KUNRADHI:Utoto Umezidi humu.

KUNRADHI:Utoto Umezidi humu.

Wadau,nilianzisha jana mada humu entitled:Utoto Umezidi humu.
Nimepitia comments,na wengi kweli wamenitukana wakihisi kuwa nilianzisha thread ile kuwatukana.
Kwa kweli,NINAOMBA RADHI,kwani halikuwa lengo langu kumtusi wala kumdhalilisha yeyote,isipo kuwa nadhani ni ugeni humu Chit-Chat ulio pelekea mimi kupost hilo.
NAOMBENI RADHI SANA,na with time nitalielewa vyema jukwaa na kuwa member mzuri humu.
Wasalaam.
Hii inaitwa stressfree zone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom