Generali Ulimwengu, Joseph Warioba, Kasaka, Marmo n.k.
Mtazamo wa mwandishi na mhariri wa clip hii hauna tofauti na wa kwako. Kwa nini asiseme maamuzi ya Berkley Clement, Mao Ze Dong yalikuwa ya Kidikteta na aegemee tu kusemea ya Mwalimu Nyerere??? Mao abolished multiparty system, Clement ordered nationalization of industries, Nyerere did the same but termed as a dictator!!! Why?Nyerere alikuwa Dictator ambaye aliweza kuacha viongozi ambao watakaotetea maslahi yake mara baada ya kuacha kutawala. Usalama wa Taifa ulikuwa bado unachukua order kutoka kwa Dictator Nyerere hata vile alipoacha madaraka baada ya kushindwa kutawala. G-55 ilikuwa ni mpango maalum wa Nyerere wa kumpa taabu kutawala Mzee Mwinyi. Nyerer alipanga kila kitu ndani na nje ya nchi!!
Hii clip ya Video inaonesha ni jinsi gani huyu jamaa alikuwa Dictator.
Films On Demand - View Playlist
Patrick Qorro alikuwemo pia
JK naye naamini alikuwemo
najaribu kukumbumbuka hawa jamaa waliomletea headache mwalimu mwaka ule 1993.
Naweza kupata orodha yao na pengine wako wapi sasa? Naweza kuwakumbuka philip marmo na njelu kasaka tu.
Naomba msaada
Jenerali Ulimwengu alikuwa Mbunge wa Taifa (hakuwa na Jimbo) kulingana na Katiba ya wakati huo, na alimchana John Malecela (akiwa Waziri Mkuu) LIVE bungeni kuwa serikali inashindana na rushwa ndogo (petty corruption), ambayo anayeichukua sana sana atanunulia maziwa ya watoto, lakini inaogopa kupambana na wala rushwa wakubwa (grand corruption) ambao wamejenga mahekalu Masaki ambayo hata alipotembelea Hollywood Marekani hakuyaona lakini Taasisi ya kupambana na rushwa enzi hizo PCB imekaa kimya! Hiyo ilikuwa ni 1995 kwenye bunge la bajeti kabla halijavunjwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliomwingiza Ben Mkapa madarakani!!Naona mmemsahau pia mbunge wa Kyela kipindi hicho;Mzee Lumuli Alipipi Kasyupa.
NB;Mwandishi jenerali Ulimwengu hajawahi kuwa kwenye G55 maana hakuwahi kuwa mbunge ukiachilia mbali nafasi zake za ukuu wa Wilaya alizowahi kuzishika!
Njelu Kasaka
William Mpiluka
JK hakuwa mbunge wa kuchaguliwa mpaka 1995... asinge jaribu wakati alikuwa mbunge wa kuteuliwa...
Napita kidogo. Kwani wakati ule bungeni hakukua na wanawake? maana sjaona bado jina la kikeni.
Ww c mfuatiliaji wa siasa wa nchi hii kumbe. Uliza watu waliokuwa wajengaji wazuri wa hoja kama G.Ulimwengu ndugu yangu.
- Njelu Kasaka
- Philip Marmo
- Saidi Nakua
- Azim Premji
- Patrick Qorro
- Mateo Qares
- William Mpiluka
- Tumtemeke Sanga
- Pascal Degera
- John Malecela
- Sebastian Kinyondo
- Arcado Ntagazwa
- Dr Deogratius Mwita
- Jenerali Ulimwengu
- John Mhina
- Musa Nkangaa
- Guntram Itatiro
- Charles Kagonji
- Ismail Ivata
- Alipiki Kasyupa
- Ombel Mwamfupe
- Polile Ombee
- Maria Kham
- Tabitha Siwale
- Edith Mnuo
- Evarist Mwanansao
- Pascal Mabiti