Kundi la G55 walioidai Tanganyika mwaka 1993...

Am still struggling with this list...any new ideas...I wish Jenerali was a member here..what a help that would have been...
 
Baada ya kung'atuka Uraisi mwaka 1985 na Uenyekiti wa CCM mwaka 1990, Mwalimu bado aliwezaje ku'influence' maamuzi matatu mazito na ya kihistoria lakini kama Kiongozi mstaafu.

  1. Kwanza, aliwezaje kuwakemea viongozi wa chama na serikali walioonekana kujitatiti kuzuia upepo wa mageuzi na kuwaonya wasithubutu kwani hawangefanikiwa na wao wakamsikiliza (kumtii ?)
  2. Pili, peke yake aliwezaje kuizima hoja wa wabunge (G55) ya kuidai serikali ya Tanganyika na kuikemea serikali ya Ali Hasan Mwinyi iliyoonekana imeelemewa na hivyo kusalimu amri kwa G55.
  3. Tatu, aliwezaje kuizima ndoto ya Ali Hasan Mwinyi ya kuongezewa awamu ya tatu baada ya minong'ono kuhusu pendekezo la kubadilisha katiba kusikika miongoni mwa washikaji wake.
Je yawezekana kuwa nguvu kubwa ya ushawishi aliokuwa nao Mwalimu, ndio kiini cha kuitwa Dikteta na kudai haambiliki ? Je wakati huo alikuwa na nguvu au mamlaka gani, nje ya kushawishi tu, ya kuwalazimisha viongozi wa chama na serikali wakubali hoja yake ?
 
Nyerere alikuwa Dictator ambaye aliweza kuacha viongozi ambao watakaotetea maslahi yake mara baada ya kuacha kutawala. Usalama wa Taifa ulikuwa bado unachukua order kutoka kwa Dictator Nyerere hata vile alipoacha madaraka baada ya kushindwa kutawala. G-55 ilikuwa ni mpango maalum wa Nyerere wa kumpa taabu kutawala Mzee Mwinyi. Nyerer alipanga kila kitu ndani na nje ya nchi!!

Hii clip ya Video inaonesha ni jinsi gani huyu jamaa alikuwa Dictator.

Films On Demand - View Playlist
 
Kama unavyosema ni kweli ilikuwaje akashindwa kuzima Azimio la Zanzibar linalosemekana ndilo lililioizika Azimio la Arusha ?
 
maadui na wenye chuki wameileta ili mzee atukanwe tena

Hapana Mkuu, hii nimeileta kuonyesha ujuha wa watu kama huyu anayesema haya
G-55 ilikuwa ni mpango maalum wa Nyerere wa kumpa taabu kutawala Mzee Mwinyi. Nyerer alipanga kila kitu ndani na nje ya nchi!!
Nataka kuonyesha kuwa Mwalimu alitumia nguvu ya hoja na hivyo kuwagalagaza wapinzani wake si vinginevyo kama wanavyodai hao maadui wenye chuki.
 
Baada ya kung'atuka Uraisi mwaka 1985 na Uenyekiti wa CCM mwaka 1990, Mwalimu bado aliwezaje ku'influence' maamuzi matatu mazito na ya kihistoria lakini kama Kiongozi mstaafu.

  1. Kwanza, aliwezaje kuwakemea viongozi wa chama na serikali walioonekana kujitatiti kuzuia upepo wa mageuzi na kuwaonya wasithubutu kwani hawangefanikiwa na wao wakamsikiliza (kumtii ?)
  2. Pili, peke yake aliwezaje kuizima hoja wa wabunge (G55) ya kuidai serikali ya Tanganyika na kuikemea serikali ya Ali Hasan Mwinyi iliyoonekana imeelemewa na hivyo kusalimu amri kwa G55.
  3. Tatu, aliwezaje kuizima ndoto ya Ali Hasan Mwinyi ya kuongezewa awamu ya tatu baada ya minong'ono kuhusu pendekezo la kubadilisha katiba kusikika miongoni mwa washikaji wake.
Je yawezekana kuwa nguvu kubwa ya ushawishi aliokuwa nao Mwalimu, ndio kiini cha kuitwa Dikteta na kudai haambiliki ? Je wakati huo alikuwa na nguvu au mamlaka gani, nje ya kushawishi tu, ya kuwalazimisha viongozi wa chama na serikali wakubali hoja yake ?

