon, huna hata kumi, mwanakamati mmoja ambae hakuchanga anakupigia simu " Sasa tunavunja lini kamati?" Pesa yote iliyochangwa ilitumika kwenye harusi, sasa gharama za kuvunja kamati ni za nani?? 500,000!
  25. SASA MNAANZA MAISHA YA UNYUMBA. 14,180,000 poorer. KAZI KWENU MSIOOA/MTAKAOOA TENA.KAM VIPI JIWEKE MAPEMA HAAA HAAAAAA HAAAAAA

hapo usisahau afta hayo yote kuna jamaa kama 5 walikuchangia hvyo na wao wanahitaji mchango wako si chini ya 50 elfu each usipotoa lawama!
Tutaacha kuwa maskina namna hii
 
khabar ya kuoa wjomba n problem kubwa xanaa,na hz mambo bhana huchangiwa na wanawake hutaka mambo makubwa liwe gumzo mtaan,Ishu iko hv ndoa inafungwa moyon haya mengine maonyesho 2. Tutaweza vp mambo haya Je ! M nnayelipwa sh laki Nne ntaoa kweli yule nimpendaye aaaah tutaishia kuzalisha na kutulia tutaweza wap mambo haya bhana haya mambo n ya kina MSAKI,NGOWI bhana.
 
Hivi tabu zote za nini jamani? watu wafanye harusi zenye budget ndogo. watu wachache kiasi. Hela huna lakini unabudget harusi ya watu 400-500!!!!!!!!!! mnatuchosha na michango yenu!!!!!!!!!! ndoa zenyewe hazidumu ilimradi matatizo tu!!!!!!!!!!!
Aaahhhhhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom