Kundi la G55 walioidai Tanganyika mwaka 1993...

Nyerere alikuwa dhaifu sana kilichokuwa kinambeba ni ubabe wake tu, soon watu watatambua kuwa mawazo yake mengi yalilipotezea taifa mwelekeo.
 
Mwalimu alikuwa sahihi. Wakati ule usingeweza kuzomoka kwa kutumia Bunge kuleta Serikali tatu. Mwalimu alichosema ni kwa CCM na Serikali yake kufuata procedures tu. Hakugoma kuwa na Serikali tatu ingawa alipendelea mbili. Angalia leo, Watanzania wameulizwa, wametoa msimamo. Wengi wametaka serikaloi tatu. Mwalimu alitaka utaratibu ufuatwe. Hicho ndicho kilichokuwa tofauti ya mwalimu na haya ya leo. Kina Njelu walitaka kuburuza tu na kuanzisha Serikali tatu bila kupata maoni ya wanaCCM na Watanzania kwa jumla.
You are right ,
Huwezi kukata tawi la mti ulikalia utegeme utakuwa salama!
 
nyerere alikuwa dhaifu sana kilichokuwa kinambeba ni ubabe wake tu, soon watu watatambua kuwa mawazo yake mengi yalilipotezea taifa mwelekeo.

na wanaccm wengi walikuwa wanamuogopa, mtu hakuwa mwenyekiti lakini matamshi yake yakawa maamuzi ya chama.
 
Udikiteta siyo mpaka uingie madarakani kwa kutumia mtutu wa bunduki

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mwalimu alikuwa sahihi. Wakati ule usingeweza kuzomoka kwa kutumia Bunge kuleta Serikali tatu. Mwalimu alichosema ni kwa CCM na Serikali yake kufuata procedures tu. Hakugoma kuwa na Serikali tatu ingawa alipendelea mbili. Angalia leo, Watanzania wameulizwa, wametoa msimamo. Wengi wametaka serikaloi tatu. Mwalimu alitaka utaratibu ufuatwe. Hicho ndicho kilichokuwa tofauti ya mwalimu na haya ya leo. Kina Njelu walitaka kuburuza tu na kuanzisha Serikali tatu bila kupata maoni ya wanaCCM na Watanzania kwa jumla.
.

Mwalimu pia aligoma CCM kugeuka jiwe kwa maana kwamba wao CCM ndio waasisi wa serikali mbili walitakiwa kurudi kwa wananchi kupata maoni kuliko kupambana wao kwa wao katika vikao vyao na mwisho kukimega chama.

lakini pia Nyerere alichukizwa na kitendo cha Malecela na Kolimba kwenda kwake msasani kumuomba aokoe jahazi na wakati anaokoa jahazi wao walipofika Dodoma wagageuka na kuwa upande wa G55 na hapo walionekana wamemshauri vibaya rais Mwinyi na ndipo mwalimu akawaambia ni lazima wang'oke. Mwalimu aliwaambia kama hawatajiuzulu kwa hiari yao atamshauri Rais Mwinyi kuwafukuza na kama yote yatashindikana atarudisha kadi ya CCM. WOTE WAWILI WALING'OKA na kumuacha Rais akiwa salama.
 
Ukisoma UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA utaona hoja ya Mwalimu. Bunge halina mamlaka makubwa ya kubadili muundo wa Serikali ya Muunganol bila kuwashirikisha wananchi wengi.
 
Nyerere hakuwa MUNGu wala malaika ni makosa makubwa kumuona kama kwamba alikuwa na Umungu wa kutokosea.

kama alikosa kupata maono ya umuhimu wa serikali tatu kwa ulimwengu wa sasa ni sawa kama ambavyo sera ya ujamaa ilivyopotea duniani ingawa ilianzishwa na watu weupe na kusambaa kote duniani. Kushindwa kwa sera kukidhi matakwa ya kijamii ni suala la kawada kwenye siasa NA KAMWE HALITAISHIA KWA NYERERE . Hakuna serikali duniani ambayo sera zake zote zilipita bila kupingwa, sijapata kuikia.
 
Nyerere alikuwa dhaifu sana kilichokuwa kinambeba ni ubabe wake tu, soon watu watatambua kuwa mawazo yake mengi yalilipotezea taifa mwelekeo.

Tume ya Katiba;6499554 kutomuunga mkono mchungaji au padre mnafiki, mpika majungu, mfitini, anaendesha kanisa kwa maono ya hawara yake, mkabila, ndumilakuwili haimanishi kwamba nimelihasi kanisa-mwampamba

Tatizo wewe unaendesha udini. Haya maneno na yale yanayofuatana na quotation fake ya Mwampamba ni UDINI usio kifani.. Baki na uislamu wako, mkosoe mtu kwa udhaifu wake si dini yake?!!!... Ukiendelea na ujinga huu utajibiwa vilivyo na wengi tu!
 
jamaa waliona mbali sana...
Tatizo la kundi la G55 lilikuwa ni mixed bag. kuna wengine walikuwa na malengo hasa ya kutatua tatizo lilikuwa linasumbua muungano lakini kuna wengine pia walikuwa wanataka madaraka kwa nguvu zao zote.
 
Ukisoma UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA utaona hoja ya Mwalimu. Bunge halina mamlaka makubwa ya kubadili muundo wa Serikali ya Muunganol bila kuwashirikisha wananchi wengi.
Mhh!
Mbona yeye mwenyewe hakuwashirikisha wananchi wakati wa kuungana?!
 
Bado hamjajua matunda yatakayopatikana kutokana na hizo serikali 3... Muda utasema
 
Pamoja na agenda nzuri waliokuwa nayo G55, lakini walisukunmwa na uchu na tamaa ya vyeo ma madaraka, hilo ndo lilikuwa tatizo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom