Kundi la G55 walioidai Tanganyika mwaka 1993...

Njelu Kasaka na wabunge wenzake wa kundi la G55 walipingwa vikali na baadhi ya watu akiwemo hayati baba wa taifa,mwalimu Julius Nyerere kuhusu madai yao kuwepo muungano wa serikali tatu.Wengi waliwaona ni viongozi wasiofaa na pengine ni watu hatari.

Sasa kwa kuzingatia mapendekezo ya tume hii ya katiba mpya,tunaweza kusema kuwa Njelu Kasaka na kundi zima la G55 waliona mbali kuliko baba wa taifa na hata viongozi wengi wa CCM ya leo?

Madai ya serikali tatu yalianza kabla ya kundi la G55 ila ukweli kundi hili la G55 lilikuwa na msukumo na mvuto wa kipekee katika jamii juu ya jambo hili.

Haya walichotaka akina Sitta enzi hizo za G55 sasa kimetimia......urais wa Tanganyika huoooooooo! Hawa wengine wanaopigana vikumbo kwenye urais i.e. Membe, Lowasa hivi enzi zile za G55 walikuwa upande gani?
 
Nyerere alikuwa dhaifu sana kilichokuwa kinambeba ni ubabe wake tu, soon watu watatambua kuwa mawazo yake mengi yalilipotezea taifa mwelekeo.

Hakuwa dhaifu ila alikuwa mbabe tena haambiliki. Haikuwa rahisi kumshauri. Ndiyo maana hata alitaifisha shule za kanisa. Kwa bahati mbaya sana hao aliowasaidia ndiyo wanamtukana kila uchwao.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nyerere alikuwa dhaifu sana kilichokuwa kinambeba ni ubabe wake tu, soon watu watatambua kuwa mawazo yake mengi yalilipotezea taifa mwelekeo.

Yaani kuna watu wakisikia jina la mwalimu wanatamani wafe kabisa. Hivi unaweza kwa ujasiri kabisa kusema mwl alikuwa dhaifu sana? Kweli?
 
Nyerere alikuwa dhaifu sana kilichokuwa kinambeba ni ubabe wake tu, soon watu watatambua kuwa mawazo yake mengi yalilipotezea taifa mwelekeo.

Alikuwa mbabe ? Au alikuwa na vikra zilizokuwa zikiwadhoofisha wengine..kazee kale hakakuwa na mwili wa kihivyo..katazame kalipotembelea mpaka wa Tz na Uganda..idd amini alikatukana kila matusi, km wazechazi wandharauvyo messi kabla ya mechi..halafu ktk mechi wanamwona mkwa na mbabe.
 
Nilikuwa mototo mdogo wakati wa kundi hili ila nimesomasoma habari zao na jinsi Jenerali Ulimwengu alivyohitimisha hoja yao pale Bungeni. Nafikiri kwa ajili ya serikali tatu ni bora nao wakajitokeza hadharani kama Askofu Kakobe,Dr. Lwaitama n.k ili kuunga mkono harakati hizi. Hoja yao ilikuwa muhimu sana na wakati uliokubalika ndio sasa wasikae kimya kama kweli waliamini waliyokuwa wanayadai wakati ule.
 
Saula la serikali tatu kila mwenye nia njema analiunga mkono. Tunaitaka Tanganyika. Zanzibar nao wapate full sovereignity! muungano uwe kwenye mambo ya msingi tu.
 
Labda alikuwa ni mwandishi wao ,ila huyu Mkuu wa sasa nae alikuwemo au leo ameshaukwaa Uraisi amesahau ule unyago waliokuwa wanataka kuucheza Mwalimu Nyerere akazipasua ngoma zote ,sasa wakizuka wepya na kuidai Tanganyika ndani ya Bunge sijui atawafanya nini.

Alikuwa mbunge kupitia kundi la vijana
 
Najaribu kukumbumbuka hawa jamaa waliomletea headache mwalimu mwaka ule 1993.

Naweza kupata orodha yao na pengine wako wapi sasa? Naweza kuwakumbuka Philip Marmo na Njelu Kasaka tu.

Naomba msaada
Generali Ulimwengu, Joseph Warioba, Kasaka, Marmo n.k.
 
Naona mmemsahau pia mbunge wa Kyela kipindi hicho;Mzee Lumuli Alipipi Kasyupa.

NB;Mwandishi jenerali Ulimwengu hajawahi kuwa kwenye G55 maana hakuwahi kuwa mbunge ukiachilia mbali nafasi zake za ukuu wa Wilaya alizowahi kuzishika!
Ww c mfuatiliaji wa siasa wa nchi hii kumbe. Uliza watu waliokuwa wajengaji wazuri wa hoja kama G.Ulimwengu ndugu yangu.
 
Najaribu kukumbumbuka hawa jamaa waliomletea headache mwalimu mwaka ule 1993.

Naweza kupata orodha yao na pengine wako wapi sasa? Naweza kuwakumbuka Philip Marmo na Njelu Kasaka tu.

Naomba msaada

Edson Mbeyale Halinga, Hans Kitine
 
s.kuwayawaya,garinoma,majiyatanga,tuntemeke,makolokolo hao nibaadh ninaowakumbu.w/mkuu alikuwa j.malecela katibu mkuu alikuwa H.Kolimba
 
Back
Top Bottom