Kundi la mapedeshee watatu waliotamba enzi za Kikwete!

Unafahamu dereva Wa waziri anareport kwa nani? dereva kuanzia kwa mkuu Wa wilaya mshahara wao unatoka kwa nani? dereva Wa waziri unadhani amewekwa pale na waziri husika?? unafaham protokali zao?
Axantee...umemjibu vizuri...ye anafikir Dereva wa waziri anakua wa kawaida kama wa mabasi ya mikoanii..huuhhhuuu my balls....
 
kizaizai commission agent
 
Jack ilunga na Josee Kongoro ndio mapedeshee wa ukweli wanaoendelea toka enzi hizo....hawa wa kibongo wanabadirika sana kutokana na upepo wa kisiasa
 
Huyu natamani kumfahamu kama kuna mwenye picha yake atuwekee tafadhani, naona ni story ya kusisimua, anafanya biashara ya madini au ni ishu gani
Ni mpigaji aka dalali,anajulikana pia kama super tall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…