Mag3, wanahistoria wetu wa leo (revisionists) watakataa kuwa Nyerere ndiye aliyeua hoja ya G55. Ili wasimpe ujiko wowote au kuonesha alifanikiwa watakimbilia kuonesha jinsi gani Mwinyi aliweza kuzuia kusambaratika kwa taifa. Tatizo ni kuwa aliandika reasoning yake kwenye kile kijitabu cha "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" na kwa kutumia mantiki tu alivunja vunja hoja za kundi hilo. Hadi leo hakuna aliyesimama kuonesha kuwa aliyoyaandika Nyerere yalikuwa uongo. Hawawezi kwa sababu hawakuwa na hoja. Sasa mtu asiye na hoja hata ukimsikiliza si unaweza kuumia kwa kusikilizia.
 
Baada ya kung'atuka Uraisi mwaka 1985 na Uenyekiti wa CCM mwaka 1990, Mwalimu bado aliwezaje ku'influence' maamuzi matatu mazito na ya kihistoria lakini kama Kiongozi mstaafu.
  1. Kwanza, aliwezaje kuwakemea viongozi wa chama na serikali walioonekana kujitatiti kuzuia upepo wa mageuzi na kuwaonya wasithubutu kwani hawangefanikiwa na wao wakamsikiliza (kumtii ?)
  2. Pili, peke yake aliwezaje kuizima hoja wa wabunge (G55) ya kuidai serikali ya Tanganyika na kuikemea serikali ya Ali Hasan Mwinyi iliyoonekana imeelemewa na hivyo kusalimu amri kwa G55.
  3. Tatu, aliwezaje kuizima ndoto ya Ali Hasan Mwinyi ya kuongezewa awamu ya tatu baada ya minong'ono kuhusu pendekezo la kubadilisha katiba kusikika miongoni mwa washikaji wake.
Je yawezekana kuwa nguvu kubwa ya ushawishi aliokuwa nao Mwalimu, ndio kiini cha kuitwa Dikteta na kudai haambiliki ? Je wakati huo alikuwa na nguvu au mamlaka gani, nje ya kushawishi tu, ya kuwalazimisha viongozi wa chama na serikali wakubali hoja yake ?

- Aliiizima ile hoja kwa sababu yeye ndiye aliyekua masterminder wa ile hoja, mkuu ukipata nafasi muulize Kasaka Njelu kwa nini alikuwa hakamatwi wakati anadai hoja ambayo kisheria ya Jamhuri yetu ilikuwa ni uhaini? Badala ya kukamatwa akaishia kupewa Uwaziri Mdogo wa Kilimo na kuishi Kilimanjaro Hotel karibu miaka mitatu ya uwaziri wake yeye na familia yake, jamani yaliyopita sio ndwele tusonge mbele sasa!

- Hakuna bina-adam hata awe kiongozi asiyekua na mapungufu, Mwalimu alikuwa nayo uzuri ni kwamba alifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba alikuwa the greatest, lakini mapungufu yake yapo na yanajadilika sana na yanafahamika sana, lakini leo 2011 yatatusaidia nini hili taifa? Sasa hivi tunawaona wanafunzi wake wanavyotuvuruga hili taifa, yaani sometimes inakwua vigumu sana kuamini kwamba hawa ni wale wale tuliokuwa tunawaona naye Mwalimu karibu karibu naye all the times!

- Mungu Aibariki Tanzania!

Willie @ NYC, USA.

