Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,383
- 11,527
Upo Sahihi SUKUMA GANG utadhani haipo kumbe imetulia KIMKAKATI KuleTwitter kuna Kundi linajiita MPP na lina Nembo hii kazi yao Kumchafua MAMAAnachofanya Mwigulu si kwa bahati mbaya. Anajua vizuri sana. Na anatumia mbinu ya kumchonganisha Samia na wananchi huku akijipanga kuja gombea Uchaguzi wa mwaka 2025/2030. Hafanyi kwa bahati mbaya.
Hizi tozo mpya anajua anachofanya. Anamshusha Rais Samia huku yeye akijiwekea mazingira ya kupata pesa uchaguzi ujao. Ameanza kujipanga kwa muda mrefu sana. Na hajaacha.
Rais Samia kuwa makini na Mwigulu Nchemba.
Hii ni mbinu kongwe au ni mbinu mpya?Mkuu unajua process za kutunga sheria??
Hadi mswada unafikishwa Bungeni unajua unapitia hatua zipi??
Mwigulu peke yake hawezi kumkwamisha hasa kwa hili la tozo.
CCM wametengeneza tatizo halafu wakajificha kusikilizia "reaction" walipoona moto hao hao wanalitatua then wanajibebea credits
Tulia dada usipanic hivyo... Haya mambo hayataki hasira. Kwa hiyo unataka kusema kosa ni la Rais?Hivi nani kaloga middle class wa kitanzania?mbona kama vichwa vyao vimejaa funza?maana ufikiri wao ni bora umsikilinze mndendeule wa hapa Lingusenguse,huu mswada umepita ngazi zote hadi kupitishwa including ofisi ya Rais,huwezi sasa baada ya kuona ume backfire unamtwisha mzigo wote huu our Finance Minister hii sio sahihi kabisa,hapa ni Bunge na President kuonyesha the way forward sio kujifanya eti now atauangalia upya hii ni rubbish,lini tutaanza ku take responsibility ya maamuzi yetu?na kutuletea hapa upuuzi huu kuwa Mr.Mwigulu anajipanga kwa mbio za Urais hii nayo ni fake news,toka lini mtoa mada umeshageuka kuwa Sangoma?
Upo Sahihi SUKUMA GANG utadhani haipo kumbe imetulia KIMKAKATI KuleTwitter kuna Kundi linajiita MPP na lina Nembo hii kazi yao Kumchafua MAMAView attachment 1860626
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app