Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Ndoa ya Baba yako na Mama yako haijasambaratika hata baada ya vipimo vya DNA kubaini wewe si mtoto halali.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Huachi ujinga? Katawadhe shombo.
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti CHADEMA itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au CHADEMA hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Chadema ilishajifia zamani sana
Hata ukitafuta ofisi za wilaya au kata , hakuna kitu.
Kutoka wabunge 79 hadi mbunge 1.
Kutoka chadema iliyokuwa inaoongoza halmashauri na majiji leo hakuna kitu?
Kutoka kura m 6 hadi m1+
Alafu unasema chadema bado ipo imara?
Ndugu,
Chadema ya Dr Slaa siyo hii
 
Hahaha jomba ugali umeshamwagwa tayari Sasa hapa tunasubiri mboga tu imwagwe..tatizo liko wapi
 
Chadema ilishajifia zamani sana
Hata ukitafuta ofisi za wilaya au kata , hakuna kitu.
Kutoka wabunge 79 hadi mbunge 1.
Kutoka chadema iliyokuwa inaoongoza halmashauri na majiji leo hakuna kitu?
Kutoka kura m 6 hadi m1+
Alafu unasema chadema bado ipo imara?
Ndugu,
Chadema ya Dr Slaa siyo hii
Brother, ,,, kutoka kura 6m mpk 1m kuna sababu zilizochangia hilo usijitoe upofu ndug, 1. Kwanza kumezuiwa mikutano/shughuli za kisiasa at the same time chama tawala kikifanya mikutano kwa miaka 5 ...

2. Amablo ni kubwa ni kubebw kwa CCM na tume ya uchaguzi plus polisi

By the way, hakuna marefu yasio na ncha
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti CHADEMA itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au CHADEMA hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Of course itikadi ya Sacco's imejengwa ndani ya roho zao na mioyo yao kwani si ndio inawafanya waishi, wajenge na wanunue magari n.k. kile sio chama mbona muda mrefu..ngoja mboga imwagwe uone...Ni uhuni mtupu..hata Lissuu wao anajua na ndio maana alikuwa anawadharau wote
 
Hiki ndicho kifo cha CDM kinapoanzia....Hao wabunge 19 ndio ilikuwa manusura ya chama....! Sasa huu ni mwanzo wa kusahaulika.
 
Brother, ,,, kutoka kura 6m mpk 1m kuna sababu zilizochangia hilo usijitoe upofu ndug, 1. Kwanza kumezuiwa mikutano/shughuli za kisiasa at the same time chama tawala kikifanya mikutano kwa miaka 5 ...

2. Amablo ni kubwa ni kubebw kwa CCM na tume ya uchaguzi plus polisi

By the way, hakuna marefu yasio na ncha
Hahaha jomba mtu mmoja amesema chadema Ni itikadi imejengwa kwenye mioyo ya watu..that means hata iweje mikutano izuiwe au isizuiwe, hakuna tofauti.. Sasa iweje kura zitoke 6m zishuke mpaka 1m...mioyo hi Ni ileile au kumetokea mpasuko upi jomba...chadema ya Dr Slaa sio hii ya dogo Lissu...tofauti...hivi utafananishaje mtu mzima Tena Dr na huyo dogo ambaye hata hatuwez mpima kwa lolote.labda kwenye utetezi wa ushoga na mabeberu..hilo tu labda .unachekesha jomba
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Acha wafu wazike wafu wenzao..hivyo ndio vyakunyonga mlivyokuwa mnaambiwa na Lissu...vya kuchinja kumbe hamviwezi..
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Wachawi baada ya kushindwa kuroga sasa....aibu sana.
 
Aaah wapi cdm ni kiwanda cha kuzalisha vichwa. Underground wapo wengi Sana. Soon pengo lao linazibwa wanasaulika Kama dr Slaa.
Kuna vichwa Kama Yosefa Komba anaweza kazi vizuri.Cdm ni chuo tegemeo hata kwa ccm kupata vichwa
Kuziba pengo lililotokana na Dr Slaa kuondoka ni ngumu sana.
 
Hahaha jomba mtu mmoja amesema chadema Ni itikadi imejengwa kwenye mioyo ya watu..that means hata iweje mikutano izuiwe au isizuiwe, hakuna tofauti.. Sasa iweje kura zitoke 6m zishuke mpaka 1m...mioyo hi Ni ileile au kumetokea mpasuko upi jomba...chadema ya Dr Slaa sio hii ya dogo Lissu...tofauti...hivi utafananishaje mtu mzima Tena Dr na huyo dogo ambaye hata hatuwez mpima kwa lolote.labda kwenye utetezi wa ushoga na mabeberu..hilo tu labda .unachekesha jomba
Brother, je, kuhusu CCM kupendelewa na tume ya uchaguzi plus polisi, unasemaje kuhusu Hilo?
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Wametimuliwa sisi wanachama kindaki tupo tunakula bia, nchi Ina watu mil 60+
Ku-replace wanachama 19 Ni sekunde tu.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Hakujawahi kuwa na siri ya lundo la watu 19 dunia kote
 
Haswaa.. ccm yenyewe ishajifia kitambo, inapumua tu kwa msaada wa polisi na NEC. Kukiwa na mabadiliko ya Katiba tu, ccm kwisha habari yake
Mmekuwa mkisema hivi miaka nenda Rudi..CCM imeendelea kujivua Gamba nankuwa mpya siku hata siku..hamjishangai...dua la kuku huwa halimpati mwewe siku zote milele na milele...tatizo lenu huwa hamtaki kujifunza wapi mnapoangukia..mpaka viongozi wenu wanaamua kwenda kuunga juhudi..Wala hamstuki..hahahah..chama mpaka mmekigeuza kuwa Sacco's kwani hatuoni...kazi kwelikweli..
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Mboga mboga Leo mlimukuwa na kikao Cha kamati kuu kimya kimya

Jana kikao Cha kamati kuu Cha CDM kilifuatiliwa na dunia nzima

CDM wanawa outsmart mna zaidi ya mwezi mmeshindwa kuunda serikali
 
Back
Top Bottom