Kama unavyosema ni kweli ilikuwaje akashindwa kuzima Azimio la Zanzibar linalosemekana ndilo lililioizika Azimio la Arusha ?

- Zanzibar kilikuwa kikao cha siri sana, infact ukisikiliza hotuba za Mwalimu baada ya Zanzibar utaona anasema wazi kwamba wameeenda kule na kukutana kwa siri na kuvunja Azimio, Mwalimu alifahamishwa baada ya kikao lakini hakuambiwa kwamba kuna kikao kulee!, ndio maana ikaamuliwa kisifanyike kikao tena bila Mwalimu kuwepo!

- NBC ilipouzwa kwa bei poa sana kwa makaburu na mwanafunzi wake Mkapa, Mwalimu alikuwepo na alijua sana ingawa hakutaka lakini hakuweza kumzuia Mkapa, sasa jiulize aliweza kuzima hoja ya G55, sasa alishindwa nini kuzima kuuzwa ka NBC? Ndipo tunaposema kwamba Mwalimu pia alikuwa na mapungufu sana,

- Sasa imagine Mwinyi angeuza NBC ingekuaje? Halafu ulizia kwa wanaojua kuhusu kasheshe ya Mwalimu na Nkurumah kule Adis kuhusu nani awe Rais wa kwanza wa Newly United Africa!, ndio utaelewa kwamba Mwalimu alikuwa ni bina-adam mwenye mapungufu kama sisi wengine, lakini heshima kubwa kwake ni kwamba siku zote alikuwa na nia njema na taifa zaidi kuliko hata yeye binafsi na hata familia yake, as opposed na viongozi tulionao sasa!

Willie @ NYC, USA.
 
- Aliiizima ile hoja kwa sababu yeye ndiye aliyekua masterminder wa ile hoja, mkuu ukipata nafasi muulize Kasaka Njelu kwa nini alikuwa hakamatwi wakati anadai hoja ambayo kisheria ya Jamhuri yetu ilikuwa ni uhaini? Badala ya kukamatwa akaishia kupewa Uwaziri Mdogo wa Kilimo na kuishi Kilimanjaro Hotel karibu miaka mitatu ya uwaziri wake yeye na familia yake, jamani yaliyopita sio ndwele tusonge mbele sasa!

- Hakuna bina-adam hata awe kiongozi asiyekua na mapungufu, Mwalimu alikuwa nayo uzuri ni kwamba alifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba alikuwa the greatest, lakini mapungufu yake yapo na yanajadilika sana na yanafahamika sana, lakini leo 2011 yatatusaidia nini hili taifa? Sasa hivi tunawaona wanafunzi wake wanavyotuvuruga hili taifa, yaani sometimes inakwua vigumu sana kuamini kwamba hawa ni wale wale tuliokuwa tunawaona naye Mwalimu karibu karibu naye all the times!

- Mungu Aibariki Tanzania!

Willie @ NYC, USA.

William
Namkumbuka mzee Samweli tangu enzi zake pale UN, hadi ubalozi,waziri waziri mkuu n.k
Mzee huyu ni miongoni mwa watu ambao ni vichwa sana. Mbona amekuwa kimya mno kulikoni?
tunamwona angalau Warioba anasikika akikemea angalau. Waambieni hawa wazee maadamu mko karibu nao
wasikubali nchi ifikie mahala pabaya na wao wapo na busara zao walizozitumia hapo awali wangali wanazo.
 
- Zanzibar kilikuwa kikao cha siri sana, infact ukisikiliza hotuba za Mwalimu baada ya Zanzibar utaona anasema wazi kwamba wameeenda kule na kukutana kwa siri na kuvunja Azimio, Mwalimu alifahamishwa baada ya kikao lakini hakuambiwa kwamba kuna kikao kulee!, ndio maana ikaamuliwa kisifanyike kikao tena bila Mwalimu kuwepo!

