Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

mkuu frankly speaking chadema kimefika kilipo, kwa sababu kinapambana na dola lkn ingekuwa CCM vs CHADEMA leo story zingebadirika kabisa.
Hujuwi kwamba tangu watoke hao uliowataja kimedodoke pua vya kutosha? Sasa ni kifo cha mende!!
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.

Hivi kuna mtua aliyekuwa anaijua nje ndani chadema kama Dk Slaa?
Mashinji je ambaye alitumwa kwa kazi maalum na mwishowe akatimka mwenyewe?
...wapangeni hao wanawake muwezavyo lakini cdm bado itaendelea kuwatesa maccm!
Zaidi ya propaganda za sijui rushwa ya ngono, ambazo zilishawahi kuibuka na zikakosa mashiko hamna lingine linaloweza eti sijui kuivuruga cdm!
Yaani mlidhani Mbowe angewachekea siyo...!?
Mburula kweli mataga!
 
Pole sana,
Nimepiga magoti ninamwomba Mungu akupe ujasiri ili uweze kumkataa huyo shetani aliyekutawala, pamoja mambo yake yote.
Watz tuanze kuthamini na kujivunia kutenda kwa haki na upendo kama tulivyokuwa enzi za Mwalimu.
Amen
Kama unasubiri haki kutendeka kwenye siasa utasubiri Sana mkuu.
 
Wakitoa siri yoyote ile watakuwa ni dhaifu sana. Walikuwa kwenye maamuzi kwahiyo nao walikuwa washiriki wakubwa. Chochote watakachotamka watakuwa wanajisuta wenyewe. La msingi hapo wajibu hoja silizowapelekea kwenda kuapishwa. Je walisaliti au wanaonewa?
Wenye siri za kuua na kutesa watu, kuwekeana sumu, vikosi vya wasiojulikana, kuiba uchaguzi na ujambazi mwingine ni wao wenyewe. CHADEMA hawana hayo, hawana cha kuficha wala cha kuogopa kuanikwa.
Ndio maana pamoja na mbinu chafu hata TAKUKURU ilishindwa kwa kina Lijualikali, Mwambe, Silinde, Ndugai.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.

Niguse ninuke, wakati unanuka kabla ya kuguswa!
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Siri gani hizo ambazo hao wasaliti wakubwa wanazo?? Sasa wameshapigwa chini waandalieni hiyo press, wazimwage!! Wanachama wengi wa chadema wana uwezo mkubwa sana wa kufikiria tofauti na ccm!! Ambao prof. Hatofautiani na std four B, kwenye uwezo wa kufikiri!!! Hao tunajua kwa sasa wanatumika tu ila mmeshawaharibia future zao kisiasa!!
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Una mawazo ya kitoto sana!
 
Hakuna siri ya watu wawili sembuse 19?
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
 
CCM mnahangahika sana. Nani atawaamini tena hao wasaliti? Waseme tu chochote, yatakuwa maneno ya wakosaji. Nyie mlihubiri kuwa wabunge wa upinzani wanarudisha nyuma maendeleo. Leo akili imewaruka kwa kutokuwa na wabunge wa upinzani! Mna akili kweli CCM?

Halafu ukweli ni kuwa CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote Tanzania sasa hivi bila wagombea wa upinzani kutekwa ili wa CCM wapite bila kupingwa, kuingiza kwenye vituo kura zilizopigwa tayari, kufukuza mawakala wa upinzani, kupeelka vyombo vya dola kupiga kura kule Zanzibar na hujuma nyingine.
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
ÑI KWELI WANA SIRI YA USALITI WAKASUKIMIWA NDANI
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti CHADEMA itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au CHADEMA hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Kwani hakijakufa?
 
Linganisha chadema ya akn Dr.slaa,zitto na baadae akna lowasa,mshinji nk halafu ilinganishe na yakn lissu, huatkiw kukaza ubongo sana utakuwa umengudua kitu
Nakwambia hivi chadema iko imara na uimara wake umewafanya mtumie vyombo vya dola kuidhibiti lakini bado mnagonga mwamba.

Mbele ya uhuru na uwazi WA uchaguzi ccm hamshindi hata mfanyeje.

Mifano ya hawo uliotoa kimetetereak lini?

Hata mtoto mdogo anawashangaa kwa aibu mnayojitia mpaka sheria za nchi hamzifuati ipasavyo bali mnafuata matakwa mnayotaka kwa sbabu mnadola.
 
Ndugu zangu wahehe Supu ya mbwa inanywewa ikiwa ya moto! Inawezekana mmefundisha hadi mbowe mtindo huo, kanywa Supu ikiwa ya moto.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
😂😂😂😂😂 wamwage tu 😂😂😂😂😂😂😂, kwenye ugomvi mtu akikuwahi ngumi ya kolomelo tu pambano linaisha😂😂😂.
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Huwezi tumia matokeo ya uchaguzi kma basis ya kupima kukubalika CHADEMA.

Otherwise ACT na NCCR wangeshinda tungeona kuna tatizo mahala. Ila pamoja na yote bado ndio chama kikuu cha upinzani sasa kimekufia wapi?

Kuna haja ya hesabu za correlation kufundishwa tokea darasa la 2 maana sioni connection kati ya kura feki na Dk.Mashinji kutoa siri!!

Weird
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Unaumwa wewe sio bure
 
Back
Top Bottom