KUNRADHI:Utoto Umezidi humu.

KUNRADHI:Utoto Umezidi humu.

af we @mdhungu nini sijui hivi unajua nilipoteza wino wa keyboaerd yangu kiasi gani!
ngoja nimuulize Boflo na watu8 kama tukusamahe au vipi?
 
Last edited by a moderator:
shosti Madame B muhurumie mwenzio mgeni humu hakujua huku ni kuchit na kuchat ndo wengine twapunguza stress humu ha ha haaaaaa

Shoga measkron acha tu,
Yani anataka kuvamia Pori kwa wembe?
Basi aende kule siasani hahahaaaa
Hii kwa shem watu8
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom