Kunyoa kwapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunyoa kwapa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, May 20, 2009.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  May 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mnaonaje hili swala la kunyoa vikwapa. Wewe unapenda demu anayenyoa makwapa yake? Na vipi wanaume kunyoa makwapa yao, ni ok?
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  I dont know...but it doesnt sound that good either!!!
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  May 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Na kwa nini baadhi ya wanawake wananyoa makwapa yao?
   
 4. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kwapa la ke likiwa halijanyolewa I can't feel. Nanyoa. Kwani manyoa ya kwapani yana uzuri?
   
 5. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  kwenye nchi za joto nadhani ni jambo la kawaida kunyoa zenye kutoka jasho sana na rahisi kupata fungus
   
 6. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Sielewi swali, una maana ya kwapa kama kwapa au ndio mambo ya tafsida? Kama unamaanisha ulichoandika sioni tatizo kwani ni masual ya usafi
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mie najiulizaga watu wa zamani walikuwa wananyoaje nywele zao hakukuwa na nyembe,makasi na vikatio vyoyvote ambayo vinatumika zama za chuma....
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kwani wanaume hawanyoi makwapa?
   
 9. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  walioishi zana za mawe walitumia mawe.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  May 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi sinyoi...wewe unanyoa?
   
 11. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Huwa nashave ndio my underarms hair. Sasa kama hujawahi kushave si utakuwa na msitu huko jamani! Lol! sasa kama hunyoi hiyo deodorant huko inakuwaje sasa?
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  aisee.....vipi kuhusu mfano wakina dada/mama walipokuwa hedhini? walitumia nini kujisitiri?
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Haya maswali mengine!
   
 14. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wanaume wanaonyoa makwapa ni mashoga, hiyo ni moja ya vitambulisho vya ushoga, so they say
   
 15. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mmmmh kunyoa muhimu jamani,usiponyoa si uchafuuuu huoooo!!
   
 16. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  piga mahesabu! watakuwa walikuwa wanakaa ndani mpaka atoke 'mwezini', na kuosha kwa maji.
   
 17. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  pia wanaume wanaonyoa ndevu ni mashoga; wasionyoa ndevu mabasha +
   
 18. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hayo manywele nywele ya sehemu sehemu me huwa cyapendi kabisa! kunyoa nii muhimu kwa wanaume na wanawake, khaaaa
   
 19. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2009
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  walikuwa wanatumia majivu yenye moto kidogo
   
 20. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2009
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Walikuwa wakitukia magome laini ya miti ama majani malaini
   
Loading...