Kundi la G55 walioidai Tanganyika mwaka 1993...

Ha ha ha!!! Nilikuwa nai enjoy sana hizi comics!
Kakosea bana ni BILLIONS OF BILIOUS BLUE BLISTERING BARNACLES by this chap.......Watoto wetu hata hawajui TINTIN ni nini!

haddock.jpg

Ujinga mtupu.. yaani Wazanzibar kudai OIC tayari watu wakaitaka Tanganyika na hiyo G55 yenu hata kama ZnZ ilikataliwa? mambo mengine bana watu wanatazama vitu kwa jicho la ajabu kabisa! kwanza someni chanzo kisha mjue ujinga gani ulifanyika. Kuna tatizo gani kama nchi moja tukijiunga na OIC kama sio Udini tu?
- Ukisha kula nyama ya mtu ama kweli hutaacha!
 
Kufunga mdomo upinzani serikali hutoa rushwa ya madaraka.. tunao akina Mwakyembe, Zambi na wengineo. Mwl alikuwa anasimamia jambo aliloanzisha na siyo rahisi kwa binadam wa kawaida kukubali kushindwa kirahisi. Lakini hoja ya Tanganyika mi mtu wa kawaida naiona rahsi sana tatizo liko wapi? Madaraka ndo yanasumbua, kama tunavyoona ktk bunge la katba leo, jamaa hawataki rais kupunguziwa madaraka, mbunge asiwajibishwe, urais kwa zamu, usiwepo ukomo wa ubunge n.k. Madaraka! Na ndo 7bu G55 walipotea walipopewa madaraka ndani ya serikali. Ni wachache walibaki na msimamo wao wakiwa madarakani.
 
nisaidie sijaelewa ulichosema hapa.
 
Kwani bunge lilikuwa na wabunge wangapi mwaka 1993 hadi muwaone hao 55 kuwa wabora zaidi? halafu nani kati yao alikuwa na miaka hata 18 kiasi kwamba alitaka maoni ya wananchi mwaka 1964!.

Mbali na Muungano kupangwa mapema kabla hata ya mapinduzi naweza sema asilimi 90 ya wazee wetu wakati ule wangepitisha muungano na wala sii kosa wala dhambi kutopata maoni ya wananchi, kwa sababu Uhuru wa Afrika haukupangwa kwa maoni ya wananchi bali utashi na ujasiri wa wale waloweza kusimama.
 
Wangekomaa leo Tanganyika ingekuwepo. Kitendo chao cha kurud nyuma kwa wazee wetu hawa kimetucost
 
nisaidie sijaelewa ulichosema hapa.
Soma maelezo ya mwandishi hapo juu ama niyarudie hapa
Kujiunga kwa Zanzibar katika OIC kuliwazindua wabunge wa Tanzania Bara, ambao waliona kwamba kuwepo kwa serikali mbili ndani ya Muungano kulikuwa ni kama kuwapa kiburi Wazanzibari, kiasi cha kufanya lolote wanalotaka bila kusubiri baraka za upande mwingine.
Tatizo la watu wengi hawasomi wala hawajui hata sababu za Muungano wetu, ulikuwa wa aina gani nakwa nia gani, hawajui hata yaloandikwa ktk Artical of Union lakini wabishi wao. Labda kwa kuwasaidia wengi pitieni mtandao hu uu wa Nyerere waisome kisha ndio waje na hoja zao dhidi ya Muungano wetu na wapi tunataka kwenda.

Samahani niliweka ukurasa tofauti..nimerekebisha.
 
Wangekomaa leo Tanganyika ingekuwepo. Kitendo chao cha kurud nyuma kwa wazee wetu hawa kimetucost

System iliwafanya vibaya ,hadi Leo hii kuna wengine hawajalipwa pesa zao
 
Mkuu the list is growing but we still have more gaps to fill. I am so excited to get back the memories of the heroes we ever had before we were cheated with fake multipartism! This is where we are now.

1. Njelu Kasaka (Lupa)
2. Philpo Marmo (? )
3. Pheres Kabuye (Biharamulo, RIP)
4. Generali Ulimwengu (Taifa, Vijana)
5. Aziz Premji (Kigoma....????)
6. Edward Ayila Oyombe (Rorya? au Tarime?)
7. Lumuli Alipipi Kasyupa (Kyela)
8. Sebastian Lukiza Kinyondo (Bukoba Vijijini, RIP)
9. Patric Qorro (?)
10. Dr Deogratias Mwita (Serengeti?)
11. Mateo Qarrres (?)
12. Edward Lowasa (Monduli)
13. Kuwaywaya Steven Kuwayawa (Mpwapwa?)
14. Ndembwela H Ngunangwa (?)
15.
16.

Hivi yule mbunge wa Temeke (somebody Masud) aliyekaribia kuondoa shilingi kwenye bajeti ya wizara ya ujenzi kwa sababu ya panton za Kigamboni hakuwa kwenye hili Bunge?

Lakini leo Lowasa anajificha eti anataka mbili wapi!!! Tanganyika ni muhimu sana kwa sasa.
 
G55 waliona mbali sana,hakika ipo siku itatimia na wote wenye kufinya mamlaka ya Tanganyika tutawafinya nao,ardhi hii alipozikwa babu yangu iliyojaa mali nyingi inafanywa 'buzi' la zanzibar katika nyakati hizi!.Katika ujamaa iliwezekana kuwa na aina ya muungano wao huo lakini ktk nyakati hizi za 'stock' ni upumbavu kufungua uvungu wa Tanganyika kwa wazanzibar.Watoto wa kitanganyika waliona asili ktk ardhi hii ya babu zao watapata nini?.Kila kitu kiko ardhini lakini ndio akina sitta wanajiona wajanja kuweka ardhi kwenye katiba ya muungano wakati tume ya katiba ya wataalam waliona mbele na kuachana nayo.Nina wasi wasi kuwa watanganyika hawajui ktk mfumo wa ubebari hakuna mali zaidi ya umiliki wa ardhi.Ndio maana hata watawala hawataki kupima ardhi ya watanganyika na kuwapa hati wawe matajiri maana watakuwa na uwezo wa kimtaji.Tanganyiak inaweza kupiga hatua kubwa sana nje ya muungano ikiwa watajitambua.Zanzibar ni soko zuri nje ya muungano.Lakini ndani ya muungano Tanganyika ni 'buzi kubuhu' la zanzibar.
 
Bora Lowasa, unaweza kuamini kwamba Sitta amekuwa muumini wa serikali 3 hadi juzi juzi zilipoanza sarakasi za CCM?
 
Back
Top Bottom