Haya matokeo yameonyesha kuna uzuzu wa kufikiri wa hali ya juu mno kwa viongozi wa Tanzania, ni nani anaweza kupata 98% ! Hata Mwenyezi Mungu akipigiwa kura, kuna binadamu watamkataa tu......Kwanza waliojitokeza walikuwa wachache kushinda chaguzi nyingi zilizopita. Akili za kawaida tu hata wangetaka kuzipika wengeweka hata angalau range ya 69% to 82%. Wengine wanasema Mama aligoma kabisa kupata chini ya 98%! Alitaka awe juu kuliko viongozi wote waliomtangulia! The highest form of inferiority complex.JF
Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana.
Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana.
Haki huinua taifa.
laiti mngejua ugumu watu wanapata kuanza biashara na sacrifise wanafanya basi mngelewaga kwann wezi wanachomwa
Im sorry for kid and the lady viashiria vya fujo vilifanywa na waharifu wachache wapuuzi vimegharimu maisha ya innocent wengi like the kid and girl, Mungu awalaze pema peponi.Nyie roho waovu roho wachafu mapepo watoto wa shetani wafu mnaotembea (stakehigh King Nkondo Lucha Abou Shaymaa etc) mnaofurahia mauaji kwakuwa mali zenu ziliibiwa / haribiwa:
1. Huyu mtoto aliwaibia nini? Aliwachomea nini? Mna uthibitisho kuonyesha ni yeye aliwaharibia?
View attachment 3499420
2. Huyu dada / mama je? Uthibitisho mnao?
View attachment 3499423
3. Kwenye huu umati uliofyatuliwa risasi mwizi ni yupi, mchomaji ni yupi, muandamaji wa amani ni yupi? Uthibitisho unao?
View attachment 3499427
4) Tukichanga, tukauza mali zetu na kuomba misaada nje tuwarudishie mali zenu, kwenye maelfu mlioua mtafufua wangapi?
wakati tunahamisha amani wewe uliona vurugu ndo znafaaaNyie roho waovu roho wachafu mapepo watoto wa shetani wafu mnaotembea (stakehigh King Nkondo Lucha Abou Shaymaa etc) mnaofurahia mauaji kwakuwa mali zenu ziliibiwa / haribiwa:
1. Huyu mtoto aliwaibia nini? Aliwachomea nini? Mna uthibitisho kuonyesha ni yeye aliwaharibia?
View attachment 3499420
2. Huyu dada / mama je? Uthibitisho mnao?
View attachment 3499423
3. Kwenye huu umati uliofyatuliwa risasi mwizi ni yupi, mchomaji ni yupi, muandamaji wa amani ni yupi? Uthibitisho unao?
View attachment 3499427
4) Tukichanga, tukauza mali zetu na kuomba misaada nje tuwarudishie mali zenu, kwenye maelfu mlioua mtafufua wangapi?
mngekua wise haya yote yasingetokea, si far Sir God atahukumu chanzo cha kifoIm sorry for kid and the lady viashiria vya fujo vilifanywa na waharifu wachache wapuuzi vimegharimu maisha ya innocent wengi like the kid and girl, Mungu awalaze pema peponi.
kama hakuhusika na maandamano, na mm Maombi yangu yapo kwake apumzike kwa amani, kama alikua kwenye maadamano huo mwili usirudishweMaisha ya binadamu hayawezi kulinganishwa na mali au biashara yeyote.
Leo mtaani kwetu waliofiwa wamewasomea dua marehemu bila kupewa miili ya marehemu.
Kifupi wameuwa, wameteketeza maiti au wamezika Kama wanyama makaburi ya halaiki.
Hata kisasi cha mauwaji ya Pemba 2001 hii imepitiliza.
Ukatili huu hauvumiliki.
Mimi pia tarehe 9/12 nitaingia road.
Leo kwa wale kesho inaweza kuwa kwangu hata nisipo shiriki maandamano.
Kijana jirani yetu aliuwawa siku ya tarehe 30 asubuhi alipoenda kununua mboga akiwa na mdogo wake wote bila silaha au chochote zaidi ya pesa.
Kumbe huna mfano hata wa mtaa mmoja 😂. Kama wewe si kobazi basi kuna tatizo sehemuwewe elewa mitaa yote watu wanaendelea na maisha
HII NI COMMENT YA AFISA WA TRA mkoa FULANI , walahiii , WALE TMO wanapitia mengi walahisacrifise ipi na kodi hamtaki kulipa?
Na wezi wa rasilimali zetu wanakumbatiwalaiti mngejua ugumu watu wanapata kuanza biashara na sacrifise wanafanya basi mngelewaga kwann wezi wanachomwa
Sasa kwanini hao wezi mafisadi papa nao wasichomwe? Kwako wewe kuna matabaka ya wezi?laiti mngejua ugumu watu wanapata kuanza biashara na sacrifise wanafanya basi mngelewaga kwann wezi wanachomwa
Waambie wakiingia Tena barabaran kufanya wizi na uvunjifu wa amani mwendo ni ule ule,ulivyokuja ndivyo utavyopokelewaJF
Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana.
Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana.
Haki huinua taifa.
Chawa wa kwenye chupiMtaani kwetu pako shwari kabisa watu wanachapa kazi tu wala hawana habari na masiasa yenu!
Mimi issue ya kuharibu miundombinu hapo ndio.naunganana askarikama ya watu wengine tu, yaani december njooni tena tutakua tushawajengea miundo mbinu ingine muharibu
na sisi ndo tupo apo mkuuMimi issue ya kuharibu miundombinu hapo ndio.naunganana askari
uliwaona wakichoma mali za mtu mwingine?Sasa kwanini hao wezi mafisadi papa nao wasichomwe? Kwako wewe kuna matabaka ya wezi?
nani ulimuona anaiba? una ushahidi?Na wezi wa rasilimali zetu wanakumbatiwa
This is Tanzania
uingereza kodi ni 45% ya mapato, uku ni 18% ila bado hawataki kulipaHII NI COMMENT YA AFISA WA TRA mkoa FULANI , walahiii , WALE TMO wanapitia mengi walahi
acha kuzua taharukiKumbe huna mfano hata wa mtaa mmoja 😂. Kama wewe si kobazi basi kuna tatizo sehemu