Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Migambo kutoka Lumumba inakanyaganya! Bwahahaaaaaaaa!
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti CHADEMA itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au CHADEMA hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Kwa hiyo hao pamoja na kuondoka kwao CHADEMA inazidi kuwa imara?
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Ahahahaaaa . Ila wana Ccm mmeumia sana kuona Cdm wamefanya maamuzi ya busara
 
Covid 19 hawana siri yoyote wasema waone Matiko, Mwenyekiti wa CCM Tarime aiisema ni mhuni, Bu-aaya anasingiziwa ni wa Mdee, waseme tuone wanachotaka.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.

Acha siri nzito, hata wakidhikiri uchi habari yao imeisha. Watafute gari la matangazo na wapewe airtime ya wiki nzima kwa gharama za ccm, hakuna kitu watafanya
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Wewe umechanganyikiwa sio mzima hivi DK slaa na hao nani ana siri zito wambie waseme hizo siri zito
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Mbona unaongea kinyonge,ongea kiume.kama waliletwa na CDM iyo barua si ndugai aonyeshe??jela na viti maalumu,Mungu anashangaa ujue??
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Hivi Dr MOLEL alishamaliza kumwaga siri zote za CHADEMA?
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Huu ndiyo unaitwa uwendawazimu. Hii nayo eti ni thread. Tuna very low IQ members humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Foolish, akina Mashinji na akina Slaa hawakutosha kuwapeni hizo Siri?
 
Matatizo ya wana CCM na viongozi wao ni kupenda bla bla. Hapa issue ni uhalali wa wamama kuapishwa kama wabunge. Hayo mambo ya siri nzito yanakujaje hapa.
Watetezi wengi wa CCM, nahisi wana akili ndogo sana. Hawajui kujenga hoja, na mara nyingi hawaelewi hata kinachojadiliwa.

Ule utafiti wa TWAWEZA kuwa CCM anapendwa zaidi na watu wenye uelewa mdogo ni dhahiri sana. Na nadhani wengine wanaoipenda CCM ni wale watu wanafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Lazima uwe mwendawazimu kuamini kuwa CCM imekishinda chama chochote. Hivi kuiba kura, kufanya udanganyifu wa hesabu za kura, nao unauita ni ushindi?

Miaka hii 5 itakuwa ni miaka ya aibu kwa CCM, Serikali yake na kwa Jiwe. Endelea kushuhudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima uwe mwendawazimu kuamini kuwa CCM imekishinda chama chochote. Hivi kuiba kura, kufanya udanganyifu wa hesabu za kura, nao unauita ni ushindi?

Miaka hii 5 itakuwa ni miaka ya aibu kwa CCM, Serikali yake na kwa Jiwe. Endelea kushuhudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema wameshausoma mchezo wa CCM miaka mingi, wanachofanya sasa hivi ni kwaumbua tu. Jiwe na Tundu are both characters and are making the game more interesting.
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti CHADEMA itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au CHADEMA hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Kwahiyo chadema sasa hivi ina wabunge wangapi?
 
Back
Top Bottom