Kundi la G55 walioidai Tanganyika mwaka 1993...

Kundi la G55 walioidai Tanganyika mwaka 1993...

Jenerali Ulimwengu alikuwa Mbunge wa Taifa (sheria yake ilifutwa kupisha vyama vingi) akiwakilisha kundi la vijana.

Yes alikuwa miongoni mwa G55 members

Mbunge wa Taifa...kweli Tanzania tumetoka mbali.

Aksante wakuu.
 
Safi mkuu,

Naomba tuitengeneze hiyo orodha upya.
1. Njelu Kasaka
2. Philpo Marmo
3. P. Kabuye
4. Generali Ulimwengu
5.
Dr. Deogratius Mwita

G55 walitawanywa kwa ile principle ya divide and rule!Wapo waliogawiwa vyeo mbalimbali, ukuu wa wilaya (Nadhani Dr. Mwita alipewa wilaya fulani not too sure). Nadhani hata Marmo baada ya hapo aliingia kwenye central system.
 
Nimemkumbuka Dr mwita,baada ya kupewa u DC akaja kuharibu, matokeo yake hivi sasa amechoka mpaka anaomba hela ya maji ya kunywa bongo hii!Hiyo ndo nidhamu ya siasa hasa ya bongo!
 
Kuwayawaya Steven Kuwayawaya....huyu jamaa alikua anapenda sana suti nyekundu...pale karimjeee wakati ule wa 1993 ilikuwa moto sana
 
Yule aliepigana na Ndolanga juu ya loliondo alikuwa nani vile?au walikuwa wawili kama sikumbuki vizuri pale binge offices
 
whats all this about?

Don't force me to believe you had nothing else to do! If you had a chance to listen to the echo of these guys and compare with the comedians we have in the house now, you could hardly open you mouth to ask such a question. Anyway, it's no wonder you are dot.com baby and history to you is a waste of time! But there is a good number among us who never knew Ulimwengu ever spoke before Mr Speaker in the house!
 
...sorry bunge offices,shaaban robert street.

Mkuu the list is growing but we still have more gaps to fill. I am so excited to get back the memories of the heroes we ever had before we were cheated with fake multipartism! This is where we are now.

1. Njelu Kasaka (Lupa)
2. Philpo Marmo (? )
3. Pheres Kabuye (Biharamulo, RIP)
4. Generali Ulimwengu (Taifa, Vijana)
5. Aziz Premji (Kigoma....????)
6. Edward Ayila Oyombe (Rorya? au Tarime?)
7. Lumuli Alipipi Kasyupa (Kyela)
8. Sebastian Lukiza Kinyondo (Bukoba Vijijini, RIP)
9. Patric Qorro (?)
10. Dr Deogratias Mwita (Serengeti?)
11. Mateo Qarrres (?)
12. Edward Lowasa (Monduli)
13. Kuwaywaya Steven Kuwayawa (Mpwapwa?)
14. Ndembwela H Ngunangwa (?)
15.
16.

Hivi yule mbunge wa Temeke (somebody Masud) aliyekaribia kuondoa shilingi kwenye bajeti ya wizara ya ujenzi kwa sababu ya panton za Kigamboni hakuwa kwenye hili Bunge?
 
Eti jk na lowassa walikuwa g 55,hivi humu ndani kuna watu ni mental sick au vipi?kwa nini uzungumze kitu usichokifahamu vizuri bila woga??????????????????????
 
Don't force me to believe you had nothing else to do! If you had a chance to listen to the echo of these guys and compare with the comedians we have in the house now, you could hardly open you mouth to ask such a question. Anyway, it's no wonder you are dot.com baby and history to you is a waste of time! But there is a good number among us who never knew Ulimwengu ever spoke before Mr Speaker in the house!

whats all this about?
Take a glance at his name 'Son of Alaska.' It goes without saying his mama is Sarah Palin and what do you expect from her offspring? Like mama like son.
 
Eti jk na lowassa walikuwa g 55,hivi humu ndani kuna watu ni mental sick au vipi?kwa nini uzungumze kitu usichokifahamu vizuri bila woga??????????????????????

The Boss,

Mwanzilishi wa thread hii ameomba kutajiwa G55 walikuwa akina nani ili aweke kumbukumbu zake vizuri. Kama kuna makosa kwenye hii orodha inayokua, basi tusaidie kusahihisha na kuongeza wengine. This is not an order paper or a legal list. Usiwalaani watu wanaojaribu kutengeneza kumbukumbu zao badala ya kuwasaidia. Kama na wewe hukumbuki basi achana nao!
 
Mkuu the list is growing but we still have more gaps to fill. I am so excited to get back the memories of the heroes we ever had before we were cheated with fake multipartism! This is where we are now.

1. Njelu Kasaka (Lupa)
2. Philpo Marmo (? )
3. Pheres Kabuye (Biharamulo, RIP)
4. Generali Ulimwengu (Taifa, Vijana)
5. Aziz Premji (Kigoma....????)
6. Edward Ayila Oyombe (Rorya? au Tarime?)
7. Lumuli Alipipi Kasyupa (Kyela)
8. Sebastian Lukiza Kinyondo (Bukoba Vijijini, RIP)
9. Patric Qorro (?)
10. Dr Deogratias Mwita (Serengeti?)
11. Mateo Qarrres (?)
12. Edward Lowasa (Monduli)
13. Kuwaywaya Steven Kuwayawa (Mpwapwa?)
14. Ndembwela H Ngunangwa (?)
15.
16.

Hivi yule mbunge wa Temeke (somebody Masud) aliyekaribia kuondoa shilingi kwenye bajeti ya wizara ya ujenzi kwa sababu ya panton za Kigamboni hakuwa kwenye hili Bunge?

14. Ndembwela H Ngunangwa (Njombe kusini) kipindi bado haijagawanywa.

Wakati huo Makweta alikuwa Njombe kasikazini (mpaka leo) na Njombe kusini imegawanjwa kuwa Magharibi na kusini. Kusini yupo Anne Makinda na magharibi Yona Kivera kwasasa.
 
..Tuntemeke Sanga [Makete]

..Leipilal Ole Molloimet [Monduli]
 
Wakuu mzindakaya je? Nahisi naye alikuwemo. Enzi hizo huyu ndiye alikuwa mlipuaji mabomu ya kutupa kwa mkono
 
Last edited:
Nawashukuru nyote kwa kunisaidia kupata orodha ya hawa watu muhimu sana...ingawa haijatimia 55 bado ntashukuru kuendelea kupata michango yenu...yote katika kujaribu kuweka historia yetu...wale matkaokumbuka mwaka 1968 ilitokea pia na mtu amabae bado yuko hai ni dr.masha na sina orodha nyingine...chogga,mwakitwange et al....
 
Back
Top Bottom