Kunatokota sana huku mtaani

Kunatokota sana huku mtaani

Hauna akili. Kichwa chako kinalemea mwili tu hapo.
Yule Sharif majini alikuwa anachoma biashara ipi?
Yule mtangazaji wa clouds je?
Vipi yule askari magereza? Yaani wewe huo mbichwa wako kama yai la mbuni kazi yake ni kulemea huo mwili tu.
we bila shaka utakua mchawi, wewe uliwashwa nn kuchoma mali za umma?
 
JF

Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana.

Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana.

Haki huinua taifa.
Kuna jamaa karopoka kwa hasira kwamba kilichobaki kuingia msituni maana anajiona hana cha kupoteza
 
Nyie ndio mazombi ambayo abduli na mama yake anayapenda endelea kuchapa kazi kama punda huku ukiendelea kuishi kifukara pesa zote anachukia abduli 🤣🤣🤣🤣🤣
Asiefanya kazi asile, usitegemee kuiba ili uishi.
 
kwahio mali ya umma ulikubaliana na umma.kuchoma?
Ndio umma umechoma Mali yake we inakuuma kwani na badooo safari hii ni kuyachoma moto mafisadi maana Mali zao zimeshachomwa moto bado uhai wao yaani Sasa hivi mafisadi yalivyomaoga hata mikutano hayafanyi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
sasa si umeonyesha jinsi ulivo kaoga, wenzako wako wanakandwa saahv japo wameenda hospital kidogo
Endeleeni kukamata na kupiga watu wasiohusika kwenye maandamano mkidhani ndio mnatibu tatizo hahahaha na badoooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndio umma umechoma Mali yake we inakuuma kwani na badooo safari hii ni kuyachoma moto mafisadi maana Mali zao zimeshachomwa moto bado uhai wao yaani Sasa hivi mafisadi yalivyomaoga hata mikutano hayafanyi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
sawa na ndo ivo vipara vimepigwa shaba sasa usianze kulia apa
 
sawa na ndo ivo vipara vimepigwa shaba sasa usianze kulia apa
Kufa ni faida kabisa na Mimi nilitaka kufa siku hiyo sema risasi zote 7 zilikua zinanikosa kutoka a na hao wapiga risasi walikua na wenge la kuuwawa na waandamanaji lakini kifo ni pumziko safii kabisa na ni faida kubwaaaaaaaaa we unakimbua kifo lipo tu. Lazima ufeee
 
JF

Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana.

Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana.

Haki huinua taifa.
Kumepoa tu kwa muda lakini hakujatulia kabisa
 
Kufa ni faida kabisa na Mimi nilitaka kufa siku hiyo sema risasi zote 7 zilikua zinanikosa kutoka a na hao wapiga risasi walikua na wenge la kuuwawa na waandamanaji lakini kifo ni pumziko safii kabisa na ni faida kubwaaaaaaaaa we unakimbua kifo lipo tu. Lazima ufeee
sumu ya panya si unaijua, twende kazi mpenda kifo
 
Back
Top Bottom