- NBC ilipouzwa kwa bei poa sana kwa makaburu na mwanafunzi wake Mkapa, Mwalimu alikuwepo na alijua sana ingawa hakutaka lakini hakuweza kumzuia Mkapa, sasa jiulize aliweza kuzima hoja ya G55, sasa alishindwa nini kuzima kuuzwa ka NBC? Ndipo tunaposema kwamba Mwalimu pia alikuwa na mapungufu sana,

- Sasa imegine Mwinyi angeuza NBC ingekwuaje?

Willie @ NYC, USA.

Alijua kuwa amechemsha kwani yeye ndo aliyempigia debe BWM. Labda hakutegemea Mkapa angekuja kufanya aliyoyafanya,japokuwa kwa sasa
kukiangalia mambo ya JMK Mkapa anaanza kuonekana wa maana kwani hata kama kuna uhujumu uliotendeka kipindi chake ameacha legacy miundo mbinu yote tunayotesa nayo ni kumbukumbu yake.
 
Mag3,

..Mwalimu aligeuza kibao na kudai serikali 3 siyo sera ya CCM na anayepingana na hilo ajitoe.

..wale G-55 hawakuwa tayari kutoka CCM na kuipigania Tanganyika.

..utekelezaji wa azimio la bunge ulisitishwa, na hoja ya Tanganyika ikarudishwa kwa wanachama wa CCM kupigiwa kura ya maoni.

..kilichoendelea ndani ya CCM hakijulikani mpaka leo, kitu ambacho nadhani at best ni ubabashaji.

..nadhani kilichofanyika ni kuahirisha tatizo tu, lakini tunaelekea kulekule kwenye serikali ya Tanganyika, this time kwa shinikizo la wa-Zanzibari.
 
BAADA ya Kamati KUU ya CCM Kuiagiza serikali kushusha bei ya mafuta ya taa kumezuka mjadala MKUBWA juu ya uhalali wa MAAMUZI HAYO. NIKAONA NIPEKUE BAADHI YA MAMBO YALIYOSIMAMIWA KWA STYLE HII YA SASA. Swala la serikali ya TANGANYIKA wakati WA G55 lilipita karibu ngazi zotek ZA kiserikali including BUNGE na Rais LAKINI likaenda kupingwa nag Chama na MWL akalitolea maelezo KUWA lilikiuka sera ya CCM ya SERIKALI MBILI.
LILISHANGILIWA WAKATI ULE, HILI LA LE LINAONKANA "utata mtupu".......
 
mbona post yako haijajitosheleza kimaelezo ndugu! tunashindwa kuchangia
 
BAADA ya Kamati KUU ya CCM Kuiagiza serikali kushusha bei ya mafuta ya taa kumezuka mjadala MKUBWA juu ya uhalali wa MAAMUZI HAYO. NIKAONA NIPEKUE BAADHI YA MAMBO YALIYOSIMAMIWA KWA STYLE HII YA SASA. Swala la serikali ya TANGANYIKA wakati WA G55 lilipita karibu ngazi zotek ZA kiserikali including BUNGE na Rais LAKINI likaenda kupingwa nag Chama na MWL akalitolea maelezo KUWA lilikiuka sera ya CCM ya SERIKALI MBILI.
LILISHANGILIWA WAKATI ULE, HILI LA LE LINAONKANA "utata mtupu".......

pamoja na kuwa post yako imekaa kistyle, wacha nichangie kidogo.
suala la bei ya mafuta haina reflection na mfumo wa serikali tuliyonayo, kwa sababu mafuta hayazalishwi hapa nyumbani, bali yanaagizwa kutoka nje.
suala la serikali tatu ni la msingi, kama vipi kuwe na serikali moja tu ya muungano kama USA.
Hiyo ndiyo ilikuwa aim ya G55 iliyokuwa inaongozwa na akina Sumaye nyakati zile
 
Kila siku nikiamka naiwaza Tanganyika!

