kwa jinsi unavyoshinda online muda wote, nahisi utakua wafanyakazi kama sio Simba net basi Raha dot com
Pamoja sana mkuu.
Attention seeker. Utoto ndo unakusumbua. Ukikua utaacha. Boya wewe
Namimi niombe msamaha tena.
Ule wa kwanza sijaridhika.
Usisahau kunitafutia beki 3 huko ulipo. Awe mweupemweupe. Umri kuanzia miaka 18-27, elimu kidato cha 6 na kuendelea..
We tuma vocha ya Airtel au Tigo kule Pm.
Hahahah mie mwenyewe atume airtel 50MB nilotumia kumjibu lol
Hebu kuwa muwazi.
Unataka mke au HG?
Mi keshanitumia,
Mwambie na wewe.
Nataka haus geli. Mke ninaye.hata wewe wamjua.
mtajeeeeee!!!! wifi wifi wifi wifi huyooo wifi wifi huyo wifi wifi huyo wifiiii..... lililililiiiiiii.....
nimekusamehe lakini sitokusahau!!!!!
ninachokuomba kapige magoti kwa mods wam-unban cacico hapo utakuwa umesameheka......