Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,068
Alafu familia unayokwenda kuowa MAJANGA wote macho kwako mara huyu mkwe naomb sh ,mara shemej mtoto ada pam..ba.fu zao.
mi nilishamwambia mama na baba mkwe hamna noma. Hao wengine kila mtu azae kulingana na uwezo wake. Labda aniibie!