Hasa baada mapadri wa 2 kupigwa risasi ,mmoja kupoteza maisha !Kuchomwa makanisa etc etc.

Nina rafiki yangu Mzenj huwa tunazungumza naye politics mara kwa mara.Yeye anafikiri sisi wa bara ndio tyunaenjoy hii union.Nikamwambia kula Kigoma,Mwanza,Shinyanga ,Bukoba ,Musoma majority ya wananchi they dont give a damn about
Muungano or Zanzibar.

Huwa anasema zanzibar lazima nawe watoe Rais wa Jamhuri sasa,kwani zamu yao imefika.Halafu anasema tangu
marais wa Zanzibar wote huwa ni hand picked na wabara.akasema angalia wangapi wanakaa bara baada ya kuretire.

Anasema kuwa mtoto wa mzee Ruksa (Dr)anaandaliwa kuwa Rais wa zanzibar,anadaia huyu si Mzanzibar kabisa.

Kiasi fulani yuko sahihi.Anasema tuwaachia Zanzibar yao ,hata ufisadi ni wa bara EPA,BOT,Richmond etc etc.

Wananchi tupewe fursa ya referendum kuamua je hii union ni worth au la!

Bila shaka wenzetu huko wanataka kuifanya Zanzibar iwe serikali ya Kiislamu.Ndio maana uuaji huu ,kuchoma
makanisa ni dalili za nchi za kiislamu,Pakistan,Egypt,Iraq etc.
Coptic Christians wa Egypt wanaface haya kila siku.Tumeona Nigeria wenzetu yanayowakuta.

Waarabu wa Saud na utajiri wao ndio wanafurahia haya mambo.Serikali ya sasa imekuwa karibu sana na watu hawa.

100% ntapenda zanzibar na Pemba waende zao.enough is enough.
waunde jeshi lao,sheria zao(sharia),mahakama zao.wakina sheikh Ilunga,Ponda na wapemba wote wa Kariakoo tutawaomba wahamia huko moja kwa moja.

Tanganyika itabaki ya Waislamu,Wakristu,Wapagani, Wahindu,WaBohra,Waahmadia etc.Ruksa kuamini dini yoyote hata kama unaamini mti!

Long live Tanganyika
 
Naunga Mkono Hoja....

Lakini sheikh ilunga kwao ni Dodoma..
Ponda Kigoma
Kwa nini unataka waende Zanzibar ?​mazoo
 
Njelu Kasaka na wabunge wenzake wa kundi la G55 walipingwa vikali na baadhi ya watu akiwemo hayati baba wa taifa,mwalimu Julius Nyerere kuhusu madai yao kuwepo muungano wa serikali tatu.Wengi waliwaona ni viongozi wasiofaa na pengine ni watu hatari.

Sasa kwa kuzingatia mapendekezo ya tume hii ya katiba mpya,tunaweza kusema kuwa Njelu Kasaka na kundi zima la G55 waliona mbali kuliko baba wa taifa na hata viongozi wengi wa CCM ya leo?

Madai ya serikali tatu yalianza kabla ya kundi la G55 ila ukweli kundi hili la G55 lilikuwa na msukumo na mvuto wa kipekee katika jamii juu ya jambo hili.
 
Mwalimu alikuwa sahihi. Wakati ule usingeweza kuzomoka kwa kutumia Bunge kuleta Serikali tatu. Mwalimu alichosema ni kwa CCM na Serikali yake kufuata procedures tu. Hakugoma kuwa na Serikali tatu ingawa alipendelea mbili. Angalia leo, Watanzania wameulizwa, wametoa msimamo. Wengi wametaka serikaloi tatu. Mwalimu alitaka utaratibu ufuatwe. Hicho ndicho kilichokuwa tofauti ya mwalimu na haya ya leo. Kina Njelu walitaka kuburuza tu na kuanzisha Serikali tatu bila kupata maoni ya wanaCCM na Watanzania kwa jumla.
 
Back
Top Bottom