Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

Kuna sehemu nimekaa mlevi mmoja kapuuzia hoja hiyo kuwa ati walofukuzwa watatoa siri kwa kusema kuwa 'vyama havina siri ila siri ziko serikalini' nimetafakari sana ... kwa maana hiyo hakuna cha siri kuvuja wala nni . Tena katoa mfano wa Membe kuwa pamoja na kuwa jasusi mbobezi lakini kwa sasa yuko wapi ?
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
**** aliyekuwa anajua siri za CDM zaidi ya Zito na Slaa, waliondoka ila chama hakikupata tabu kihivyo.. unachekeshe
 
Brother, je, kuhusu CCM kupendelewa na tume ya uchaguzi plus polisi, unasemaje kuhusu Hilo?
Mnazungumzaga maneno Wala hamyaelewi ukiulizwa uelezee..na Wala hamnaga ushahidi wowote..mnajitungia tu story ili kujipa moyo ili wanachama wasikate tamaa..lakini nawaambia haiwasaidii..Kama ni kidonda, basi kinazidi kuwa kidonda ndugu walah
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Yaani wao waombwe msamaha? Du!
 
Siri nzito ipi? Labda ya kujua zile 74b za Mabeberu zilivyoswaliwa!!
 
Hahaha Chadema iko mioyoni mwa watu, siyo glass ile!

Tunawasubiria wayatoe mapema upepo uvume yaende baharini, tuendelee na maisha.
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti CHADEMA itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au CHADEMA hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Kwer
Ndaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Huo ni ushamba na ulimbukeni wa mawazo yaani akili mgando,kati yao na Dr.Slaa au Mashinji aliyekuwa na siri nzito nani,acheni kutapatapa njia ya muongo ni fupi endelezeni biashara za kununua watu,ila mwisho wake ni aibu,jumuiya za kimataifa zinawaangalia then wanacheka,nyie mnajiona wajanja kweli
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
MKUU wewe hupendi wazimwage hizo Siri?leo umekuwa mtu wa kuipenda CDM isisambaratike?aisee,maajabu hayaishi na hayataisha tz...WAACHE WAZIMWAGE SIRI....MAANA WAKIZIMWAGA WASIPOZIMWAGA,MAISHA MAGUMU,YAPO PALEPALE
 
Poleni ccm, covid19 ni ccm B, hongera CDM na Mwamba kutuvusha salama.Nataraji kutafuta rasmi kadi ya CDM karibuni.
Nami naomba nieleweshwe utaratibu wa kujiunga na chama cha CDM online. Nimefuragishwa na hatua ya kamati kuu kuwatimua hao waliosahau kuwa wameweza kuhadaiwa na ccm baada ya kuwa na umaarufu walioupata CDM. Nimekuwa mpenzi wa mageuzi nje tangu meanzo wa vyama vingi, sasa naona ni wakati wa kuingia kabisa na nimeamua iwe Chadema.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Hakuna kitu kama hicho, hao na Dr. SLAA au Zitto Kabwe nani alikuwa na siri nzito za CHADEMA? Wataropoka tu na hakuna atakayewajali! Wamelikoroga na walinywe!!
 
Nami naomba nieleweshwe utaratibu wa kujiunga na chama cha CDM online. Nimefuragishwa na hatua ya kamati kuu kuwatimua hao waliosahau kuwa wameweza kuhadaiwa na ccm baada ya kuwa na umaarufu walioupata CDM. Nimekuwa mpenzi wa mageuzi nje tangu meanzo wa vyama vingi, sasa naona ni wakati wa kuingia kabisa na nimeamua iwe Chadema.
Mkuu ingia google play store search CHADEMA Digital then uta-download app ya CHADEMA. Deal done mpaka hapo! Karibu mkuu sisi tulishatangulia utatukuta!!
 
Back
Top Bottom