Kunatokota sana huku mtaani

Kunatokota sana huku mtaani

Tatizo ninaloliona, watu wakiwa wanatumia ujumbe mtandaoni kupitia kwenye Simu ama kifaa kingine wanadhani wanacheza game! Kumbe ujumbe huo unasomwa na watu lukuki!!! Na hao wanaosoma ujumbe huo Wanampa sifa zake huyo mtuma ujumbe kulingana na ujumbe aliotuma.

Wengine watamuona mwehu, wengine watamuona Mchungaji, wengine, watamuona mwizi, wengine watamuona shehe, wengine watamuona fisadi wengine watamuona paroko, wengine watamuona muuaji, wengine watamuona Mufti, nakadhalika na kadhalika!!!
 
JF

Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana.

Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana.

Haki huinua taifa.
Nyie ndio mnataka kuvunja maduka ili muibe?
 
stock imeisha wanataka kuiba tea?
Kuna uzi ulileta unaongelea kujichangachanga ununue kigari ukiashiria kwamba kipato hakitoshi. Hoja yangu ni kwamba mbona wewe ni mpumbavu sana wakati unaishi maisha magumu hivi? Unafaidika nini na hili lichama la wauwaji? Halafu nilivyokuwa nasoma bandiko lako niliweza kugundua hata elimu huna. Kweli mtaji wa ccm ni mijitu mijinga kama wewe.
 
Kwa style hii lazima kutokote tu
20251109_150320.jpg
 
stock imeisha wanataka kuiba tea?
Sasa hivi mnajificha kwenye uharibifu wa Mali neno amani hamlisemi tena kicha sasa ni kujificha kwenye uharibifu wa mali hakuna kosa kubwa kujidanganya kwamba hakuna matitizo
 
Sawa hiyo jamba jamba mliyopata soon baada ya 29/10 sasa jaribuni tena mwezi December, mtalia na kusaga meno.
Hata ukiwa na milioni hiyo nyanya hutaipata ni kuwapiga full lock down hakuna kenge kuonekana nje, yaani ukitoka nje ni shaba ya kichwa, intaneti tunazima, na tutaenda mbali zaidi tunazima na umeme nchi, nyau nyie mtapiga magoti na kumsalimia abduli shikamoo baba.
Kumbe wewe ni choko kiasi hiki?
 
laiti mngejua ugumu watu wanapata kuanza biashara na sacrifise wanafanya basi mngelewaga kwann wezi wanachomwa
Maisha ya binadamu hayawezi kulinganishwa na mali au biashara yeyote.
Leo mtaani kwetu waliofiwa wamewasomea dua marehemu bila kupewa miili ya marehemu.
Kifupi wameuwa, wameteketeza maiti au wamezika Kama wanyama makaburi ya halaiki.
Hata kisasi cha mauwaji ya Pemba 2001 hii imepitiliza.
Ukatili huu hauvumiliki.
Mimi pia tarehe 9/12 nitaingia road.
Leo kwa wale kesho inaweza kuwa kwangu hata nisipo shiriki maandamano.
Kijana jirani yetu aliuwawa siku ya tarehe 30 asubuhi alipoenda kununua mboga akiwa na mdogo wake wote bila silaha au chochote zaidi ya pesa.
 
Ndio maana nikasema wewe ni msukule huyo abduli na mama yake hawawezi kukanyaga ikulu ya dar hata siku moja kuanzia tarehe 29 mpaka Leo halafu nishakuambia wewe ni punda tu wa kupelekeshwa hamna mtafutaji anaekubali kupelekeshwa kama punda eti jasho limtoke halafu wafaidi wengine we ni punda tu muase mama Yako kuhusu kuandamana sio sisi na tunachokoza ugomvi makusudi Ili muje mlengwe nyie wakutiki huko nyumbani kazi mnayo hii nchi haitotulia mpaka wakutiki muishe
Yani 60%walouliwa walipiga kura siku hio.
 
Tunawalaani wote waliondamana mmetusababishimmetusababishia hasara kubwa sisi watafutaji
Sasa mtu kama wewe utatoaje laana ikampata mtu, wakati we mwenyewe tu ni wazi umeshalaaniwa na ndio maana unaishi tu kma zombi haujui hata haki zako za msingi kama zinakandamizwa..!?

Eti watafutaji, mtafutaji utakuwa wewe? Wewe jiite muangaikaje bhana... tafuta hela kwa shida, kisha lipa kodi iende ikafanyiwe anasa na genge la mama Abdul bila wewe kujua.
 
Yani saiv ukikaa ndani risasi zinakuua ni bora kuandamana tu kwenye halaiki ya watu unaeza kwepa risasi
 
Back
Top Bottom