Kunyoa kwapa?

Hivi kisayansi, ni kwanini binaadammu tunaota nywele kwenye makwapa? Kuzitoa kuna madhara yoyote? Is it theologically right kunyoa nywele hizi za makwapa?
 
Last edited:
Hivi kisayansi, ni kwanini binaadammu tunaota nywele kwenye makwapa? Kuzitoa kuna madhara yoyote? Is it theologically right kunyoa nywele hizi za makwapa?

Luckily nimepata baadhi ya majibu:

Effects of shaving:

It is a commonly believed myth that shaving hair will cause it to grow thicker over time. There is nothing about the practice of shaving that produces new follicles for hair to grow out of; this myth most likely persists because stubble does not taper like hair that is allowed to grow long and because short hairs feel coarser than longer hairs of the same thickness.

However, shaving does increase the likelihood of developing ingrown hairs. Armpit hair removal must be performed more frequently than leg shaving, as underarm hair grows faster than leg hair, and if not done consistently, stubble can appear. The armpit area can darken over a period of time and even with a close shave, a "5 o'clock shadow" may be visible. Because hair under the skin can contribute to a dark appearance of the underarm, waxing, by removing the hair from the root, can effectively reduce this darkness.

However, removing armpit hair, whether by shaving or any other method, increases the amount of moisture allowed to cling to the skin and if combined with a disturbed acid mantle caused by the use of most soaps (basic pH), may lead to increased body odor.

So the theory of having shaved armpit hair reduces body odor is invalid.
 
wanaume wanaonyoa makwapa ni mashoga, hiyo ni moja ya vitambulisho vya ushoga, so they say

yep ni kweli, pia kula chips, kuvaa nguo safi, kunyoa nywele vizuri, kutumia cologne, kuwa na kucha safi, kutokunuka socks, kula ice cream, kumpenda mama yako mzazi, kutokutumia muda mwingi kwenye vijiwe vya masela kupiga stori za kijinga, kupendwa sana na mademu hasa wa washikaji, kuwa gentlemen hasa ku care for ladies, kutabasamu kila wakati hata kama umechukizwa, kupenda watu wote na kuwajali binadamu wenzako..VYOTE HIVYO NI VITAMBULISHO VYA USHOGA, so THEY SAY
 
yep ni kweli, pia kula chips, kuvaa nguo safi, kunyoa nywele vizuri, kutumia cologne, kuwa na kucha safi, kutokunuka socks, kula ice cream, kumpenda mama yako mzazi, kutokutumia muda mwingi kwenye vijiwe vya masela kupiga stori za kijinga, kupendwa sana na mademu hasa wa washikaji, kuwa gentlemen hasa ku care for ladies, kutabasamu kila wakati hata kama umechukizwa, kupenda watu wote na kuwajali binadamu wenzako..VYOTE HIVYO NI VITAMBULISHO VYA USHOGA, so THEY SAY

Nilishadokeza huyu ChaMtuMavi ana matatizo ya ku-portray u- Great Thinker..lol
 
Kunyoa kwapa ni muhimu na ni usafi kwa mwanamke na mwanamme, kwapa zikiwa ndefu hutoka jasho, hasa ukiwa busy huwezi kumbuka kila wakati kutia manukato hivyo bora kunyoa
 
nikama wanawake wasionyoa uchi, its just disgusting... Had a japanese link once, aah wale huwa hawanyoi..lol
 
jamani nina maswali????i need honest opinions from men wa humu jamvini.

(a) wanaume wanapenda **** "kipara" au yenye "afro"??kama mwanaume uliekamilika,ni ipi yenye mvuto zaidi wakati wa mechi??


(b) kuna ukweli wowote that **** zina different Standards au zote sawa i.e, same taste???
 
haya wacha tuwangoje kina KKN, MBU, yoyo, fidel, mtindio, Kibs..... leteni habari...tusuke au tunyoe!!!!!kwi kwi kwi....
 
Nyewe zina umuhimu wake lakini ni uchafu penginepo! **** ziko tofauti kama ilivyo finger prints. Know dat. Simple. Next qn
 
Mambo mengine sikama nyumba dada ati ikijengwa basi, inabidi kuchanganya changanya keep him guessing, hapo ndio utamuona akitoka kazini anakimbilia nyumbani.
Hata nyumba hupakwa rangi mara kwa mara, si hata nyele kichwa unafanya ma style.
 
haya wacha tuwangoje kina KKN, MBU, yoyo, fidel, mtindio, Kibs..... leteni habari...tusuke au tunyoe!!!!!kwi kwi kwi....

Sasa wewe mdada mboni wantafuta ubaya? Nway ntakuja na preference yangu nikishapata ruhusa ya wifi enu.lol
 
FAIDA ZA KUACHA KUNYOA
(Kuwa na msitu)
Hizi nywele huwa zonashika homoni za pheromones ambazo zikisambaa huweza kuvutia mtu wa jinsi tofauti (attraction)
Huweza kuzuia msuguano (friction) wakati wa tendo la ndoa, Kumbuka viungo vya uzazi vipo delicate sana.
Husaidia kufanya maeneo ya sehemu za siri kuwa jotojoto (warm)
Huzuia na Kulinda sehemu za siri kama hasa vitu vidogo kama mavumbi Kuingia sehemu nyeti hasa wanawake kama zilivyo nywele za kawaida zinavyolinda kichwa.
Huonesha kukua kwa mtu (sexual maturity)

FAIDA ZA KUNYOA
(Kipara)
Huboresha tendo la ndoa hasa kwa wale wanaopenda Kipara.
Huboresha usafi; hizi nywele hushika harufu (odor) na kuweza kupelekea kutoridhishana kimapenzi, au kama muhusika hajaoga vizuri anaweza kukufukuza kwa harufu.
Kujisikia vizuri, kujiamini na kujisikia safi
Source: The Hill Of Wealth
 
Mi napenda iliyonyolewa....manywele nywele kwa siye na mambo yetu yaleeee wapi na wapi?
 
Watu wengine huingia------hivyo zikiwa kubwa watashindwa au zitabaki kwenye meno wapate kansa ni bora kunyoa na kuwa kipara kabisa
 
Back
Top Bottom